Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

asante, feels good to be a mother

mother-holding-child-10193518.jpg
 
Well said jomba, I'm very thanksful to my mother she managed to raise us seven children alone since my father passed away 14 years ago .I pray for her to have more years to see her grand children HAPPY MOTHERS DAY
 
Ahsante mkuu,

Nadhani jukumu letu sisi tuliolelewa na akina mama walioteseka sana ni kuwafuta machozi na kuhakikisha hawatalia tena wakati sisi tukiwa hai...

Najitahidi kufanya hivyo kwa mama yangu (Mungu azidi kumpa nguvu ingawa anapambana vikali na maradhi) na my sweet Bibi DC!!

Mungu awabariki akina mama wote and Happy mothers' day!
 
well said jomba, I'm very thanksful to my mother she managed to raise us seven children alone since my father passed away 14 years ago .I pray for her to have more years to see her grand children HAPPY MOTHERS DAY

A strong woman indeed!
 
Well, I've more than that but I'm taken. Pengine mpango wa kando.
 
Habari wana love connect, Mimi ni msichana wa miaka 24, Muislam, natafuta mwenza wa maisha, elimu yangu Diploma, nina mtoto wa miaka saba (nilizaa nikiwa shule, baada ya kujifungua nikarudi shule).

Kiumbo ni wa kawaida sana umbo la kibantu,maji ya kunde, kabila langu Muha.

Mtu nimtaftae:-

  • Muislam
  • Age kuanzia 28 hadi 30
  • Kabila lolote
  • Awe anajituma haijalishi yuko vizuri kiuchumi au la
  • Elimu diploma au said I
  • Awe muaminifu
Kama unauhitaji kama Wang ni PM

IMG_20150829_015712.JPG
 
Back
Top Bottom