Mkuu,jitahd ukae na Baba watoto wako mzungumze na kuhakikisha mnaweka mipaka ya mahusiano na huyo jirani,haiwezekani mtu mwenye familia uwe unaenda kula kwa jirani hyo ni fedheha kubwa sana kwa mkeo na hata kwako pia
Binafsi huwa nahsi aibu sana kula kwenye majumba ya watu na hlo hata majirani zangu wanalifaham (japo sijaoa huwa nakula migahawani cuz huwa sipiki ghetto)
Vilevile mumeo anapokuwa huko kwa jirani huwa wanaongea vitu gani visivyokwisha? ndoa ina miiko yake na nahsi miiko hyo mumeo anataka kuivunja...,akiji-expouse sana kwa jirani itafikia mahali nyumba yenu itakosa siri na hata yote yanayotendeka chumbani yatakuwa dhahiri...kama mdomo unatoa harufu,unanuka 'K',ni gogo kwenye 6*6,unajipu kwenye labial minora,mnalala mzungu wa NNE (69) yote jirani atajua kwa kuwa atakuwa anaambiwa na mumeo
Ninao ushahd kwny hili...boss wangu ( kwa hivi sasa ni marehemu,alifariki mwez nov-2017) alimpata mwanamke ambaye alikuwa akiishi jirani na japo walipokuwa wakiishi wao ( boss wangu na familia yake) yule mdada akaanza kwa kumshirikisha boss wangu baadhi ya masuala ya kiofisi,hali hyo ikaendelea mwishowe ikazaa mahusiano ya siri
Baadae boss wangu akawa anampelekea huyu Dada siri za ndani ( hasa madhaifu ya mke wake) na kuna kipind boss wangu akawa anamwambia huyu mchepuko "usimwone mke wangu ni mnene namna ile...she is a HIV+" baadae mchepuko akianza kumtukana mke wa boss wangu anamwambia mambo yote plus hilo la HIV+
So,Mkuu kaa mkao wa kulinda goli mabeki muda wowote wanaweza zidiwa na mshambuliaji
Lkn pia,huo uhusiano wao unaweza kuwa wa kawaida lakn usivuke mipaka!