Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

[emoji23] [emoji23] [emoji23] na umpate kwa kulingana naye akili lakini mwingine kalelewa kimayai mayai mwingine command mguu sawa mbele tembea kazi ipo ila nikumtanguliza Mungu tu hakuna kingine
Kabisaaa km wewe ivi.
 
tatizo la usingo madha linaanzia pale mwanamke anapojitegesha/anapotaka apewe mimba na mpenzi wake ili aiharakishe ndoa kupitia mimba, badae anakuja kushtuka ashazaa ndoa hakuna, na maisha yanaendelea
Kabisa mkuuuu ..big problem hii
 
Affirmative action backfires. Wanawake sasa wanatunishiana misuli na wanaume katika nyanja zote ambao sio utamaduni wa kiafrika.

Wanaume wanaamua kuwatosa wazazi wenzao maana hawaamini katika equality.

Hii habari ya gender equality itaondoka na mtu. Tamaduni za afrika haziikubali.

Ni indication kuwa huu umagharibi haujakubalika afrika. Mbona wanawake wanaoamini katika traditional roles za mwanamke wa kiafrika hawaachwi?
Hahahaaa Mkutano Wa Beijing kaka ..ndo umewaponza ...initiative walopewa imevuka ukomo.
 
Imejengeka tafsiri kua mtt mdogo n lazima alelewe na mama yake ila isingekua ivo watt wote wangebaki na baba zao na hata swala la usingle mother lisingekuwepo matter of time kulea mtt c kazi ndogo
 
Imejengeka tafsiri kua mtt mdogo n lazima alelewe na mama yake ila isingekua ivo watt wote wangebaki na baba zao na hata swala la usingle mother lisingekuwepo matter of time kulea mtt c kazi ndogo
Oooohhhhh sawa mkuu.
 
Hapa mtaani kuna dada mmoja mwajiriwa serikalini. Amejaliwa kujenga jirani yetu.

Dada huyu ana watoto wawili wa kiume. Kwakuwa hubby ni mpenda mpira na anafundisha watoto wa mtaa, dada huyu amemuomba hubby awachukue watoto wake kwenye team.

Amemuomba hubby awe baba wa kipaimara wa mtoto mkubwa, niliona ni jambo zuri. Tatizo ni pale anapomwita hubby kuwa ana matatizo na mara nyingi huwa anapika chakula kabla ya kumwita. Hubby akitoka huko anasema nimeshakula mama flani alimpa chakula.

Anajua hata favourite meal ya mume wangu, nina jirani kweli hapa?
 
pole sana mkuu,hatuwezi ku conclude vibaya ila kuwa makini kidogo God father mwisho wewe ndio utakuwa shemeji wa shemeji yetu kwa single mother
 
Jirani unaye mume tu hatabiriki, mume wa watu inakuwaje ukale nje wakati mkeo kishakupikia? Sasa mke(Sky Eclat) anataka kumpa kazi mshana jr afanye mambo ya tego.
 
Back
Top Bottom