Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Ha ha umemaliza
 
una shughulika na yasiyokuhusu... ila we bro wewe.huwez achaa.. wewe siyo wao i think
 
Mwanaume kukosa vyote ni hasara kubwa, yaani bikra ukose na mtoto wa kwanza ukose!!!!
Utajivunia nini kwa huyo mwanamke?
Angalau kosa bikra ila mzalilishe mtoto wa kwanza, atakuheshimu,
Mm single mother afie mbele simtaki
 
Asante Braza
 
Kudadeki wallah,mapenzi yalivyo na nguvu kuliko breakdown!!Mimi ndio nishafika kwa single mother wangu maneno yako ni kama unanipigia mziki wa country kwa mbali nikiwa usingizini.
 
Sijazungumzia issue ya kuchepuka hapa. Kuchepuka hata bint aliyeolewa bikra anachepuka.
Poleeee
Kwanza umepanic
Umeandika kwa hasira
Hao single Mazaa Mimba hujipa wenyewe?!
Na sikulaumu sana.Huenda uliandika umelewa kama ulivyosema hapo juu
Eti ' mwanaume rijali hawezi Oa Single Maza mara usema Sijakataza Oa tu ...which is which
Sio lazima uanzishe mada ndugu yangu
Halafu watu wa hivi unaweza kuta mama yako alikuficha tu ...Baba uliyedhani wako sio Bali alizaa hukooo.
Halafu bila Haya unakuja hapa kusema Single mother ( Hao single mother sio watu??
Mwingine kawa single mother kwa kufiwa
Mwingine alisalitiwa lakini tayari ana ujauzito badala ya kuitoa Mimba( kama ambavyo wewe Mama yako hakuitoa mimba yako) akazaa kwani hukuwa na kosa

Mwingine alishaolewa ndoa ikawa na misukosuko but tayari ana mtoto akabaki single mother.

Mwingine katikati ya uchumba akazaa mwanaume akamgeuka ghafra akaoa mwingine huku ana Mimba ( kwa busara hajatoa akazaa( kitu ambacho ni kizuri kuzaa sio kutoa) kuzaa ni bora sana kuliko kutoa .

After all watu huoana baada ya kupendana kwa dhati hayo ya Usingle maza kwa mwenye akili wala hayamsumbui mana Anaweza akampa Mimba hata yeye Bht mbaya akafa so mpenzi wake asipate MTU kisa Single mazaa!!.( Mtoto anashida gani??.

Na nijuavyoo Sijui usingle maza au usingle Faza hutokea kwa bahati mbaya tu..

Binadamu wote hupenda kuwa na Stable family. .
MTU anaweza pata bahati mbaya kama hivyo ya usingle maza na baadaye akayajenga
Mifano IPO mingi .
Mfano Zamaradi Mketema alikuwa single( maana 2 children bila ndoa)
Mungu akamjalia na kuolewa na good hubby..
Wengine akina Rest_ fish.... Once Single mother sasa wako poa kwenye ndoa.
Tena Mwanaume anayejielewa Mwanamke mwenye mtoto tayari ni assurance ya Kizazi.
We nenda kahangaike na Mama Wa marehemu watano... Halafu ujidai naoa asiye mtoto.
 
Kudadeki wallah,mapenzi yalivyo na nguvu kuliko breakdown!!Mimi ndio nishafika kwa single mother wangu maneno yako ni kama unanipigia mziki wa country kwa mbali nikiwa usingizini.
Hajielewi huyo.
Keshasema ameandika akiwa amelewa
 
Kama mwanamke alizalishwa na akaendelea kupata huduma kutoka kwa huyo mwanaume (huduma za mama na mtoto) means huyo ni mke wa mtu, hafai kuolewa kwa sababu mpaka kufikia hapo familia ya ya upande wa mama itakuwa inamtambua huyo mwanaume, hivyo huyo baba wa mtoto atakuwa ana sababu yoyote ya kumuhitaji mtoto na akampata coz hata majina ya mtoto yatakuwa ya huyo baba, na mwanamke hawezi akaishi mbali na mwanae bila kuhitaji mawasiliano yoyote hilo halipo, na sisi wanaumme tunahitaji utulivu wa ndoa, mwanamke akiwa na mtoto nje ya familia yake hatatulia kamwe labda awe anaishi kwa bibi kizaa mama.
 
Na wanawake ambao hawajaolewa, vipi kuhusu kuolewa na single father?(nje ya mada)
Fanya utafiti wa kawaida tu utaona, wanawake ambao hawajazaa hawapendi na hawataki kuolewa na single father hata kidogo, ukitaka kua na shida katika kuoa wee kuwa na watoto hata wawili hafu Anza kutafuta mwanamke wa kuoa ambaye hajazaa, huwapati na ukimpata atakupa masharti makali sana.
 
Kudadeki wallah,mapenzi yalivyo na nguvu kuliko breakdown!!Mimi ndio nishafika kwa single mother wangu maneno yako ni kama unanipigia mziki wa country kwa mbali nikiwa usingizini.
Anakuigozia tu ila jua tu bwana wake aliyemzalisha anapiga muda wowote anaotaka
 
Eti assurance ya kizazi!!!akili za wanawake bwana ,mimi sioi single mother hata nipewe bure bila mahali,never ever in my life
 
kuoa single mother ni zaidi ya kipaji
 
1 KOR. 13:4-8 SUV
Upendo huvumilia, hufadhili; upendo hauhusudu; upendo hautakabari; haujivuni; haukosi kuwa na adabu; hautafuti mambo yake; hauoni uchungu; hauhesabu mabaya; haufurahii udhalimu, bali hufurahi pamoja na kweli; huvumilia yote; huamini yote; hutumaini yote; hustahimili yote. Upendo haupungui neno wakati wo wote; bali ukiwapo unabii utabatilika; zikiwapo lugha, zitakoma; yakiwapo maarifa, yatabatilika.


Mbinguni hakuna kuoa wala kuolewa.

Umetendwa bro au umejua ambayo hukutakiwa kujua sasa, umepanic kinyama. Relax, time heals Yatapita, maisha yataendelea.
 
Mwanaume rijali huoa mwanamke bikra full stop.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…