Ulweso
JF-Expert Member
- May 24, 2016
- 23,111
- 28,020
Hata wanaume wengi tu wana dharau sana wake zao , yaani ukipata story zao kama wewe ndiye kaka wa huyo mke utajisikia vibaya sana tabia hizi zipo pande zote mie naona walio wengi malezi huko kwa wazazi si malezi bora bali bora maleziWanawake wengi hawana heshima