Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Navipi kuhusu damu yako !??? Ndo unaisahau???.Yea unaenda na kanuni ya out of sight out of mind
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Navipi kuhusu damu yako !??? Ndo unaisahau???.Yea unaenda na kanuni ya out of sight out of mind
Jamii inaamini mtoto atakutafuta tu. Kwahiyo kwenye malezi unajificha kama digidigi ukisikia dogo kamaliza chuo unaanza kujiachia unangoja mtoto uliyemkana form three akutafute sasa hivi.Navipi kuhusu damu yako !??? Ndo unaisahau???.
Tena nakaa nae mbali kbs hata humu nikishaona mwanamke kisirani au analeta ujuaji sana najiepusha nae.Aaahhhhh sawa ,,, kwaiyo huyu hata awe amekuzalia watoto kadhaaa bado unaweza kumwacha ??.
Wanawake mbadilike jaman ,msipande wake kichwani.
DAAHHHH MWANANGU UMEONGEA BONGE LAPOINT .....TUNAJAMIII YAHOVYO SANA .Jamii inaamini mtoto atakutafuta tu. Kwahiyo kwenye malezi unajificha kama digidigi ukisikia dogo kamaliza chuo unaanza kujiachia unangoja mtoto uliyemkana form three akutafute sasa hivi.
Kweli man ,,kikubwa nikua mahali ambapo unapata amani ya akili na heshima.Tena nakaa nae mbali kbs hata humu nikishaona mwanamke kisirani au analeta ujuaji sana najiepusha nae.
Duuuhhh ,,sasa naww mama ,kwann uamue kushika mimba ya bahili ?? Au sababu unakua shida yako nimtoto?.Ni ubahiri wenu kuogopa kuoa
Ila wewe ukiwa mjuaji fresh..Saa nyingine tunakuwa na malengo nao lkn unakuta mapemaa mwanamke anaanza kukupanda kichwani
Mimi mwanamke mwenye kisirani na kujifanya mjuaji huwa sitaki hata kumsikia
Ila wewe ukiwa mjuaji fresh..
Ooh..bas sawaaMwanaume lazima awe mjuaji mbele ya mwanamke
Sure ,,mwanamke mjuaji kupita KIASI anaboa manMwanaume lazima awe mjuaji mbele ya mwanamke
Kweli man ,,, utandawazi umewadanganya eti ,they can stand with their own ,,lkn hamna bado sanaaaWanawake wengi ujuaji mwing sana.Mwanamke naye anataka awe mwanaume.Mwanaume anayejitambua hawez kubali ujinga huu mwisho anampiga chini.Na utandawazi unachangia sana coz mwanamke saiz kuwa single mother anaona poa sana na anaamn ndo ataishi kwa aman .yote haya utandawaz unawaharibu sana.Mwanamke hayuko tayar kuolewa zaid ya kupata mtoto na utakuta hata akiwa ndan ya ndoa na anamtoto jeur ni nying na haoni hatar ya yy kuwa single mother.
Naheshima ndo mwanamme anataka.Wanawake wengi hawana heshima
Hahahaja kwamba Vyuma vimekaza mkuuu ...watu wanapenda kupiga tuWAOAJI WACHACHE
MAISHA MAGUMU
Ndo maana tnawapiga chiniSure ,,mwanamke mjuaji kupita KIASI anaboa man