kabisaMara nyingi ukiwa u akipinga kitu ndicho kinakutokea na unakipenda haswaa
Umaarufu wake ni nini?Ivi kwanini kifo cha mende nimaarufu sana kuliko wadudu wote watambaao na kupaa
WhaaaaaaatIla tatizo liko kwa wanawake, mwanamke anayejitambua hawezi kubebeshwa mimba kabla ya ndoa, wanambinu nyingi sana za kuzuia mimba, akibeba mimba kwa bahati mbaya huzitoa hata bila ya kumshirikisha mwanaume, ukiona binti kazalishwa ujue aling'ang'ania mimba kwa kigezo cha kuolewa na huyo jamaa, kwa hiyo hata huo msoto ni matokeo ya ujinga wake.
Kwa hili mwanaume asilaumiwe hata kidogo.
Una hakika huyo ni baba yako.Toka zako hapa. Nimekulia nyumbani kww baba na mama. Kulelewa na baba wa kambo sio hoja. Hoja ni kuwa mama yako aliolewa na baba yako kabla wewe hujazaliwa?
Kwani haipitiHabari zenu.
Nasema hivi. Mwanaume yeyote rijali hawezi kuoa mwanamke single mother. Ninaposema single mother namaanisha wewe mwanamke uliyezaa kabla ya kuolewa.
Na ninaposema rijali namaanisha mwanaume mwenye akili sawa sawa au bara bara anayefikiri kwa usahihi asiyeendeshwa na mihemko bali hutumia akili yake kutafakari mambo. Hii ina maana mwanaume chizi au mwenye ugonjwa wa akili sio rijali. Ili uwe rijali ni lazima uwe na akili timilifu. Ushahidi ni kwamba mwanaume hanithi anapungukiwa pia akili. (Sitaki kulizungumzia hili) na ukishapungukiwa akili wewe sio rijali.
Ukweli ni kwamba mama zetu ( sisi wanaume) wanafurahi zaidi kama utampa taarifa kuwa unamuowa bint ambaye hajawahi kuzaa. Achilia mbali bikra ambayo hata hivyo wanatamani uwaambie unamuowa bikra. Ni heri uwaambie unamuowa bint uliyezaa naye wewe mwenyewe mtoto wake wa kwanza kuliko kuwaambia wamama eti....eti...unamuowa Lilian single mother!!! Nyoyo husononeka ingawa hawawezi kusema wazi wazi. Utasikia tu mama akisema "Kama umempenda na mnapendana sawa" Tafakari sana haya maneno kijana unayetaka kumuowa single mother.
Ni uzembe wa hali juu sana kuzaa kabla ya ndoa. Ni mwanamke ndiye unayeamua ushike mimba au usishike. Sisi wanaume huwa tunatandika tu.....sasa kama you don't take care about yourself....who else will? Halafu unamlaumu mwanaume kakutia mimba na hajakuowa.
Asikulaghai kwa maneno matamu yoyote yale eti beba mimba kabla hajakuowa. Usikubali. Na mwisho wa siku uamuzi unao wewe wa kubeba mimba au lah. Sasa mnakwama wapi? Be smart.
"Asiponioa ntalea mwenyewe!" Huo ni uzembe.....tunajua mna vipato vyenu....mna pesa zenu, mnayamudu maisha....mnaweza kulea watoto wenu. Nikuulize, hivi kuna raha gani kulea mtoto peke yako? Mnapojitosheleza kiuchumi na kijamii (kutokuwa single mother), machaguo yanaongezeka. Hamuoni? Basi someni. Baadaye mnasema kuolewa bahati. Kuolewa sio bahati. Kuolewa mna haki wala msiite bahati....we unadhani wanangu mi ntalea na nani? R.I.P Ngwea
Jamaa akuzalishe huko halafu mi nije nikuoe? Acheni masihara nyie. Mi hakuna niliyemzalisha bila ndoa nikampiga chini sina sababu ya kuowa single mother.
Na wewe single mother uliyekaa chini ukaona ulikosea wapi na sasa umekuwa RAIA mwema, good luck. Ukimpata anayeeleweka mwambie akuoe. Kijana haukatazwi kuoa single mother. Ukimpata oa......yajayo ni yako.
Hakuna mwanaume RIJALI anayeweza kuowa single mother, kwa sababu za kimaadili. Period.
Meraki
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Unaongea tu, hujakutana na mtoto mkali kama mzigua 90
Duh! Kiongozi wewe bado sana. Wewe unatakiwa kufanyiwa maombiToka zako hapa. Nimekulia nyumbani kww baba na mama. Kulelewa na baba wa kambo sio hoja. Hoja ni kuwa mama yako aliolewa na baba yako kabla wewe hujazaliwa?
Usiwabanie ma Single father, wao pia utamani ma Single MotherHabari zenu.
Nasema hivi. Mwanaume yeyote rijali hawezi kuoa mwanamke single mother. Ninaposema single mother namaanisha wewe mwanamke uliyezaa kabla ya kuolewa.
Na ninaposema rijali namaanisha mwanaume mwenye akili sawa sawa au bara bara anayefikiri kwa usahihi asiyeendeshwa na mihemko bali hutumia akili yake kutafakari mambo. Hii ina maana mwanaume chizi au mwenye ugonjwa wa akili sio rijali. Ili uwe rijali ni lazima uwe na akili timilifu. Ushahidi ni kwamba mwanaume hanithi anapungukiwa pia akili. (Sitaki kulizungumzia hili) na ukishapungukiwa akili wewe sio rijali.
Ukweli ni kwamba mama zetu ( sisi wanaume) wanafurahi zaidi kama utampa taarifa kuwa unamuowa bint ambaye hajawahi kuzaa. Achilia mbali bikra ambayo hata hivyo wanatamani uwaambie unamuowa bikra. Ni heri uwaambie unamuowa bint uliyezaa naye wewe mwenyewe mtoto wake wa kwanza kuliko kuwaambia wamama eti....eti...unamuowa Lilian single mother!!! Nyoyo husononeka ingawa hawawezi kusema wazi wazi. Utasikia tu mama akisema "Kama umempenda na mnapendana sawa" Tafakari sana haya maneno kijana unayetaka kumuowa single mother.
Ni uzembe wa hali juu sana kuzaa kabla ya ndoa. Ni mwanamke ndiye unayeamua ushike mimba au usishike. Sisi wanaume huwa tunatandika tu.....sasa kama you don't take care about yourself....who else will? Halafu unamlaumu mwanaume kakutia mimba na hajakuowa.
Asikulaghai kwa maneno matamu yoyote yale eti beba mimba kabla hajakuowa. Usikubali. Na mwisho wa siku uamuzi unao wewe wa kubeba mimba au lah. Sasa mnakwama wapi? Be smart.
"Asiponioa ntalea mwenyewe!" Huo ni uzembe.....tunajua mna vipato vyenu....mna pesa zenu, mnayamudu maisha....mnaweza kulea watoto wenu. Nikuulize, hivi kuna raha gani kulea mtoto peke yako? Mnapojitosheleza kiuchumi na kijamii (kutokuwa single mother), machaguo yanaongezeka. Hamuoni? Basi someni. Baadaye mnasema kuolewa bahati. Kuolewa sio bahati. Kuolewa mna haki wala msiite bahati....we unadhani wanangu mi ntalea na nani? R.I.P Ngwea
Jamaa akuzalishe huko halafu mi nije nikuoe? Acheni masihara nyie. Mi hakuna niliyemzalisha bila ndoa nikampiga chini sina sababu ya kuowa single mother.
Na wewe single mother uliyekaa chini ukaona ulikosea wapi na sasa umekuwa RAIA mwema, good luck. Ukimpata anayeeleweka mwambie akuoe. Kijana haukatazwi kuoa single mother. Ukimpata oa......yajayo ni yako.
Hakuna mwanaume RIJALI anayeweza kuowa single mother, kwa sababu za kimaadili. Period.
Meraki
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Utani wa ngumi huuUna hakika huyo ni baba yako.
Kwaiyo mkuu kama mtoto anamjua baba yake,inakuwaje?...na kwamfano yeye mtoto alizaliwa baada ya mama(msichana wa makamo kama 20years) yake kudanganywa na baba yake(mtumzima kama 48years)...alimdanganya kwa pombe na akanywa then akamtoa bikra na kumpa mimba..kisha akamtishia asitoe mimba na mtoto akazaliwa na akawa anamuhudumia na baadae yule mama akaachana na mwanaume na kutafuta wa rika lake,je! Bado kumuo huyo single maza nichangamoto kubwaa????Hakuna uhusiano wowote kati ya urijali na kuoa single mother, ila ukifikiria kwa makini na kiundani zaidi kuoa single mother (Msimbe) ni changamoto kubwa sana, ila kama mtoto hamjui baba yake wala hajawahi kumwona na wala hakuna connection yyte kati yao unaweza kumwoa.
Hivi mwanao akibakwa then akapimwa akagundulika kapata ujauzito utamruhusu alee ujauzito wa mbakaji?Kwaiyo mkuu kama mtoto anamjua baba yake,inakuwaje?...na kwamfano yeye mtoto alizaliwa baada ya mama(msichana wa makamo kama 20years) yake kudanganywa na baba yake(mtumzima kama 48years)...alimdanganya kwa pombe na akanywa then akamtoa bikra na kumpa mimba..kisha akamtishia asitoe mimba na mtoto akazaliwa na akawa anamuhudumia na baadae yule mama akaachana na mwanaume na kutafuta wa rika lake,je! Bado kumuo huyo single maza nichangamoto kubwaa????
Daaah! Hapo ni pagumu kwakuwa baba hatajulikana! ila kwajinsi nilivyo eleza hapi juu...ni kwakesi mtu alipanga sehemu sasa baba mwenye nyumba ndo kamlagai kiivyo then akanfisi asitoe mimba yeye atakea na kweli baba wa mtoto anakaa na mwanae na anamlea mwenyewe.......sasa hapo kuna changamoto kwa huyo mwanamke kuolewa tena(kumbuka huyo alimpa mimba ni mtu mzima na ana ndoa yake na ana watoto)Hivi mwanao akibakwa then akapimwa akagundulika kapata ujauzito utamruhusu alee ujauzito wa mbakaji?
Amin amin nakwambia hahaa,inaonekana una uzoefu na single mothersAmin amin nakwambia huyo single mama kamwe hawezi msahau yule wakwanza kuzaa nae hata wakikutana wanarudiana kinachowaunganisha ni yule mtoto