Jorochere
JF-Expert Member
- Oct 22, 2015
- 994
- 670
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nami ningemuambia nani? alikuambia upanue mapaja na kunyenyua miguu juumapenzi baba mapenzi unampa yote .... kuna ndugu yangu alitiwa mimba na mrombo mmoja purukushani za malezi akamuuliza "NANI ALIKUAMBIA UNIPE CHA MIMBA" hii kauli ilinifanya niwaze kuna sehemu ya kuweka cha mimba na sehemu nyingine siyo ya mimba wanaume ninyi ni nyoko
Maswali ya msingi hayaDodo mm nakushauri usije ukajitia kitanzi kuoa single mother utakuja kujuta. Hao acha waolewe na waliowaamini mpaka kuwazalia.
Asilimia kubwa ya masingle mothers walitegesha mimba halafu walikuwa selective sana sasa akiona anadate na mkaka mwenyevijisent kidogo ndio anamtegeshea mimba..
Unatakiwa ujiulize mwenyew kama ww hujazaa nje kwann uoe mwanamke aliyezalishwa na wenzako?
Na kwann aliyemzalisha hajamuoa?
Umetiririka vizuri....umepitia hii stage ya usinge mother niniutakuwa huru ukiamua kuwa huru.. pia kabla ya kuoa single mama kama unavyoita jaribu kuchunguza sababu iliyopelekea yeye kuwa single, pili mawasiliano yake na mzazi mwenzie yakoje? nimeona wadada wamezaa lakini labda kwa bahati mbaya wanakuja kugundua mwanaume aliyezaa nae siyo type yake huaza fisa na wakiangalia umri bado upo ujitengenezea mazingira ya kuwa hivyo ili tu wapate wale wanaodhani ni type yao... na wapo kweli waliotelekezwa .. na wapo waliona kwa mwenendo huu na huyu mtu hapana ni kitanzi hichi inabidi ajisepee tu sababu hata kutunza mtoto alishindwa,... na wapo waliodanganywa na kumsaliti mzazi mwenzie na kuenda huko na kukuta ndivyo sivyo na kuamua kurudi kwa mzazi mwenzie akamakatalia.... na wapo ambao waliamua tu kuzaa kwa kutaka sura nzuri... na wapo uteen ulisababisha usingle ...
sasa ukishajua sababu iliyompelekea kuwa hivyo basi hakuna haja ya kuogopa wapo single mama walioumizwa na wanahitaji mapenzi tena ya dhati, na ni wake bora na wanaojitambua muhimu ni mkubaliane namna ya kuhandle hiyo situation...
kama unapesa utapata unayemtaka
hapana mkuuUmetiririka vizuri....umepitia hii stage ya usinge mother nini
nyie jamaniNami ningemuambia nani? alikuambia upanue mapaja na kunyenyua miguu juu
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha wivu mzeee oa tumbona huu uzi wanaochangia wengi ni wanawake tena itakuwa single mother
wanatetea ugali wao
mimi siwezi kuona mwanamke aliyezalishwa..... full stop na nikigindua tu nakukukimbia
Sent using Jamii Forums mobile app
we dada tuliaAcha wivu mzeee oa tu
sana mkuuNdiyo hapo mkuu,au Wanawake wameisha kwa Dunia,inakujaje? Mwanaume rijal akaoa single mother,yeye hana wivu wa kizazi chake,kwetu ni aibu kubwa sana tena utachekwa
Sent using Jamii Forums mobile app
hivi kumbe
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] mkuu hebu tupe story ulikuwa huna hela nini kipindi hichokuna mdada niliwahi kumpenda sana ila akawa anazingua..nilijaribu sana kumfatilia lakini ilishindikana nikampotezea...baada ya miaka kadhaa akawa amepata mtoto bila kuoleka..sasa ndio ananijia eti nimuoe manake ameteseka sana katika kumlea mwanae..japo namuonea imani sana,nafsi yangu haiwezi kuniruhusu kabisa..amenyane tu na hali yake mimi nina mke ndani..
Hawafai hao hawajititambui wengi wao wamezaa na waume za watuAcha uoga..hao unaowaita single maza ndo poaa..
Anakua ashajua maisha vizuri
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo ndo Hagar xaxaUkioa single mother usiwe na wivu mana mzazi mwenzie akija mtembelea usijae nyembe AF ukute ndo kamtoa usichana sasa duh