Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Mie nimempachika mja mimba sasa hajui kama am married na amejiaminisha so nachofanya namdiss mtoto wake kwamba baba yake yuko asiniletee bajeti ambazo sihusiki,Mara aseme Nina roho mbaya Mara aseme kitoto changu xjui itakuwa hivi au vile,Mara aseme anajuta kunikubalia yaani ilimradi anatapatapa so na mm nakaa ili nimdiscourage anione roho mbaya apoteze mawazo ya kumuoa ila ntamtunza mtoto wangu pindi akijifungua
 
Naona unamfanya awe single mother square
 
Mtoto yuko kwa bibi yake mzaa mama ingawa mzazi mwenzie hausiki na malezi na wala hakuna mawasiliano
 
Upo kwenye ndoa ila umeuza mechi mkuu, mbona hatari iyo
 
Haya mambo hayana formulae Kama na wewe ni single dad hamna namna oa tu single mom
 
Apo akili kumkichwa wengi huwa wanaathirika kisaikolojia, tumia nguvu ya ziada kumludisha kwenye hali ya kawaida
 
Kwanza Nakupongeza kwa kuwa hukutoa mimba..! Ubarikiwe sana.
Ila, usimlazimishe mwanamume kulea mtoto, kama hataki muache tu.
Lea mwanao atakuwa msaada mkubwa kwako baadae.
Usikubali awe kichwa cha habari cha media kuwa "MTOTO AMETELEKEZWA" wakati wewe Mama Uliembeba kwa Miezi 9 tumboni upo HAI na Una Nguvu na Akili,
Vaa ujasiri, muombe Mungu msamaha kwa lililotokea, Songambele.Usiuze Utu..
Uza mbogamboga,Uza Karanga fanya chochote kilicho halali ili mwanao akue...
Atakupenda na akikua atajua kabisa kuwa wewe ndiye uliyemlea bila baba.
Hapo ndipo baba atakapoanza kujipendekeza baada ya mtoto kufanikiwa na kuwa mtu mkubwa.
Nani ajuaye? Huenda Mungu kakuweka mbali na huyo baba ili akuokoe na kitu kibaya mbele,
Hivi mnajua kuna watu wanazaa na mtu ili atakayezaliwa aje kuwa mbuzi wa kafara?
Yes, anaona biashara zinayumba anaamua azae na wewe ili apate cha kutoa.
Tulia mama Lea mwanao, muombee kila siku, Mungu atanyoosha mkono wake.

#SikuNjema.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakazia hili " Mwanaume atakayekupenda wee. Alafu akawa hampendi mwanao/kumhudumia yaan yeye anataka Mzigo ".... ACHANA NAYE ,,, atakutenganisha kiroho na mtoto wako !! ..ndo yaleeeeee " Mpeleke mtoto kwa Bibi yake"....ili hali kabla hajaja huyo mwanaume, ulikua unauwezo.wa kujimudu ww na mwanao !! .
 
pole sana single maza!


pambana, kaza utatoka tu
ulibeba mimba kwa lengo la kutaka kuforce ndoa bila kumshirikisha mwanaume wako, usijute we jipe moyo na jikite zaidi katika malezi

BTW wanaume tuwe mbali na tujiepushe na hawa singo maza, ukizama nao penzini.....madhira yao si ya nchi hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…