Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Well said jomba, I'm very thanksful to my mother she managed to raise us seven children alone since my father passed away 14 years ago .I pray for her to have more years to see her grand children HAPPY MOTHERS DAY
 
Ahsante mkuu,

Nadhani jukumu letu sisi tuliolelewa na akina mama walioteseka sana ni kuwafuta machozi na kuhakikisha hawatalia tena wakati sisi tukiwa hai...

Najitahidi kufanya hivyo kwa mama yangu (Mungu azidi kumpa nguvu ingawa anapambana vikali na maradhi) na my sweet Bibi DC!!

Mungu awabariki akina mama wote and Happy mothers' day!
 
well said jomba, I'm very thanksful to my mother she managed to raise us seven children alone since my father passed away 14 years ago .I pray for her to have more years to see her grand children HAPPY MOTHERS DAY

A strong woman indeed!
 
Sijaisoma, nimeihamishia kwenye kindle yangu

BTW\\

Happy mothers day
 
Well, I've more than that but I'm taken. Pengine mpango wa kando.
 
Nina 54 nina watoto 7. Ntakuwa na sifa hizo mkuu?
 
Baba wa mtt mmeachana au?asije kukufatafata kudai mtt wake
 

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…