Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Kwani kutokuoa single mother ni dhambi??? Si kila mtu anapenda kuwa baba wa kambo
Nasema ivi, Mwanamke awe anamtoto au hana mtoto ATABAKI KUA MWANAMKE . Nakama umemuona anafaa kua Mke wako USISITE KUMUOA KWASABABU , USIPOMUOA KUNA MTU ATAMUOA FASTA ..ndo utarudi unalia kamasi zinakutoka.

Na usiombe awe ni yule alokimbiwa , mwanamke anayehitaji Shujaa wa maisha yake kwaajili ya kuionyesha dunia kua HUYU MWANAMKE NAMTOTO SIO KWAMBA ALIKIMBIWA KWA MAKOSA YAKE ,BALI ALOMKIMBIA NDO FALAA ,NASASA NMEMUOA MIMI" ....aseee mwanamke wa hivi ukimpata nimpaka utajiona uko Mbinguni.
 
Exactly mwisho wa siku yatakutokea puani afu utajiona fala sanaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani nilie kisa single mother wewe fala kweli we mtoto[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hivi ukiwa na single mother ni lazima kumuhudumia mtoto wake?
Nilazima umuhudumie. Sikia mzee, Mwanamke anapofall in love anakuhesabu kama shujaa kwa mambo mengi yanayomuhusu. Nawanapopenda hupenda kwa dhati sana...

Sasa kwann usijiongeze tu???

Believe me...NIMWANAMME MASIKIN NA ANAYEPENDA VYA KUNYONGA NDIO HATOJALI MTOTO WA MWANAMKE WAKE
 
Rudia tena??? Yaani unamlipia ada mtoto wa mwanaume mwenzako wakati yeye yupo anadunda mtaani,huyo mwanamke mwenye mtoto uliyemuoa ngoja yeye na mama ake wafichue makucha yao ndipo utakapojiona fala
 
Rudia tena??? Yaani unamlipia ada mtoto wa mwanaume mwenzako wakati yeye yupo anadunda mtaani,huyo mwanamke mwenye mtoto uliyemuoa ngoja yeye na mama ake wafichue makucha yao ndipo utakapojiona fala
Hamna kitu kama iko...ona akili za wanaume zilivyo zakipuuzi...AKILIPIWA ADA NA BABA YAKE MZAZI ..utasema nyie bado mnawasiliana.


Mama mtu akikuomba Ada..unasema sina.... Akikuomba Ruhusa yakwenda ofisin kwa baba mtu kuchukua pesa ya ADA...unavuta mdomo kama Falaaa.... Akimpigia simu ndo UTAMWAMBIA WEKA LOUD SPEAKER ,,, Ikiingia meseji akiuuliza hali ya mtoto au meseji ya hela..ndi unaanza kulalama, ohoooooo kwann akutumie pesaaa ,yann..ohoioo kwann umwambie mtoto anaumwa wakat nipo??? ...... Hii sio akili ni Matope !!

Kwaiyo unataka kotekote huduma ya mtoto aikose!!???

Ni Unyau wa kiwango cha juu sana , kumfanya mtoto ajute kwann ANAISHI!!!
 
Umetoa mapovu sana,hivi unajua changamoto za kuwa baba wa kambo???? Afu umekosea sana ngoja nikusahihishe,damu ya huyo mtoto ndiyo damu hiyo hiyo ya baba ake aliyemkataa
 
" Ona akili za wanaume zilivyo" hiyo sentensi ndo imenifanya nijue wewe ni mtu wa namna gani,kama sio mwanamke basi wewe ni mchicha mwiba a.k.a shoga mwanaume mwenye tabia za kimama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Papuchi liko loose ha ha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asilimia kubwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Na bado inategemea Factors mbali mbali.

Moja wapo niwewe kutomjali mtoto wake. .siku akienda kwa jamaa kuchukua pesa ya mtoto??? Hata kama nimimi namlilia tukumbushie nkidogo.

Hutaki, mjali yeye na mwanawe nakwasababu anaakili mtakuanmmziba mianya yote nahata Mwanake hatokua anamis kitu .

So itabaki historia tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…