Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Umri wako tafadhari,,msichana wako kapewa mimba nini?
 
Sijazungumzia issue ya kuchepuka hapa. Kuchepuka hata bint aliyeolewa bikra anachepuka.
Ndo hivyo sasa, swala ni kupata mke mtakayependana na kuendana kuoa mwali si kigezo kwamba ndoa yako itakuwa sustainable. Kuna complications nyingi kwenye hizi mambo, punguza kukurupuka na kuanza kutoa kufuru
 
Yap,atakuwa ameziona changamoto za kulelewa na baba wa kambo/single mother ndo maana hataki kuoa single mother,yupo sawa tu,kwa hiyo kama mama ake alikuwa single mother na yeye ndiyo aoe single mother?
unasubiria jibu??
 
Unawasema single mother si kazi umelelewa Na baba Wa kambo au umezaliwa nje ya ndoa,pole Sanaa..

Kuna jamaa alikuwa anakazia kama wewe ingalia Kalelewa na baba Wa kambo hadi anajitambua.
Kwa hiyo kama amezaliwa nje ya ndoa na yeye ndo azae nje ya ndoa? Kama alilelewa na single mother na yeye ndo aoe single mother?
 
Well said
Hata kama mleta mada atapigwa mawe lakini kaeleza ukweli mtupu. Hasa aliposema wazazi wa mtoto wa kiume huwa wanasononeka, hili ni kweli maana hata Mimi liliwahi kunikuta. Nilimpata single mother mmoja mkali kwa sura, nikachukua picha yake kwa mbembwe hadi kwa mama. Lahaulah!!
MAMA: Mbona kama alishazaa na MTU
Mwingine?
MIMI: Ah! Mama? Kwani hilo ni tatizo?
Kikubwa upendo tu.
MAMA: Umechunguza kwa nini aliyezaa
naye hakumuoa?
MIMI: Nadhani ni tabia za vijana wa siku hizi kutopenda kuoa, lakini mbona ana tabia nzuri sana?
MAMA: Hayo unajaribu kupamba, lakini
Mbele ya safari utakutana na
hali halisi ndo utajua kwa nini
Aliyemzalisha hakumuoa.
MIMI: Kimyaaaaaa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…