Kama mama ake aliolewa akowa single mother kwa hiyo na yeye ndo aoe single mother?usikute yy mama yake aliolewa akiwa single mother
Yeye nani? Mimi ndio mto mada na mama yangu hajawahi kuzaa kabla wala nje ya ndoa. Una swali?usikute yy mama yake aliolewa akiwa single mother
Nipo singleMuulize uliye nae..
Facilities[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Tatizo lenu vijana mkishauliwa msichague facilities zenye ushindani mnajifanya kukomaa vichwa, ona sasa mnavyopata tabu sn
Yaani sijaelewa unapitiwa unakua umelewa auEee aya mkuu
[emoji12] hahaha dogo hii ni typing error tu, lakini haiondoi mantikFacilities[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Hivi we hata shule umekwenda?
Mimi ni zao la single mom...mamaangu alifiwa na mmewe (yaani baba yangu)mi nikiwa na miaka 2 tu,Toka zako hapa. Nimekulia nyumbani kww baba na mama. Kulelewa na baba wa kambo sio hoja. Hoja ni kuwa mama yako aliolewa na baba yako kabla wewe hujazaliwa?
Kwa mwanamke kufiwa hiyo ni kesi nyingineMimi ni zao la single mom...mamaangu alifiwa na mmewe (yaani baba yangu)mi nikiwa na miaka 2 tu,
Babangu wa kambo kanilea bila shida
Tena ilichezwa mpaka akapata mimba halafu mtu unaenda kuoa,aisee mimi wanisamehe tu siwezi kuoa single mother hata nipewe bure bila mahaliDah....ni kidhibiti namba 1 kuwa gem ilichezwa peku...ukweli mchungu...[emoji41]
Wewe umeongea kitu cha maana sana, tuko pamoja mkuu. Mke wa ndoa anapaswa kuwa bikra na siyo "used".Mimi nilishajiwekea toka mwanzo kwamba ntaoa bikra,akikosekana basi sitooa
Tunaweka msimamo. Sio ambaye sio bikra. Let them pay the price.Wewe umeongea kitu cha maana sana, tuko pamoja mkuu. Mke wa ndoa anapaswa kuwa bikra na siyo "used".
Mwanamke alishafanya mapenzi na watu wengine halafu unaenda kumuoa kansani,sasa si unafiki huu???huo ujinga sintokuja nifanye maisha yangu yoteWewe umeongea kitu cha maana sana, tuko pamoja mkuu. Mke wa ndoa anapaswa kuwa bikra na siyo "used".
Mkuu am out [emoji112]Yaani sijaelewa unapitiwa unakua umelewa au
Hahahah [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Naona umepanik kijana, OK.this time hawatakuacha watakuchagua tu.