Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

mapenzi baba mapenzi unampa yote .... kuna ndugu yangu alitiwa mimba na mrombo mmoja purukushani za malezi akamuuliza "NANI ALIKUAMBIA UNIPE CHA MIMBA" hii kauli ilinifanya niwaze kuna sehemu ya kuweka cha mimba na sehemu nyingine siyo ya mimba wanaume ninyi ni nyoko
Nami ningemuambia nani? alikuambia upanue mapaja na kunyenyua miguu juu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dodo mm nakushauri usije ukajitia kitanzi kuoa single mother utakuja kujuta. Hao acha waolewe na waliowaamini mpaka kuwazalia.

Asilimia kubwa ya masingle mothers walitegesha mimba halafu walikuwa selective sana sasa akiona anadate na mkaka mwenyevijisent kidogo ndio anamtegeshea mimba..

Unatakiwa ujiulize mwenyew kama ww hujazaa nje kwann uoe mwanamke aliyezalishwa na wenzako?
Na kwann aliyemzalisha hajamuoa?
Maswali ya msingi haya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
utakuwa huru ukiamua kuwa huru.. pia kabla ya kuoa single mama kama unavyoita jaribu kuchunguza sababu iliyopelekea yeye kuwa single, pili mawasiliano yake na mzazi mwenzie yakoje? nimeona wadada wamezaa lakini labda kwa bahati mbaya wanakuja kugundua mwanaume aliyezaa nae siyo type yake huaza fisa na wakiangalia umri bado upo ujitengenezea mazingira ya kuwa hivyo ili tu wapate wale wanaodhani ni type yao... na wapo kweli waliotelekezwa .. na wapo waliona kwa mwenendo huu na huyu mtu hapana ni kitanzi hichi inabidi ajisepee tu sababu hata kutunza mtoto alishindwa,... na wapo waliodanganywa na kumsaliti mzazi mwenzie na kuenda huko na kukuta ndivyo sivyo na kuamua kurudi kwa mzazi mwenzie akamakatalia.... na wapo ambao waliamua tu kuzaa kwa kutaka sura nzuri... na wapo uteen ulisababisha usingle ...

sasa ukishajua sababu iliyompelekea kuwa hivyo basi hakuna haja ya kuogopa wapo single mama walioumizwa na wanahitaji mapenzi tena ya dhati, na ni wake bora na wanaojitambua muhimu ni mkubaliane namna ya kuhandle hiyo situation...
kama unapesa utapata unayemtaka
Umetiririka vizuri....umepitia hii stage ya usinge mother nini
 
Naona kila mtu anajifanya kuwakataa single mamaz kana kwamba wale ambao hawajazaa hawawezi kukumbushia na wanaume wao wa zamani. Kama huyo manzi ni zombi hakuna namna awe amezaa hajazaa akitaka kuchepuka atachepuka tu!
 
kuna mdada niliwahi kumpenda sana ila akawa anazingua..nilijaribu sana kumfatilia lakini ilishindikana nikampotezea...baada ya miaka kadhaa akawa amepata mtoto bila kuoleka..sasa ndio ananijia eti nimuoe manake ameteseka sana katika kumlea mwanae..japo namuonea imani sana,nafsi yangu haiwezi kuniruhusu kabisa..amenyane tu na hali yake mimi nina mke ndani..
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] mkuu hebu tupe story ulikuwa huna hela nini kipindi hicho
 
Achana na hao watu,masingle mother waliowengi hawajitambui ndo maana wakazalishwa na kutelekezwa,
 
Ukioa single mother usiwe na wivu mana mzazi mwenzie akija mtembelea usijae nyembe AF ukute ndo kamtoa usichana sasa duh
 
Back
Top Bottom