Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Kwani kutokuoa single mother ni dhambi??? Si kila mtu anapenda kuwa baba wa kambo
 
Msamehe bure tu mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani kabisa mimi nianze kulea litoto la mtu sijui nilipie ada ya shule sijui linaumwa nilipie hela ya matibabu hospital, halafu wakati huo libaba lake lipo tu linadunda mitaani??? SHUBMATT NYIE SINGLE MOTHERS BAKINI NA PAPUCHII ZENU TU MAMAEE!
Daaah una hasira kichizi.
 
Siyo lazima, ila endapo kama anaishi kwako ni wajibu wako pia mfanye ajisikie kama wee ndiye mzazi wake.
Yaani ni wajibu wangu kumlipia ada mtoto wa mwanaume mwenzangu??? Haya sawa akitolewa mahari hiyo mahari nani anapokea???
 
Yaani ni wajibu wangu kumlipia ada mtoto wa mwanaume mwenzangu??? Haya sawa akitolewa mahari hiyo mahari nani anapokea???
Hili swala si la kujadili kwa papara, fikiria kwa kina zaidi, mwanao uliyemkana tangu akiwa tumboni kwa kutomjali kuanzia mama yake, hujui anakula nini, hujui matibabu yake, elimu yake, na maisha yake kwa ujumla hawezi kukuchukulia na kukupa uzito kama wee ni baba yake, huwezi kwenda kudai chochote kutoka kwake zaidi utaonekana mpumbavu.
 
Mimi nilishapita huko mkuu,mwanzo wanapenda mpaka machozi yanawatoka sasa ngoja uingie ndani utajuta kupenda mke wa mwenzio
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hebu tupe mikasa miwili mitatu
 
Mkuu we unaongea tu ,baba atabaki kuwa baba kwasababu wale ni damu moja tofauti na baba wa kufikia,kumbuka lile ni bao lake kabisa na mtoto lazima ampe thamani baba ake wewe ulitemlipia ada ni wa kupita tu,damu ni nzito kuliko hiyo ada uliyomlipia ambayo inaweza isifike hata 20 ml
 
Mtoto anakula ulaji na kulipiwa ada kwa mgongo wa papuchi ya mama ake[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
kamwe siwezi kufanya huo upuuzi wa kukubali kubeba majukumu yasio nihusu, halafu unakuta sasa huyo single mother baada ya kukuona umeingia king anakupa invoice za hatari ambazo hata baba mtoto hawezi kumpa. Utashangaa unaambiwa unforms za mtoto 300k, viatu pea sita, ada ya muhula wa kwanza milion 2, bima ya afya pamoja na matumizi mengine ya ziada 400k. Wakati huo wewe malipo ya kufanya hayo yote ni papuchi tu tena papuchi yenyewe unakuta iko loose haina utamu wowote sababu ilishamwaga oil yaani ile tightness hausikii kabisa...!! eti ukipenda boga penda na ua lake SHENZIII KABISA.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nimecheka kinomaaaaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kisa papuchi unatoa mamilioni halafu huyo mtoto mwisho wa siku anamtafura baba ake,kuoa single mother ni changamoto nyie hehee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaaa hafu bora wewe ndo uwe chanzo cha hiyo loosness kuliko njemba jingine, inauma sana.
 
"Wanawake wanaojielewa hawawezi mbebesha majukumu Hawara" nmeyanukuu maneno haya kama sehem ya kukujaji .

Unazungumzia nn kusema Hawara?? Inamaana Umemtongoza ukijua kua Unataka kupiga tu nakuamsha ??? .. Kwa uelewa wako unahisi Wao huwa hawajui kua wewe umeenda kama hawara na nini wanacho takiwankufanya??? Ukienda kama Hawara mpitaji ,lazima Ukubaliane nahali utakayokutana nayo yaan "Utoaji wa Pesa kubwa kubwa" kwasababu anajua kupitia hiyo hiyo pesa, MWANAWE ALOKIMBIWA NA BABA YAKE ,ANATAKIWA ALE, AVAE NA ASOME KUPITIA IYO PESA !! They Know !!! .... Sasa unataka kwakua umeenda kama Hawara mpitaji Basi ndo uishie kula Utamu wake ,KWA KISINGIZIO CHA "NMEKUPENDA WEWE TU"" ........

, alafu unipate hapa, NI UNAFIKI WA HALI YA JUU SANA KUSEMA UNAMAPENZI NA MWANAMKE ILIMRADI UNACHUKIZWA NAMWANAWE AU UNASHINDWA KUCHUKUA NAFASI YA UBABA KWA MTOTO WAKE ,NAHUKU UKIJUA KUA DAMU YA MTOTO WAKE NDIO DAMU YA MWANAMKE UYO UYO UNAYESEMA UNAMPENDA...... NINI MAANA YA KUPENDA HPO??? .

IVI UNAJUA KWA MWANAMKE ,MTOTO WAKE NIKM KILIVYO KIUNGO CHAKE??? UNAJUA MWANAMKE MTOTO WAKE NIKM FIGO /MOYO WAKE ?????? .

SASA KWANN USHINDWE KUJIONGEZA TU NAKUJUA HIZI DAMU MOJA LAZIMA NIZIISHI SAWASAWA???

UNADHAN HATA KAMA UMEENDA KM HAWARA MPITAJI, HUYU MAMA MWANAWE AKIUMWA , UTAKIPATA UNACHOTAKA ?????

KWANN UMUISHI MTOTO WAKE KWAHSIA MBOVU TENA NEGATIVE ETI " HATOKAA ANISAIDE " NANI ANAJUA BAADAE ZETU???? WANGAPI WAMEKUJA KUSAIDIWA NA WATOTO WAO WAKAMBO??? WANGAPI??? AU UNATAKA NIKUPE NAMIFANO YA WATU WAKUBWA WALIOKO SERIKALIN NAVYOMBO VYA DOLA AMBAO NI MATOKEO YA UTOTO WA KAMBO NASAIZI BABA ZAO HAO WAKAMBO WANAISHI MAISHA MAKUBWA YASOKUA NAMFANO???? .

HUWEZ KAAA UISHI NA MAWAZO HASI YANAMNA HIYO JUU YA KIUMBE AMBAYE BADO HAJUI HATIMA YAKE.

WALIPOSEMA SAMAKI MKUNJE INGALI MBICHI WALIKUA NAMAAANA GAN?? MTOTO UTAAVYOMLEA NDIVO ATAKAVYOKUA ,HAIJALISHI NI MTOTO WAKAMBO AU NIWAKO HAIJALISHI ILO , HUYU MTOTO WA KAMBO UNAWEZA KUMUISHI NAMAISHA YAKE YOTE WEWE NDO UKAWA BABA YAKE.

NAKUPA MFANO.. MOJA WA WAJOMBA ZANGU ALIMKATAAGA MWANAMKE NA MTOTO, HUYO MAMA AKAOLEWA. ALIYEMUOA KASOMESHA SANAA MPAKA JAMAA SAIZ NI PhD holder , mambo si mambo Magufuli kampa boooooonge la kitengo, Jamaa Kamshushia Uyo BABA WAKAMBO BOOOOOONGE LA MJUMBA ,KWAUFUPI KABADILISHA MAISHA MAKUBWA YA BABA WAKAMBO NA MAMA YAKE.


Niseme ivi,,, KAMA UMEMTONGOZA MWANAMKE MWENYR MTOTO KWA LENGO LA KUOA NILAZIMA UMPENDE MWANAYE TENA UMPENDE SANAAAA !!


kama umemtongoza ukiwa kama HAWARA MPITAJI ,NILAZIMA UKUBALIANE NA HALI YAKE NA NILAZIMA USITUMIE SABABU YA KUMPA HUDUMA KUMUACHANISHA NA MWANAWE.

YAAAN NIIVI, UWE UMEMTONGOZA KWA LENGO LA KUPITA, AU KWA LENGO LA KUA NAYE KIMAISHA,, HATA KAMA HATOKUOMBA UMUHUDUMIE NILAZIMA UJIONGEZE KUA , MTOTO ANAHITAJI MALEZI YA BABA ILI AZIDI KUA MTOTO WAKIUME ATAKAYEKUJA KUA MWANAUME KAMA WEWE.



MIMI NASEMA IVI, NI UNAFIKI WA HALI YAJUU KUMNUNULIA HUYI MWANAMKE NGUO YA SIKUKUU , HUKU UKIACHA MWANAWE BILA KUMNUNULIA NGUO YA SIKUKU !!! hiyo sio akili bali ni tope.... Nimara mia Mwanawe Umnunulie alafu yeye Usimnunulie.


( Nyinyi ndo baadae mnakujaga humu kuanzisha minyuzi isokua namaana eti " Masingo maza punguzeni Mizinga" ) ...una akili kweli????? Ushindwe kumjali mwanawe waziwazi utegemee usimjali bila wewe kujijua kama unamjali?????.


NINGEKUA NA NGUVU YA AJABU. NINGEWAFANYA WANAUME WOTEEE MNAOWAFATA HAWA WAMAMA KWA LENGO LA KUPIGA TU, MUWE MAZEZETA KIASINKWAMBA KILA PESA ATAKAYOKUOMBA UYU MWANAMKE UITOE HARAKA na IENDE KUMLEA MWANAYE !!.
 
Yaani ni wajibu wangu kumlipia ada mtoto wa mwanaume mwenzangu??? Haya sawa akitolewa mahari hiyo mahari nani anapokea???
Hawa watoto waliozaliwa na kulelewa na single mother huwa ni wachache sana wanaowakumbuka na kuwathamini watu wa pembeni wakifikisha umri wa utu uzima na hasa wakiwa na mafanikio.

Nimeona watu waliosomeshwa na mababa wa kambo ambae ni mume halali wa mama yake baada tu ya wao kufanikiwa, aliyekumbukwa sana ni mama wala sio baba.. Sasa kama hata mtu amemuoa mama yake athaminiwi sembuse wewe ambaye ni hawara tu wa mama yake!!?

ni vigumu sana mtoto wa single mother kumpa thamani sawa anayompa mama baba yake wa kambo, hata ukiangalia interviews za celebrities wengi maarufu ambao hawakupata malezi ya baba mzazi utaskia "you know my mom this...my mom that" huwezi kuskia my step father hata kidogo.

HAKUNA KUBEBA MAJUKUMU YASIO KUHUSU UKIWA KWENYE MAHUSIANO NA SINGLE MOTHER PERIOD
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…