mkuu hili ni kweli kabisa,mwenyewe nimeshuhudiaUkimjali mtoto tayari ushampata mama, "mafundi" uwa wanahangaika na mtoto kwanza, utasikia uncle uncle njoo uchukie pipi, kifuatacho itv itabaki story
Kisaikolojia ipo hivyo na haitabadilikamkuu hili ni kweli kabisa,mwenyewe nimeshuhudia
kwamba ukitaka kumfurahisha tembo,cheza na mwanaeKisaikolojia ipo hivyo na haitabadilika
Anapitia huko akitoka kazini, anatumia ujumbe mfano TV haifanyi kazi ninaomba uje uisngalie, cha ajabu na machalari yanapikwaShosti unanusa harufu ya kuibiwa eeh?lol...... inakua ni kila anapomuita ndio anapika chakula au mara moja moja? je why usiende nae wakati wewe ni mke? kwanini uwape nafasi yakua wao hata kama nyumba ina watoto huko anako kwenda?
Mkuu si kuongeza gharama za school fees kwani watoto wataongezeka.Dah...bahati kubwa umepata...baada ya miaka 3 mtakuwa mmeokoa pesa nyingi sana kutokana na mzee kula kwa jirani🙂
Kabisa kabisa.kwamba ukitaka kumfurahisha tembo,cheza na mwanae
Sidhani kama umeutendea haki uzi huu. Watu hapa wanapata elimu bila kujali ni hadithi ya kupika au kweli.....Hizi chai tumechoka mtu mmoja kwa mwaka anamatatizo tofauti ya mahusiano 1000 nyinyi watu type hii wakuwa makini Sana kwenye mitandao mnapenda kupima akili za watu na wajinga wataingia mkenge kwa ushauri mwingi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]kwamba ukitaka kumfurahisha tembo,cheza na mwanae
Hapo hakuna dawa wala maombi,Ni kupozana kiu mkuu,Njoo chemba (PM) ili nikueleze sehemu ukaombewe na mumeo aache tabia ya kula kula kwa majumba ya watu hovyo. Moja ya sharti ya hayo maombi maalum inabidi utumbukiziwe dawa anapoingia mumeo (Ukeni) ili atulie na kuwa baba bora wa familia na kukuheshimu mke wake mpenzi Sky.
Ungekaa unyagoni mmeo asingekuwa anakula kwa jirani....ukiona manyoa?Kule kwetu mtoto wa kike ana fundishwa mapishi kwanza kabla ya kujua kusoma na kuandika. Pia nilikaa unyagoni miezi mitatu.
Huyo mama akipata matatizo yeyote huwa anamwita jamaa...hamjaelewa nini hapo?Mhh! Wakati mwingine yaweza kuwa mawazo yako ni sahihi lakini wakati mwingine inawezekana jirani yako anafanya kwa upendo tu! Hivyo ni vyema kuchunguza kwa kina bila jaziba ili uweze kujua nini kinaendelea. Ila kama hubby wako ana msimamo imara kuwa na amani!