Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Tatizo lenu vijana mkishauliwa msichague facilities zenye ushindani mnajifanya kukomaa vichwa, ona sasa mnavyopata tabu sn
Facilities[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Hivi we hata shule umekwenda?
 
Haya mambo sio ya kuyaapia hataaa.... heri kukaa kimya mie mdomo wangu koma.. kwani tushaona mengi sana zaidi ya haya na watu wanastaajabu yaliyotokea kwani walikula viapoa na viapo..... yajayo yanafurahisha sana,,,,😂😂😂
 
Toka zako hapa. Nimekulia nyumbani kww baba na mama. Kulelewa na baba wa kambo sio hoja. Hoja ni kuwa mama yako aliolewa na baba yako kabla wewe hujazaliwa?
Mimi ni zao la single mom...mamaangu alifiwa na mmewe (yaani baba yangu)mi nikiwa na miaka 2 tu,
Babangu wa kambo kanilea bila shida
 
Bahati mbaya Sana hao unaosema" mama zetu" wengine nao walizalia nyumbani kwao.
Wameolewa na kusitiriwa kwenye mitala wakiwa na watoto.
Na watoto wao wa kike wamezalia nyumbani na ni singo maza.

Kikubwa ni hawa wadada watambue kuwa jungle imekuwa ngumu.
Hakuna mwanaume wa peke yako. Ukiona Kuna mahali umebugi tafuta mwanaume akusitiri tu Kama unataka kuishi na mwanaume.
Tatizo siku hizi kila mtu anataka kuwa na mume wake peke yake!!
 
Back
Top Bottom