Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

maisha ya mahusiano yamepoteza upendo, msisimko, huruma hakuna , ni kusalitiana tu, baba mmoja naweza kua na watoto 5 wa single mothers na asiwajali , ukijua hayo ni kutulia tu na mwanao ukalea uepuke pressure

Mais
Kwa nini wazae na waume wasio tupenda?
 
Unamaanisha wakiwa vyuoni? Kwa hili, vijana wa kiume hawastahili lawama ya kungoneka wakiwa masomoni?
Huwa sioni sababu ya single mother kulaumiwa bali anayestahili lawama ni baba kwa kushindwa kuwajibika kama mwanaume
 
Huwa sioni sababu ya single mother kulaumiwa bali anayestahili lawama ni baba kwa kushindwa kuwajibika kama mwanaume
Kwamba wanaaminishwa na wanaume/ wa baba kuwa watatunza familia.
Baadae huishia mitini.
 
wanaume wamekuwa matapeli sana sikuhizi sio siri!

na waongo sana!

Miss Natafuta njoo mjenge kakako!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…