Meja mstaafu
JF-Expert Member
- Jul 17, 2017
- 531
- 1,121
Usiwe na shaka Dada, huyo single Maza ni mchepuko wa ubatizo tu. Sio mchepuko serious.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama ni Asprin usiwe Na wasiwasi kabisa, babu huwasimulia wajukuu zake mastori kisha huwasaidia Kula maana wajukuu wanasumbua sana kulaOngea na ndugu yako Aspirin mkuu Quinine Mwitu tafadhali.
Kwa kweli mara tu ana tangaza kuunga mkono juhudi za single motherdalili za ccm kuchukua mfuasi toka chadema.
Kule kwetu mtoto wa kike ana fundishwa mapishi kwanza kabla ya kujua kusoma na kuandika. Pia nilikaa unyagoni miezi mitatu.Wewe mwenyewe huwa unampikia? Au hilo ni jukumu la Dada wa kazi?
sisi wanaume tuna jijua ukiona single mama kama huyo ulivo eleza tu.na mwanaume kuonesha kama mfano wa baba bora kwa huyo single mama lazima umbadilishe kisaikolojia na ukaribu zaidi hata kujikuta kuingia kimausiano.Kwa kweli mara tu ana tangaza kuunga mkono juhudi za single mother
Yaani......aaah au basi tu!!Kule kwetu mtoto wa kike ana fundishwa mapishi kwanza kabla ya kujua kusoma na kuandika. Pia nilikaa unyagoni miezi mitatu.