nasssen
JF-Expert Member
- Aug 12, 2012
- 489
- 535
Search "single mothers" .... utapata threads nyingi sana zinazowaelezea kwa mabaya na mazuri pia. Ila nakushauri ufuate moyo wako, najua utakutana na mabaya sana yanayosemwa juu yao lakini cha muhimu ni kupendana tu.
Binafsi nina mpenda sana J wangu, tuna mtoto mmoja japokuwa si wa damu yangu lakini nawapenda sana hawa watu. Wamekuwa nuru kubwa sana maishani mwangu and am always thankful for that. Sikatai kuwa kuna misukosuko ya hapa na pale lakini ninadiriki kusema kuwa huwa tunasuluhisha mapishano yetu kama binadamu.
Follow your heart ... hii ndiyo njia pekee ya kuwa na furaha maishani.