Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

utakuwa huru ukiamua kuwa huru.. pia kabla ya kuoa single mama kama unavyoita jaribu kuchunguza sababu iliyopelekea yeye kuwa single, pili mawasiliano yake na mzazi mwenzie yakoje? nimeona wadada wamezaa lakini labda kwa bahati mbaya wanakuja kugundua mwanaume aliyezaa nae siyo type yake huaza fisa na wakiangalia umri bado upo ujitengenezea mazingira ya kuwa hivyo ili tu wapate wale wanaodhani ni type yao... na wapo kweli waliotelekezwa .. na wapo waliona kwa mwenendo huu na huyu mtu hapana ni kitanzi hichi inabidi ajisepee tu sababu hata kutunza mtoto alishindwa,... na wapo waliodanganywa na kumsaliti mzazi mwenzie na kuenda huko na kukuta ndivyo sivyo na kuamua kurudi kwa mzazi mwenzie akamakatalia.... na wapo ambao waliamua tu kuzaa kwa kutaka sura nzuri... na wapo uteen ulisababisha usingle ...

sasa ukishajua sababu iliyompelekea kuwa hivyo basi hakuna haja ya kuogopa wapo single mama walioumizwa na wanahitaji mapenzi tena ya dhati, na ni wake bora na wanaojitambua muhimu ni mkubaliane namna ya kuhandle hiyo situation...
kama unapesa utapata unayemtaka

Kwakuwa tayari ana hofu nashauri asioe kabisa mtu mwenye mtoto. Atakuja kumuumiza ndani ya ndoa kama ujuavyo ndoa zina ups and down.
Atakiwa hajiamini, kitu kidogo wakipishana atasema ni kwa sababu ni hivi ama vile (in Roma&Stamina's voice).

Kulea mtoto mwenyewe yataka moyo strong! Kujitoa sadaka! Kuvumilia! Maana jamii itakusimanga tu utake usitake bila kujua ukweli uliojificha. Tena mtu akizaa na wewe mkashindana ataoa nakukutangaza mabaya yasio exist.
 
kabisa .. na umesema vyema
 
kabisa .. na umesema vyema
Halafu wana tabia ili amtunze mtoto anataka uwe na mazoea naye, akupigie simu hovyo, akuite sehemu anvyojisikia mahali popote uende, aje kwako akae na akikuta mtu akuulize huyu ni nani unamfundisha mwanangu umalaya.
Bila hivyo hatunzi mtoto ukiwa na msimamo haunzi mtoto, ukimpa atatangaza wanawake waliozalishwa wanakumbushia msioe ( nkiwa na mood ntaanzisha uzi kulichambua hili haha from experience)
 
Ukiona unamtaka mtu unachokiona kwake ni kasoro tu jua hujapenda, mapenzi yananguvu . Ukipenda hata kasoro hutoona waliosema mapenzi upofu hawajakosea kuna watu walikuwa Kama wewe Leo wanakula matapishi yao wameooa Hao Hao single mother wanasongesha gurudumu la Maisha.
 
utakuwa huru ukiamua kuwa huru.. pia kabla ya kuoa single mama kama unavyoita jaribu kuchunguza sababu iliyopelekea yeye kuwa single, pili mawasiliano yake na mzazi mwenzie yakoje? nimeona wadada wamezaa lakini labda kwa bahati mbaya wanakuja kugundua mwanaume aliyezaa nae siyo type yake huaza fisa na wakiangalia umri bado upo ujitengenezea mazingira ya kuwa hivyo ili tu wapate wale wanaodhani ni type yao... na wapo kweli waliotelekezwa .. na wapo waliona kwa mwenendo huu na huyu mtu hapana ni kitanzi hichi inabidi ajisepee tu sababu hata kutunza mtoto alishindwa,... na wapo waliodanganywa na kumsaliti mzazi mwenzie na kuenda huko na kukuta ndivyo sivyo na kuamua kurudi kwa mzazi mwenzie akamakatalia.... na wapo ambao waliamua tu kuzaa kwa kutaka sura nzuri... na wapo uteen ulisababisha usingle ...

sasa ukishajua sababu iliyompelekea kuwa hivyo basi hakuna haja ya kuogopa wapo single mama walioumizwa na wanahitaji mapenzi tena ya dhati, na ni wake bora na wanaojitambua muhimu ni mkubaliane namna ya kuhandle hiyo situation...
kama unapesa utapata unayemtaka
Swali la msingi kwann ukubali kuzalishwa ukiwa nyumban?
 
hehehe mkuu kwanini
Unajua nn bro hawaridhiki hwa watu unakuta mtu anampenz anayempenda kwa dhati lkn ananyapianyapia hela za mwanaume mwenye nazo bila kujua siku moja mmbw yanaweza kumnyookea mpenz wke wa zaman aliyekuwa amepangiwa na Mungu mwisho wa sku anapgwa mimba anaachwa na mtoto n kuchakalia tu kwao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Swali la msingi kwann ukubali kuzalishwa ukiwa nyumban?
mapenzi baba mapenzi unampa yote .... kuna ndugu yangu alitiwa mimba na mrombo mmoja purukushani za malezi akamuuliza "NANI ALIKUAMBIA UNIPE CHA MIMBA" hii kauli ilinifanya niwaze kuna sehemu ya kuweka cha mimba na sehemu nyingine siyo ya mimba wanaume ninyi ni nyoko
 
Halafu wana tabia ili amtunze mtoto anataka uwe na mazoea naye, akupigie simu hovyo, akuite sehemu anvyojisikia mahali popote uende, aje kwako akae na akikuta mtu akuulize huyu ni nani unamfundisha mwanangu umalaya.
Bila hivyo hatunzi mtoto ukiwa na msimamo haunzi mtoto, ukimpa atatangaza wanawake waliozalishwa wanakumbushia msioe ( nkiwa na mood ntaanzisha uzi kulichambua hili haha from experience)
pata muda utufundishe aisee.. hawa viumbe wabaya sana
 
nashukuru brother lakin unadhani kwanini kuna wimbi kubwa la single mother
Dodo mm nakushauri usije ukajitia kitanzi kuoa single mother utakuja kujuta. Hao acha waolewe na waliowaamini mpaka kuwazalia.

Asilimia kubwa ya masingle mothers walitegesha mimba halafu walikuwa selective sana sasa akiona anadate na mkaka mwenyevijisent kidogo ndio anamtegeshea mimba..

Unatakiwa ujiulize mwenyew kama ww hujazaa nje kwann uoe mwanamke aliyezalishwa na wenzako?
Na kwann aliyemzalisha hajamuoa?
 
utakuwa huru ukiamua kuwa huru.. pia kabla ya kuoa single mama kama unavyoita jaribu kuchunguza sababu iliyopelekea yeye kuwa single, pili mawasiliano yake na mzazi mwenzie yakoje? nimeona wadada wamezaa lakini labda kwa bahati mbaya wanakuja kugundua mwanaume aliyezaa nae siyo type yake huaza fisa na wakiangalia umri bado upo ujitengenezea mazingira ya kuwa hivyo ili tu wapate wale wanaodhani ni type yao... na wapo kweli waliotelekezwa .. na wapo waliona kwa mwenendo huu na huyu mtu hapana ni kitanzi hichi inabidi ajisepee tu sababu hata kutunza mtoto alishindwa,... na wapo waliodanganywa na kumsaliti mzazi mwenzie na kuenda huko na kukuta ndivyo sivyo na kuamua kurudi kwa mzazi mwenzie akamakatalia.... na wapo ambao waliamua tu kuzaa kwa kutaka sura nzuri... na wapo uteen ulisababisha usingle ...

sasa ukishajua sababu iliyompelekea kuwa hivyo basi hakuna haja ya kuogopa wapo single mama walioumizwa na wanahitaji mapenzi tena ya dhati, na ni wake bora na wanaojitambua muhimu ni mkubaliane namna ya kuhandle hiyo situation...
kama unapesa utapata unayemtaka
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] "kama una pesa utampata unae mtaka"Dada umenishinda akili.

young kilimanjaro
 
mapenzi baba mapenzi unampa yote .... kuna ndugu yangu alitiwa mimba na mrombo mmoja purukushani za malezi akamuuliza "NANI ALIKUAMBIA UNIPE CHA MIMBA" hii kauli ilinifanya niwaze kuna sehemu ya kuweka cha mimba na sehemu nyingine siyo ya mimba wanaume ninyi ni nyoko
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
utakuwa huru ukiamua kuwa huru.. pia kabla ya kuoa single mama kama unavyoita jaribu kuchunguza sababu iliyopelekea yeye kuwa single, pili mawasiliano yake na mzazi mwenzie yakoje? nimeona wadada wamezaa lakini labda kwa bahati mbaya wanakuja kugundua mwanaume aliyezaa nae siyo type yake huaza fisa na wakiangalia umri bado upo ujitengenezea mazingira ya kuwa hivyo ili tu wapate wale wanaodhani ni type yao... na wapo kweli waliotelekezwa .. na wapo waliona kwa mwenendo huu na huyu mtu hapana ni kitanzi hichi inabidi ajisepee tu sababu hata kutunza mtoto alishindwa,... na wapo waliodanganywa na kumsaliti mzazi mwenzie na kuenda huko na kukuta ndivyo sivyo na kuamua kurudi kwa mzazi mwenzie akamakatalia.... na wapo ambao waliamua tu kuzaa kwa kutaka sura nzuri... na wapo uteen ulisababisha usingle ...

sasa ukishajua sababu iliyompelekea kuwa hivyo basi hakuna haja ya kuogopa wapo single mama walioumizwa na wanahitaji mapenzi tena ya dhati, na ni wake bora na wanaojitambua muhimu ni mkubaliane namna ya kuhandle hiyo situation...
kama unapesa utapata unayemtaka
Hapo mwisho ndipo nilipasubiri muda mrefu... Kama ana ngawira...hahahahaaaa somo kubwa.... Kuwa na pesa au kuwa na mgodi ndio silaha...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo mwisho ndipo nilipasubiri muda mrefu... Kama ana ngawira...hahahahaaaa somo kubwa.... Kuwa na pesa au kuwa na mgodi ndio silaha...

Sent using Jamii Forums mobile app
kama hata huyo single anaweza kupa huyo mtoto na mzazi mwenzie wakapigwa marufuku kuleta milonjo yake hapo na mtoto automatic akakuona wewe ni bora kuliko baba yake mzazi
 
Mm ni bora kuoa hata kahaba anayejiuza kuliko kuoa single mother.

Single mother utambue ni mke Wa mtu... Ipo siku ukiwa unaishi naye kunakuwa na kukwazana hapa na pale, kunakuwa na kuzoeana mpaka kufikia kuonana kawaida sana ktk suala zma la tendo wakat huo aliozaa naye kwa wakat huo anaonekana mpya hapo lazma wakumbushie kupitia mtoto ..[emoji19] [emoji19] [emoji19] [emoji19] na mbaya zaidi[emoji25] [emoji25] [emoji25] aliomzalisha akikuzidi kipato hapo ndio utakoma[emoji86] [emoji86] [emoji86]

Itafikia hatua jamaa anajifanya anakuja kumuona mtoto huku anakuja na debe la unga mchele mafuta ya kula , vitenge kibao sasa hapo ndio ujiandae kulea watoto wa mwenzako...
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji735] [emoji735] [emoji735] [emoji735] kabisa single mother
 
Dodo mm nakushauri usije ukajitia kitanzi kuoa single mother utakuja kujuta. Hao acha waolewe na waliowaamini mpaka kuwazalia.

Asilimia kubwa ya masingle mothers walitegesha mimba halafu walikuwa selective sana sasa akiona anadate na mkaka mwenyevijisent kidogo ndio anamtegeshea mimba..

Unatakiwa ujiulize mwenyew kama ww hujazaa nje kwann uoe mwanamke aliyezalishwa na wenzako?
Na kwann aliyemzalisha hajamuoa?
hapa umenifungua sana upeo
 
Back
Top Bottom