Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Jamii inaamini mtoto atakutafuta tu. Kwahiyo kwenye malezi unajificha kama digidigi ukisikia dogo kamaliza chuo unaanza kujiachia unangoja mtoto uliyemkana form three akutafute sasa hivi.
DAAHHHH MWANANGU UMEONGEA BONGE LAPOINT .....TUNAJAMIII YAHOVYO SANA .


*** ACHANA NAYE TUUU MTOTO AKIKUA ATAKUTAFUTA MWENYEWE***.
 
Wanawake wengi ujuaji mwing sana.Mwanamke naye anataka awe mwanaume.Mwanaume anayejitambua hawez kubali ujinga huu mwisho anampiga chini.Na utandawazi unachangia sana coz mwanamke saiz kuwa single mother anaona poa sana na anaamn ndo ataishi kwa aman .yote haya utandawaz unawaharibu sana.Mwanamke hayuko tayar kuolewa zaid ya kupata mtoto na utakuta hata akiwa ndan ya ndoa na anamtoto jeur ni nying na haoni hatar ya yy kuwa single mother.
 
Kweli man ,,, utandawazi umewadanganya eti ,they can stand with their own ,,lkn hamna bado sanaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…