Madam Mwajuma
JF-Expert Member
- Sep 13, 2014
- 7,071
- 6,753
utakuwa huru ukiamua kuwa huru.. pia kabla ya kuoa single mama kama unavyoita jaribu kuchunguza sababu iliyopelekea yeye kuwa single, pili mawasiliano yake na mzazi mwenzie yakoje? nimeona wadada wamezaa lakini labda kwa bahati mbaya wanakuja kugundua mwanaume aliyezaa nae siyo type yake huaza fisa na wakiangalia umri bado upo ujitengenezea mazingira ya kuwa hivyo ili tu wapate wale wanaodhani ni type yao... na wapo kweli waliotelekezwa .. na wapo waliona kwa mwenendo huu na huyu mtu hapana ni kitanzi hichi inabidi ajisepee tu sababu hata kutunza mtoto alishindwa,... na wapo waliodanganywa na kumsaliti mzazi mwenzie na kuenda huko na kukuta ndivyo sivyo na kuamua kurudi kwa mzazi mwenzie akamakatalia.... na wapo ambao waliamua tu kuzaa kwa kutaka sura nzuri... na wapo uteen ulisababisha usingle ...
sasa ukishajua sababu iliyompelekea kuwa hivyo basi hakuna haja ya kuogopa wapo single mama walioumizwa na wanahitaji mapenzi tena ya dhati, na ni wake bora na wanaojitambua muhimu ni mkubaliane namna ya kuhandle hiyo situation...
kama unapesa utapata unayemtaka
Kwakuwa tayari ana hofu nashauri asioe kabisa mtu mwenye mtoto. Atakuja kumuumiza ndani ya ndoa kama ujuavyo ndoa zina ups and down.
Atakiwa hajiamini, kitu kidogo wakipishana atasema ni kwa sababu ni hivi ama vile (in Roma&Stamina's voice).
Kulea mtoto mwenyewe yataka moyo strong! Kujitoa sadaka! Kuvumilia! Maana jamii itakusimanga tu utake usitake bila kujua ukweli uliojificha. Tena mtu akizaa na wewe mkashindana ataoa nakukutangaza mabaya yasio exist.