Malaika wa Kifo
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 4,052
- 4,621
Naongezea huo mstari wa mwisho...Mpe pole kaka ako na umwambie pombe sio suluuhu
Aongee na mwanamke wake juu ya hiyo tabia..tena aongee akiwa anamaanisha maana wanawake akili zetu tunazijuaga wenyewe hasa kama hatujitambui
Muda ufike wanawake tuache endekeza wanaume tuliozaa nao jamani..kama umeamua kumove on ...move on sio kuumiza mtoto wa mwanamke mwenzio kwa kwa kisingizio cha mnalea mtoto na mzazi mwenzio
Hapo wewe ndo unajitambua, shem kajisahau kama ni mke wa mwingineMpe pole kaka ako na umwambie pombe sio suluuhu
Aongee na mwanamke wake juu ya hiyo tabia..tena aongee akiwa anamaanisha maana wanawake akili zetu tunazijuaga wenyewe hasa kama hatujitambui
Muda ufike wanawake tuache endekeza wanaume tuliozaa nao jamani..kama umeamua kumove on ...move on sio kuumiza mtoto wa mwanamke mwenzio kwa kwa kisingizio cha mnalea mtoto na mzazi mwenzio
Nilishawahi kumwambia aachane nae, tulikosana na BrBrother ako anazingua, piga chini..ivi kwel mwanamke anakuletea mafyongo fyongo, mi ungekuta nimesha mchapa vitasa na navuta chombo ingine,..achane nae tu amna jinsi alaf asake pesa sio kumwazia aliyeshindikana kuanzia kwenye bustani ya Eden.
Hahaaaa, unajua kuna kitu hapo. Jaribu kufatilia wanawake waliozalishwa na wengine af wakaolewa na wengine... wengi wao wanajiamini sanaHv inakuaje mtu unaoa dem aliechakazwa maziwa na mtoto wa mwanaume mwingine, mtaan kuna vitoto vibichii havina ndoa lakin bado watu mnakimbilia kuoa wanawake wenye tela
Ni mjinga mbele ya mwanamke ila kiujumla ana uelewa mzuri kimaisha na kielimu ana bachelor na ni mwajiriwa wa serikali.Huwa hawaachani msisahau hayo maneno mioyoni mwenu.
Mtoto hutumika kama kiunganishi kwa hiyo siku baba akija kumuona mtoto lazima akumbushie hiyo ni historia mzee.
Namshauri kaka yako aowe mwanamke fresh ambae hajazaa vinginevyo anajitaftia matatizo ya moyo pia kupata magonjwa ya ukimwi n.k
Pia nahisi ni mjinga Fulani mimi siwezi ruhusu hali kama hiyo wala siwezi oa mwanamke alieyezaa na mwanaume mwingine kwani hawaachani so anachofanya kaka yako huo ni ujinga.
Mwambie atafute mke wake aachane na mke wa watu.
Muombee kwa MUNGU aachae na hilo swala.Ni mjinga mbele ya mwanamke ila kiujumla ana uelewa mzuri kimaisha na kielimu ana bachelor na ni mwajiriwa wa serikali.
OhoooWewe na kaka yako wote wajinga kabisa.