ronnymsaki
Member
- Feb 23, 2017
- 50
- 30
Mtoto anabaki na wala sio mapenz mwenye kubakiza mapenz ni mwanamke asiejielewaAisee kuachana ni ngumu sana. Mtu akishakuzalia mtoto mnaachanaje? Kwanza hata aliyemuoa anashindwa kupita nae mbele ya mzazi mwenzie anajisikia vibaya.
Kwani lazima awe anamuwaza mzazi mwenzie?pengine anamuwaza jamaa mwingine tofaut na mzazi mwenzieNdio ukweli, ukioa single mother tegemea kuwa mzazi mwenzake ana chansi kubwa za kummega zaidi yako.
Imajini umemkunja staili ya kifo cha mende anakuangalia machoni kumbe anamuwaza mzazi mwenzie, No offense, single mother wajane ndio wanaoleka!
HujapendaTalking of experience jamani kudate single mother inaitaji moyo wa chuma sana hii dunia ina changamoto sana , unaweza kupata single mother mzuri, katoka familia nzuri, Ila sasa connection za ada, mtoto kwenda kwa baba, doooh acheni tuu wadada kwa kweli huku ni kujitoa muhanga , fikirini decisions zenu kabla ya kutenda.
Haujakamilika weweUnaanzaje kuoa single mom labda?
mmmmmhAisee kuachana ni ngumu sana. Mtu akishakuzalia mtoto mnaachanaje? Kwanza hata aliyemuoa anashindwa kupita nae mbele ya mzazi mwenzie anajisikia vibaya.
Kwa mwanamke anaejitambua hawez fanya ujinga huoHuo ndo ukweli acha kubisha ...ndo mlivo
Sio kweliSiyo single mother mwanamke yeyote mwenye mwanaume aliyewahi kuvunja naye amri ya sita hata akiolewa anaendelea naye tuu.
Ww hauna mawasiliano na baba mtoto?!Hamna kitu kama hicho
Basi uwe na nye.ge namm tuongeze wa piliHuu mwandiko kama vile we ndo jamaa mwenyew[emoji12] [emoji12] halafu sio wote wa hivyo mi nimezaa na jamaa lakini tunaonana january kwenye ada ya mtoto na hata nyege nae sina
We nawe umependwa si u funguke????
Unajizibia ridhki mwnywTokea vita ya kagera iishe
Prove?Amekudanganya nani?wanawake tunajua kuigiza sana ujue na huwez jua sababu ya yeye kukubal umvue [emoji23] [emoji23] [emoji23] usijipe moyo
True Dear,tatizo watu wamekariri hawajui kua mtu ukiamua ku move on unaamua na maisha yanaendelea kama kawaida na unaanzaje kurud kwa mtu ambaye hakuona thaman yako??i repeat wanawake wapumbavu ndo watafanya hayo sio kwamba sngle mama ndo tabia tuliyonayo no a Big no kwa tunaojielewa na kujitambua huo ujinga hakunaKwani lazima awe anamuwaza mzazi mwenzie?pengine anamuwaza jamaa mwingine tofaut na mzazi mwenzie
Halafu nyie wanaume hamjui tu mnaweza sana kubadilisha akili ya mwanamke ...mpende sana,mjali,mtunze ye na mwanae
Ndo tunachotaka sasa atakumbukaje misri?mateso,kuachwa,maumivu?
Kuzaa na mtu sio sababu ya kuendelea kumpenda
We only love once ..na tukiacha tumeacha kweli
'Wanawake wapumbavu"........ Neno hili likitajwa na mwanamke ,huwa linadhihirisha kua nimwanamke anayejielewa ,anajitambua na aonaye uzi utenganishayo mazuri na maupumbavu.True Dear,tatizo watu wamekariri hawajui kua mtu ukiamua ku move on unaamua na maisha yanaendelea kama kawaida na unaanzaje kurud kwa mtu ambaye hakuona thaman yako??i repeat wanawake wapumbavu ndo watafanya hayo sio kwamba sngle mama ndo tabia tuliyonayo no a Big no kwa tunaojielewa na kujitambua huo ujinga hakuna
Umezalishwa nini?mti wenye matunda ndo upgwao mawe
Swali gan hiloUmezalishwa nini?
Yeah'Wanawake wapumbavu"........ Neno hili likitajwa na mwanamke ,huwa linadhihirisha kua nimwanamke anayejielewa ,anajitambua na aonaye uzi utenganishayo mazuri na maupumbavu.
I hope illuminata na Master Wangu ,mko poa !!.
Kama Wewe tu ,nko poa sana .. nkaona nipite nikusalimie.Yeah
We are good hope you also
Thank youKama Wewe tu ,nko poa sana .. nkaona nipite nikusalimie.
Asante nawee pia !!.[emoji120] .Thank you