Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,627
- 38,689
Kweli kabisa mkuuNakazia hili " Mwanaume atakayekupenda wee. Alafu akawa hampendi mwanao/kumhudumia yaan yeye anataka Mzigo ".... ACHANA NAYE ,,, atakutenganisha kiroho na mtoto wako !! ..ndo yaleeeeee " Mpeleke mtoto kwa Bibi yake"....ili hali kabla hajaja huyo mwanaume, ulikua unauwezo.wa kujimudu ww na mwanao !! .
Hawana shida yoyote mkuu..kosa lao ni kukataa kutenda dhambi ya abortionpole sana single maza!
pambana, kaza utatoka tu
ulibeba mimba kwa lengo la kutaka kuforce ndoa bila kumshirikisha mwanaume wako, usijute we jipe moyo na jikite zaidi katika malezi
BTW wanaume tuwe mbali na tujiepushe na hawa singo maza, ukizama nao penzini.....madhira yao si ya nchi hii
Niko poa,.nimekumisss[emoji4]
Ushauri wako unatia moyo asante sanaNakazia hili " Mwanaume atakayekupenda wee. Alafu akawa hampendi mwanao/kumhudumia yaan yeye anataka Mzigo ".... ACHANA NAYE ,,, atakutenganisha kiroho na mtoto wako !! ..ndo yaleeeeee " Mpeleke mtoto kwa Bibi yake"....ili hali kabla hajaja huyo mwanaume, ulikua unauwezo.wa kujimudu ww na mwanao !! .
Yaani kabisa mimi nianze kulea litoto la mtu sijui nilipie ada ya shule sijui linaumwa nilipie hela ya matibabu hospital, halafu wakati huo libaba lake lipo tu linadunda mitaani??? SHUBMATT NYIE SINGLE MOTHERS BAKINI NA PAPUCHII ZENU TU MAMAEE!Nakazia hili " Mwanaume atakayekupenda wee. Alafu akawa hampendi mwanao/kumhudumia yaan yeye anataka Mzigo ".... ACHANA NAYE ,,, atakutenganisha kiroho na mtoto wako !! ..ndo yaleeeeee " Mpeleke mtoto kwa Bibi yake"....ili hali kabla hajaja huyo mwanaume, ulikua unauwezo.wa kujimudu ww na mwanao !! .
Na Mbingu zikakubariki Uwe Mwanamke na Mama bora zaidi !!
[emoji107]pole sana single maza!
pambana, kaza utatoka tu
ulibeba mimba kwa lengo la kutaka kuforce ndoa bila kumshirikisha mwanaume wako, usijute we jipe moyo na jikite zaidi katika malezi
BTW wanaume tuwe mbali na tujiepushe na hawa singo maza, ukizama nao penzini.....madhira yao si ya nchi hii
Mkuu maneno makali sana hayo!!!duhYaani kabisa mimi nianze kulea litoto la mtu sijui nilipie ada ya shule sijui linaumwa nilipie hela ya matibabu hospital, halafu wakati huo libaba lake lipo tu linadunda mitaani??? SHUBMATT NYIE SINGLE MOTHERS BAKINI NA PAPUCHII ZENU TU MAMAEE!
pole sana single maza!
pambana, kaza utatoka tu
ulibeba mimba kwa lengo la kutaka kuforce ndoa bila kumshirikisha mwanaume wako, usijute we jipe moyo na jikite zaidi katika malezi
BTW wanaume tuwe mbali na tujiepushe na hawa singo maza, ukizama nao penzini.....madhira yao si ya nchi hii
Ahsante kwa niaba,.
Siku njema pia na ubarikiwe!!!
SORRY FELLA, I CANT BE TOO POLITICALLY CORRECT AND I HATE POLITICAL CORRECTNESS.Mkuu maneno makali sana hayo!!!duh
Mimi ni Mwanaume.Yaani kabisa mimi nianze kulea litoto la mtu sijui nilipie ada ya shule sijui linaumwa nilipie hela ya matibabu hospital, halafu wakati huo libaba lake lipo tu linadunda mitaani??? SHUBMATT NYIE SINGLE MOTHERS BAKINI NA PAPUCHII ZENU TU MAMAEE!
Sijawahi kushawishi mwanamke yeyote atoe mimba let alone to abandon the child that already biologically belongs to her. Kutupa mtoto kisa tu baba yake kakimbia ni sawa na kukataa mguu baada ya kukanyaga mavi, hivyo naomba unitoe kwenye kundi la wanaume wenye fikra za namna hii.Mimi ni Mwanaume.
Kwanza lazima Ujue Mtoto aliyezaliwa hana kosa , na hakulazimishwa kuja dunian, Bali aliwekwa tumbon ,ila kwa namna moja nanyingine Walomleta wakaachana,...
IVI UNAJUA UCHUNGU WA MWANA AUJUAYE NI MAMA YAKE nasio Mwanaume??? .
Ndio keshazaa, ulitaka amtupe?? Yaan maumivu yote ya leba ,miezi yote ya mahangaiko ya mimba. Kutapika, kususia vyakula, kuumwa, kuzimia , Leo AJE AZAE ALAFU AMTUPE MWANAWE KISA BABA WAMIMBA KAMKIMBIA????? .
KWANZA MLAANIWE WANAUME WOTEE MNAIWAPA MIMBA WANAWAKE NAKUZIKATAA ,MLANIWE ZAIDI YA WALOLAANIWA.
nakuja kwako.
Umemwona Mwanamke ana mtoto. Ila yupo singoo, Moyo wako umempenda maana mapenzi hayana macho. umemtongoza kakubali. alafu leo hiii kisa umeshakula mzigo Uanze ohoooo mtoto ohooo mpeleke kwao ohooooo sijui nn .. Ulipomfata hukujua anamtoto??? Nakwann umpende Mama mtu ,alafu uchukie mwanawe??? HUO NI UPENDO AU ILLUSION???? ... wewe huwapendi hata watoto wa majiran?? Kama unawapenda kwann umchukie mtoto wa Mwanamke wako anayekuvulia chupi?????
Unajua huyo mtoto baadae atakua nani?? Wakat ambao watoto wako wameishia kua walevi????
inaweza kua Disgraceful Pregnancy BUT KAMWE HATOKUA DISGRACEFUL CHILD!!
MTOTO WA MWENZIO NISHARIT UMUONE KAMA MTOTO WAKO. NA MWENZIO NIHUYO MWANAMKE ULOMTONGOZA KWA KILA AINA YA MBWEMBWE.
Wanawake wanaojielewa na huru HAWATOKAA WARUHUSU UHUNI WA WANAUME KM WEWE.
watakaoruhusu niwale ambao hawana elimu. Hawana maisha yaan ni Tegemezi.
HIVYO , WANAWAKE MJITAHIDI SANA KUA NA UCHUMI BINAFSI , UKIWA NAUVHUMI BINAFSI ,HAWA WANAUME WATAWAABUDU NYINYI NA WATOTO WENU.
alafu nikupe somo..."UKITAKA UFAIDI RAHA ZA HAWA WANAWAKE. HAKIKISHA UANMPENDA SAAAAAAAAAANA MTOTO WAKE , HAPO ATAKUPA RAHA. AMANI NAKILA AINA YA JEMA UNALOTAKA"...unajua kwann??? KWASABABU UNAMFANYA ASIMUWAZE BABA MTU KWANN HATOI PESA ZAMATUMIZI.
Kinyume nahapo. Atawasiliana na Baba mtoto wake Pesa ya mtoto...alafu ukikuta mawasiliano unaaanza kununa..SASA HII NI AKILI AU MATOPE???
haijalishi ni mama wa mtoto au Hana mtoto , hivo havitaondoa ukweli kua ni Mwanamke na daima lazima umuishi kama mwanamke , umfanye kua Malikia kwako kisha utamfurahia.
Hebu tupe baadhi ya hayo madhirapole sana single maza!
pambana, kaza utatoka tu
ulibeba mimba kwa lengo la kutaka kuforce ndoa bila kumshirikisha mwanaume wako, usijute we jipe moyo na jikite zaidi katika malezi
BTW wanaume tuwe mbali na tujiepushe na hawa singo maza, ukizama nao penzini.....madhira yao si ya nchi hii
Mtoto anakula ulaji na kulipiwa ada kwa mgongo wa papuchi ya mama ake[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sijawahi kushawishi mwanamke yeyote atoe mimba let alone to abandon the child that already biologically belongs to her. Kutupa mtoto kisa tu baba yake kakimbia ni sawa na kukataa mguu baada ya kukanyaga mavi, hivyo naomba unitoe kwenye kundi la wanaume wenye fikra za namna hii.
Kumpenda mwanamke ambaye tayari alikwisha zaa(single mom) sio lazima nimpende na mtoto wake na wala hiyo sio sheria, mimi nimemu approach huyo mwanamke baada ya kumuona na kuvutiwa na yeye na sikuvutiwa na yeye pamoja na mtoto wake hivyo kama kuna nitakachokifanya basi itakuwa ni kwa ajili yake na sio kwa ajili ya yeye pamoja na mtoto wake sababu i have no business with her so called daughter/son.
Yeye kunivulia chupi sio sababu kuu ya kunibebesha majukumu yasio nihusu, kwanini kwanza nimlipe? sababu hicho unachosema ni sawa na kumlipa baada ya kuwa amenifurahisha.
Achana na hizo habari sijui za mtoto wa mwenzio ni wako, dude dunia ya sasa hivi haiko hivyo hao watoto utakaojipendekeza kuwalipia ada leo huko mbeleni hakuna mtu mwingine watakae mkumbuka zaidi ya mama yao naongea hivi mifano nimeiona.. hivyo nilivyokwishasema mimi nata deal na huyo single mother tu hao watoto wake wakija kuwa mapadri,mawaziri,mabalozi,madaktari,maraisi etc itakuwa ni juu yao na mama yao their future is none of my damn business.
Wanawake wanaojielewa hawawezi kumbebesha hawara majukumu yasio muhusu sababu itaonesha wanagawa mwili hili mwanae apate mahitaji. Mimi kama kutoa hizo huduma kwa mtoto basi itakuwa labda ni kwa kujiskia tu na sio kama sehemu ya majukumu yangu NEVER!! kuna mtu humu aliwahi keleta uzi baada ya kupigwa mzinga wa ada ya shule na single mother ambayo ni shilingi milion sita za kitanzania nilishangaa sana inakuwaje mpaka mwanamke anakuona zoba kiasi hiki.
Aiseee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]watamu haoooo acha tuu. yaani wanajitumaje kwa kitanda mpaka raha. sasa tena umkute mwenyewe anajiweza kiuchumi yeye anachotaka ni kugegedwa tuu mbona utafaudu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hiyo nzuri sanaHuu ugomvi wa singo maza and whatever umeanzia pale wanawake walipoanza kutaka kumiliki waume zao peke yao.
Lakini wazee wa zamani hata akimkuta mwanamke na mtoto anamuongeza tu kwenye list ya wakeze na maisha yanaendelea.
Kuoa mwanamke mwenye mtoto sio Jambo la Jana Wala juzi.
Ni la miaka mingi tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunashukuru mkuuYaani kabisa mimi nianze kulea litoto la mtu sijui nilipie ada ya shule sijui linaumwa nilipie hela ya matibabu hospital, halafu wakati huo libaba lake lipo tu linadunda mitaani??? SHUBMATT NYIE SINGLE MOTHERS BAKINI NA PAPUCHII ZENU TU MAMAEE!