Hata wanaume wengi tu wana dharau sana wake zao , yaani ukipata story zao kama wewe ndiye kaka wa huyo mke utajisikia vibaya sana tabia hizi zipo pande zote mie naona walio wengi malezi huko kwa wazazi si malezi bora bali bora maleziWanawake wengi hawana heshima
Kwani mwanamke hataki kuheshimiwa? Heshima ni pande zote kuna wanaume wana midomo michafu?Naheshima ndo mwanamme anataka.
Hamna mwanamme anayeweza kukutamkia mabaya km hamna sababu....Kwani mwanamke hataki kuheshimiwa? Heshima ni pande zote kuna wanaume wana midomo michafu?
Kama wewe unamfanyia hivyo huyo wako wenzio ni balaaHamna mwanamme anayeweza kukutamkia mabaya km hamna sababu....
Shida mnataka heshima lkn niheshima ambayo wengi hamhistahili .
Weeee thubutu ,, uwe ktk mahusiano na Malaika ,,, utathubutu kumkalipia kweli ???? Kwanza naanzaje ???? ..mwanamke anajua sehem yake duuuhhh sitaki kua ktk kumbukumbu za watu wabaya...never ever.Kama wewe unamfanyia hivyo huyo wako wenzio ni balaa
Hongera wengi hawajui wajibu na majukumu yao na shule za bweni zinafanya watu wasijue wajibu wao ktk familiaWeeee thubutu ,, uwe ktk mahusiano na Malaika ,,, utathubutu kumkalipia kweli ???? Kwanza naanzaje ???? ..mwanamke anajua sehem yake duuuhhh sitaki kua ktk kumbukumbu za watu wabaya...never ever.
ila ukwel nikwAmba kila MTU akihusika vilivyo hamna kinachoharibika ,,nahakutakua na nachasingo maza wala nn ... Tutajifree.Hongera wengi hawajui wajibu na majukumu yao na shule za bweni zinafanya watu wasijue wajibu wao ktk familia
Yaani hapo ni kila mtu ahusike kwenye nafasi yake kila kitu kitaenda sawa na ndiyo maana huambiwa huyu mtu katoka huko na malezi yake nawe una malezi yako mchukuliane hapo mtafika muendakoila ukwel nikwAmba kila MTU akihusika vilivyo hamna kinachoharibika ,,nahakutakua na nachasingo maza wala nn ... Tutajifree.
Yote yatafanikiwa km wote mnaakili.... Tena ziw extra ordinary ,,lkn sio izi zasiku izi.Yaani hapo ni kila mtu ahusike kwenye nafasi yake kila kitu kitaenda sawa na ndiyo maana huambiwa huyu mtu katoka huko na malezi yake nawe una malezi yako mchukuliane hapo mtafika muendako
Hahahahaa km anautaka mpe mkuuKuna mmoja hapa ananisumbua kila kukicha naona anautafuta huo u SINGLE MOTHER and soon nitamtunuku.... sitaki upuuzi mimi
duuuhhhhTunawaba mimba halafu tunakula kona
Eti mie bado binti dadakiiiiiiii anafika 27 Keisha habar.Wadada wengi sahizi hawapendi kuolewa....bila kujua muda hauwasubiri ikifika stage wanakosa wa kuwaowa wan a amua sasa kutafuta mtoto kama njia nyingine ya kujipatia faraja ya moyo...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] na umpate kwa kulingana naye akili lakini mwingine kalelewa kimayai mayai mwingine command mguu sawa mbele tembea kazi ipo ila nikumtanguliza Mungu tu hakuna kingineYote yatafanikiwa km wote mnaakili.... Tena ziw extra ordinary ,,lkn sio izi zasiku izi.
Mpe tu mkuuKuna mmoja hapa ananisumbua kila kukicha naona anautafuta huo u SINGLE MOTHER and soon nitamtunuku.... sitaki upuuzi mimi