Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Toka zako hapa. Nimekulia nyumbani kww baba na mama. Kulelewa na baba wa kambo sio hoja. Hoja ni kuwa mama yako aliolewa na baba yako kabla wewe hujazaliwa?usikute wewe mwenyewe umelelewa na baba wa kambo...angalia usijemeza matapishi yako
But not me.Izi mada izi ...
Mimi naamini Singo mama ataolewa namwanaume yule wanayependana.
This is anothe case. Ushasema mke....tukiwa mwili 1 tutapanga sote. Nikiwa sijakuowa wewe sio mwili wangu take care of yourself.Hatariii Brother,.unaeza oa huyo binti and still akawa ni mama wa marehemu (kashachomoa mimba ktambo) na mbya zaid ackuzalie, et wanaume kazi yenu kutandka kwahyo ukioa mkeo ye ndo apange jinsi mtakavyozaa watoto interval yao wapishane Vip, we unatandka......
Ndio not you mkuu kwakua Haupendani naye.But not me.
Nishasema asibebe mimba. Alotoa mimba means alishika mimba.Ndio not you mkuu kwakua Haupendani naye.
Sema nn, angalia hata usije angukia kwa "Mama Alotoa mimba kadhaa" .
Dunia hii ya ajabu sana aseee
kama umeoa na una watoto ndani ya ndoa ni kitu kizuri kama bado hujaoa nakutakia kila la heriToka zako hapa. Nimekulia nyumbani kww baba na mama. Kulelewa na baba wa kambo sio hoja. Hoja ni kuwa mama yako aliolewa na baba yako kabla wewe hujazaliwa?
Asantekama umeoa na una watoto ndani ya ndoa ni kitu kizuri kama bado hujaoa nakutakia kila la heri
Well sasa ndugu. Utajuaje kama ameshawah beba au hajawahi??Nishasema asibebe mimba. Alotoa mimba means alishika mimba.
Time will tell. Ikifika mahali hashiki mimba na sababu alitoa mimba....I dnt give a damn.Well sasa ndugu. Utajuaje kama ameshawah beba au hajawahi??
And that is the truth. Mtoa mada naona amkuja kwa kasi kama amekunywa chai ya moto.Izi mada izi ...
Mimi naamini Singo mama ataolewa namwanaume yule wanayependana.
And that is the truth. Mtoa mada naona amkuja kwa kasi kama amekunywa chai ya moto.Izi mada izi ...
Mimi naamini Singo mama ataolewa namwanaume yule wanayependana.
Umenena vyema. Wamejiharibu wenyewe. Wengi wana tabia chafu. Wachache wenye tabia nzuri wife material. Ukibahatika naye oa. Sijakukataza.And that is the truth. Mtoa mada naona amkuja kwa kasi kama amekunywa chai ya moto.
Kwanza si singo mothers wote ni wabaya, au walikuwa na tabia chafu huo si ukweli. Japokuwa asilimia kubwa hapo walipo ni wao walichangia kujiharib kwa tabia chafu.
Asilimia ndogo wanajielewa.. na wanaoleka vizuri na ni wife material wanao eleweka.
Kweli kabisa mkuuAnd that is the truth. Mtoa mada naona amkuja kwa kasi kama amekunywa chai ya moto.