Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Kiini ni mkutano wao wa beging uliwapa kiburi kuwa tupo sawa na wanaume wamekiuka agizo na madhumuni ya mungu kwa Mara nyingine tena wanastahili hayo yawapatayo
Sasa wanabadii jinsia wawe waume sasa wanaoana wao kwa wao hii ni laana imeingia kwao
Kuondoa hii wakumbuke wapi walipo jikwaa na si walipoangukia wavunje azimio la bejing warejee maagano ya mungu na mwanamke haya yataisha
 
Sababu zipo nyingi na hata zile uliainisha pia ni sababu kwa asilimia 100, na pia kila single mother hapa ana historia yake, nini kimesababisha yeye kuwa single mother..

Japo kuna wengine wamechangia/wamechagua kuwa single mother (kwa kutegeshea mimba ili kumshika mwanaume) na kuna wengine hawataki kuolewa walihitaji tu mtoto so hakuna sababu moja au mbili za moja kwa moja

Every single mother has a story to tell.
 
Ooohhh sawa basi still we have along way to gooo.
 
Hahahahahaa mkuuu ,,beijing imetiharibia wake kabisa
 
Wengi wanajikuta singo maza kwani si waelewa ktk kipind hiki cha AWAMU YA TANO
 
Vladimirovich Putin,
Awamu hii ya TANO mwanamke (mke) hatakiwi kuleta tabia ambazo zinaleta kero kwa mwanaume (Mme) hali hiyo mwanaume huchukua hatua mapema kumwacha sasa huyo mwanamke AFUNDISHWE NA AWAMU YA TANO
 
Nmeishia kuchekaaa mkuuu ,kwenye kuvaaa Tait .


Ila kweli huuu ununda huuuu wakutaka kua juuu nitatizo.
Ke anaudhiwa me anasusa na kununa, me naye badala ya kujali au kubembeleza au kuweka mambo sawa naye anasusa na kununa pia hapo visasi vinaanza, jino kwa jino masikini hali mavi yake, mtifuano kila kitu chali wanaume wasasa wanajua kununa hao wamezidi hata wanawake mbaba midevu luundo uso mzima anamnunia mkewe[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…