Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Kama singo moms wanapewa mimba na mbuzi ni halali kuwasema ila kumbuka ni wanaume haohao mashababi na malijali ndo walio simamia ukucha kwenye show mpka mimba zikaingia na kwanini alaumiwe mwanamke wakati kwenye mtombano walikua wote....mnasema oooh wanatabia chafu nyie je ndo kusema watakatifu sana??? Me nadhani ungehamasisha wanaume kutumia mipira wakati wa mechi kama mtu huna future nae well condom hamziwez na kudinyana peku mnapenda so ni jukumu Lenu mnaodinyana kuchukua tahadhari juu ya kunasa mimba....na lawama asibebe mwanamke pekeake as if alijifinger na kujijaza mimba mwenyewe ....wengi umu mnajitia oooh hatuoi single maza lkn kila cku ao masingo maza wanaolewa vzuri tu...everything happen for a reason...
Usitetee ujinga mkuu. Kudinyana na kutiwa mimba ni vitu viwili tofauti ingawa vina kimoja kina sababisha kingine. Hivi mwanaume anaweza kutia mimba kama msichana atakuwa makini?

Msitusingizie hapa. Mnaachia wenyewe halafu mnasingizia wanaume. Be smart.
 
SAWA MWANAUME MWENYE AKILI NI ASIYEOA SINGLE MOTHER SASA VIPI MWANAUME ANAYEKIMBIA BINT BAADA YA KUMZALISHA(MAJUKUMU)..DUME MOJA WATOTO 5 KILA MTOTO NA MAMA YAKE....SO SAD
 
Hivi unaanzaje kuzaa na mtunambaye huna uhakika kama atakuoa? Halafu utegemee kuwa kuna mwengine atakuja kukuoa na kulelea jamaa mtoto wake? Hivi hapa huwa inatumika akili kweli?

Ladies waelewe kuwa hakuna mwanaume aliyeko sawa kiafya kiakili, atakayekubali kuoa mwanamke alozalishwa na jamaa mwengine?

Utanidanganya vipi kuwa ulikuwa umetulia wakati una mtoto kabla hujaolewa?!

Kila mtu atabeba msalaba wake.
 
That is not the only condition to be a man. He who runs away from a pregnant girl, to whom he's responsible is not a man, too. Any question so far?
 
Hivi unaanzaje kuzaa na mtunambaye huna uhakika kama atakuoa? Halafu utegemee kuwa kuna mwengine atakuja kukuoa na kulelea jamaa mtoto wake? Hivi hapa huwa inatumika akili kweli?

Ladies waelewe kuwa hakuna mwanaume aliyeko sawa kiafya kiakili, atakayekubali kuoa mwanamke alozalishwa na jamaa mwengine?

Utanidanganya vipi kuwa ulikuwa umetulia wakati una mtoto kabla hujaolewa?!

Kila mtu atabeba msalaba wake.
Wanajitoa ufahamu kutetea single moms. Ukweli mchungu wameze tu....kama ulizaa kabla ya ndoa we hujitambui.
 
Usitetee ujinga mkuu. Kudinyana na kutiwa mimba ni vitu viwili tofauti ingawa vina kimoja kina sababisha kingine. Hivi mwanaume anaweza kutia mimba kama msichana atakuwa makini?

Msitusingizie hapa. Mnaachia wenyewe halafu mnasingizia wanaume. Be smart.
Kama wanaozaliwa ni vyura basi uu ni ujinga Ila kama wanaozaliwa ni banadamu acha tu niendelee kutetea .....kudinyana na kutiwa mimba kunatofauti gani au kutiwa mimba mpka unyweshwe na kijiko ??? Kwa mwanamke ana siku Tisa za kunasa mimba katka kila mwezi huenda cku moja kati ya izo mtt wa watu kapitiwa na sio kila mwanamke yuko aware na cku zake za hatari mizunguko tu tumetofautiana .....kinacho takiwa ni kubling awareness kwa vijana wazazi na walezi wa play role kuwaelimisha watoto wao wote wakiume na wakike kuhusiana na elimu ya uzazi....
 
Mama we wangapi wanadinyana na hawapeani mimba? Kama hujui siku zako huo ni uzembe wako. Mbona husahau password ya simu yako?

Mimi kama mwanaume siwezi kukariri siku zako wakati wewe mwenyewe upo. Ni jukumu lako. Sijakuowa mimi sasa yanini nikariri siku zako....

Kuna njia nyingi sana za kuzuia mimba kama zote hizo zimekushinda basi acha kabisa kuzini.
 
Ila tatizo liko kwa wanawake, mwanamke anayejitambua hawezi kubebeshwa mimba kabla ya ndoa, wanambinu nyingi sana za kuzuia mimba, akibeba mimba kwa bahati mbaya huzitoa hata bila ya kumshirikisha mwanaume, ukiona binti kazalishwa ujue aling'ang'ania mimba kwa kigezo cha kuolewa na huyo jamaa, kwa hiyo hata huo msoto ni matokeo ya ujinga wake.

Kwa hili mwanaume asilaumiwe hata kidogo.
 
Mama we wangapi wanadinyana na hawapeani mimba? Kama hujui siku zako huo ni uzembe wako. Mbona husahau password ya simu yako?

Mimi kama mwanaume siwezi kukariri siku zako wakati wewe mwenyewe upo. Ni jukumu lako. Sijakuowa mimi sasa yanini nikariri siku zako....

Kuna njia nyingi sana za kuzuia mimba kama zote hizo zimekushinda basi acha kabisa kuzini.
Usilinganishe password za simu na mzunguko wa hedhi unapohama kutoka mazingira yenye joto kwenda yenye baridi mzunguko unachange ukibadilisha aina ya vyakula kama umetoka boarding na kula msoc wa home mzunguko unachange so unaeza kukuta kwa mwezi umebleed mala mbili upo apo apo ukienda tu unanasa najaribu kukuelewesha unaonekana una luck some materials kichwani mwako.... Ndio sio jukumu lako kukariri Sikh basi iwe jukumu lako kutumia Mpira au kama huwezi mwagia nje .....
 
Usijifanye una shule sana kuliko mimi. Nina lack materials ulinipeleka wewe shule na ukaona maendeleo yangu?

Point ni kuwa, kama umeshindwa kuzuia mimba kwa njia zote zinazofahamika duniani basi acha uzinzi. Kutumia kondom na kumwaga nje ni baadhi tu ya njia za kuzuia mimba. Go back to school and claim your fees. Otherwise find somewhere else to cry.
 
Back
Top Bottom