Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Huyo Kaka yako anatakiwa kuwa na msimamo kama huyo Mwanamke bado anaendelea na mahusiano na huyo Mwanaume aliyezaa nae ni bora Kaka yako aachane nae atafute Mwanamke mwingine.
 
Inawezekana kalogwa coz mwanamke yule ana maamuzi na ni mbabe.
 
Kama kalogwa kuna uwezekano wa kumsaidia? Nilishaliwaza sana hili
 
Kaka ako nae anazingua kwa hiyo kaogopa kuenda kisa eti jamaa yupo seriously? Halafu anamruhusu vip huyo mwanamke amlaze kidume mwingine ndani kwake kwa nini asiende kulala lodge? Wanaume wengine wanaboa unaweza jikuta umemchapa bro ako vibao!.
 
So sad, kwa mwanamke mwenye akili timamu hawezi kufanya garbage km hiyo bro wako katawaliwa na mwanamke na mwanamke anafanya hivyo kwa sababu anajua bro wako hawezi mfanya chochote.

Mshauri jamaa amuwekee msimamo Shem wako kwamba hataki mawasiliano na mzazi mwenzie Shem wako akikataa wazazi na ndugu wa pande zote mbili washirikishwe
 
Mwambie Kaka asione wivu wala roho kuuma sababu yeye pia hajaoa,afadhali aji sort mapema tena ana bahati kua ameshajua ni mwanamke wa aina gani,atafute mwanamke anae jielewa huyo amejua tabia zake na hata akioa huyo jamaa atakuja na wataonana na huyo mzazi mwenzie na ndio atamchefua zaidi, ajikaze kiume atafute mwengine maisha yaendele.
 
Wakuu hakna kitu kibaya kama kuoa mtu aliyezalishwa na jamaa mwingine..kibaya zaidi jamaa mwenyewe bado tupo hai ...hakika mwisho wake ni visasi na mauti ....Ma single mother siyo wa kuoa ni kupiga na kusepa .
 
Mwambie aendelee kulia mpaka pale atakapo kua na kutengemaa kwa afya ya akili yake.
Ila umwambie ukweli kua katka kundi la wanaume yeye hayupo kwa sasa [emoji16]
 
Kaka ako nae anazingua kwa hiyo kaogopa kuenda kisa eti jamaa yupo seriously? Halafu anamruhusu vip huyo mwanamke amlaze kidume mwingine ndani kwake kwa nini asiende kulala lodge? Wanaume wengine wanaboa unaweza jikuta umemchapa bro ako vibao!.
Huyo bro bakora zinamhusu
 
Kiuhalisia huwez mkaribisha ex wako alale kwako ukamlaza kwa hg we ulale na hg, haiwezekani hii, kama swala ni matumizi ya mtoto atume pesa tu akimhitaj mtoto asubiri afunge shule tena apelekwe kwa wazazi wa binti huyo baba ake amfate hapo

angejiwekea mipaka ameshakua na mtu sasa mambo za kumleta baba wa mtoto akalala hapo ni dharau kamdharau kaka yako

Mwisho wa siku mimba ingine ya huyohuyo baba wa mtoto
 
Nionavyo mimi,
1. Mtoto arudishwe kwa baba ake, au
2. Bro ako akubali kumlea Mtoto wake wakufikia ili jamaa azuiliwe kuja kwa kesi ya mtoto mara kwa mara, au
3. Aachane na huyo mwanamke
Kinyume na hapo, bro ataendelea kulia machozi ya samaki.
 
majuto huja baadae
 
Nionavuo mimi,
1. Mtoto arudishwe kwa baba ake, au
2. Bro ako akubali kumlea Mtoto wake wankifikia ili jamaa azuiliwe kuja kwa kesi ya mtoto mara kwa mara, au
3. Aachane na huyo mwanamke
Kinyume na hapo, bro ataendelea kulia machozi ya samaki.
namba moja

Hata akipewa bibie atajidai anamjulia hali kammiss mtoto amuone sababu n mwanamke asiejielewa huko kuonana kwa mtoto lazima watamkaribisha shetani

Namba mbili

Ataleaje mtoto s dam yake na baba yake yu ngali hai??? Akisema hajashindwa mlea mtoto?

Namba tatu

Hiyo ndio kubwa kuliko kujutaftia majaka ya moyo

Huyo dada hata akiolewa na huyo kaka bado tu ataharibu mbele kisjngizio ni mtoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…