Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

maisha ya mahusiano yamepoteza upendo, msisimko, huruma hakuna , ni kusalitiana tu, baba mmoja naweza kua na watoto 5 wa single mothers na asiwajali , ukijua hayo ni kutulia tu na mwanao ukalea uepuke pressure

Mais
Kwa nini wazae na waume wasio tupenda?
 
Unamaanisha wakiwa vyuoni? Kwa hili, vijana wa kiume hawastahili lawama ya kungoneka wakiwa masomoni?
Huwa sioni sababu ya single mother kulaumiwa bali anayestahili lawama ni baba kwa kushindwa kuwajibika kama mwanaume
 
Huwa sioni sababu ya single mother kulaumiwa bali anayestahili lawama ni baba kwa kushindwa kuwajibika kama mwanaume
Kwamba wanaaminishwa na wanaume/ wa baba kuwa watatunza familia.
Baadae huishia mitini.
 
Habari zenu wakuu?
Nimesikia Kituo kimoja cha Radio kikitangaza kuhusu akina mama wanaolea na kutunza watoto pasipo msaada wa wazazi wa kiume.
Akina mama hawa hujulikana kwa jina la Kiingereza " SINGLE MOTHERS". Kwa sasa idadi ya Single mothers inazidi kuongezeka mijini na vijijini.
Kuongezeka kwa Kundi hili kunatokana na nini?
1: Wanaume wanaogopa kuoa na kutunza familia?
2: Wanawake wanashindwa kutunza ndoa zao?
3: Wanawake ( vijana) wanapenda kuzaa na wanaume wenye ndoa zao?
4: Talaka zimekuwa nyingi?
# Demiss, Bujibuji,Thad, Kichwa kichafu,Mzizi Mkavu,.Maserati.Mwifwa,Saint Ivuga,Chaga one, Mshana Jr.
wanaume wamekuwa matapeli sana sikuhizi sio siri!

na waongo sana!

Miss Natafuta njoo mjenge kakako!
 
Back
Top Bottom