Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Wakuu hakna kitu kibaya kama kuoa mtu aliyezalishwa na jamaa mwingine..kibaya zaidi jamaa mwenyewe bado tupo hai ...hakika mwisho wake ni visasi na mauti ....Ma single mother siyo wa kuoa ni kupiga na kusepa .
Tukiwachana wanatoa mapovu
 
kaka alikosea tangu mwanzo,kuna namna angeeka msimamo na nyumba yake na familia yake ata uyo baba mtoto asingepata ujasiri wa kulala kwa mwanaume mwenzie. Kaka akae na aongee na mke wake amwambie nini hataki kuhusu uyo baba wa mtoto la sivo ajiandae kulea mtoto mwingine asio wake.
 
Kaka yako anamoyo mgumu sana,

Yani anaruhusu ex wa mkewe tena alale kabisa kwake,tena huyo mwanaume pamoja na mkewe wamemuona kaka yako ni mjinga.
 
tatizo wala si huyo shemeji yako bali kaka yako ndiyo mwenye matatizo na hajitambui, ataendelea kuendeshwa mpaka siku atakapojitambua.
 
Single mother hii ndio kasheshe zao.
Siwezi oa au hata kuishia nae.
Meeting p.u.m.b.u tu gest nae. Ona sasa.
Mwambie asubilie mtoto mwenye baba wawili tu hapo
 
Habarini watu wa Mungu

Utangulizi:
Kuna kaka yangu alioa (miaka kama mitano iliyopita) mwanamke aliyezaa na mwanaume tofauti na yeye. Hawajafunga ndoa na pia hawaishi pamoja kutokana na mambo ya kazi kwa pande zote mbili. Walishatambulishana kwa wazazi pande zote mbili na mahusiano yao ni ya uwazi na jamii inajua. Pia mwanamke anaishi na mtoto aliyezaa na mwanaume kabla hajaanza kuishi na kaka.... na huyo mtoto anasoma darasa la 2 sasa(7yrs). Kawaida br huenda kwa huyo mke kila ijumaa na kurudi jumapili jioni au jumatatu asubuhi sana na kupitiliza kazini kwake.

Tatizo lilipo
Ni kwamba mpaka leo mwanamke (shemeji) anawasiliana na mzazi wa mtoto wake (akiulizwa husema anawasiliana nae kwa sababu ya mtoto na kutuma matumizi na sio kimapenzi), na mara nyingine huja kumwona mwanae anapopata nafasi. Na kila anapokuja hamshirikishi kaka na akimuuliza hujibu tu alikuja bila taarifa kumwona mwanae na kwasababu anaishi mikoa ya mbali lazima alale hata siku 2 au 3. Na akimuuliza analalaje hapo na ataaminije kuwa hawafanyi mapenzi? Shemeji husema analala chumba cha housegirl na yeye analala na h/g.
Nimeandika hivi kwa sababu bro hii wiki hajaenda kwa mke kwa sababu kasikia yupo mzazi mwenzie na mke wake, na anakosaga sana amani, wikiendi yote kaishia kulewa tu. Mpaka sasa mwanaume bado yupo na br akitaka kuongea na mwanamke hana shida anaongea nae kwa uhuru lakini mi naona ni maigizo.
Kaniomba jana ushauri na anampenda kweli, nimeshindwa kutoa jibu ila nimemwambia amwambie mwanamke ampeleke mtoto kwa baba yake ili hiyo shida iishe kasema alishamwambia lakini shemeji anadai mtoto wake hawez kuishi kwa mama wa kambo. Na br mpaka sasa hajazaa nae.
Naombeni pia mawazo yenu, hali ya br sio nzuri kwa sasa

(Hanaga mpango na mitandao ya kijamii zaidi ya whatsapp so naamini hawezi kuona huu uzi).
Ushampoteza Bro wako
 
Mwenye macho haambiwi tazama
 
Kama unampenda kaka yako mwambie ukweli akutafutie shemeji mwingine lkn sio huyo

Ukweli mchungu lkn unajenga mwambie kaka sheji hatufai tafuta mwingine najua utakua sio rahisi kulipokea hilo lkn badae ataelewa then atakuheshim
 
Hapo bro wako bado hajamuoa kwa ndoa ndio maana huyo mwanamke anamletea huyo mwanaume ndani, akitaka aheshimiwe afunge nae ndoa rasmi na atekeleze wajibu wake kama mume, hutasikia huyo baba wa mtoto akijitokeza, ndoa inaheshima yake bwana
 
Bila shaka kaka yako ni mwanaume wa mkoani.

Mwambie kaka yako aache ujinga la sivyo ataletewa na mtt wa pili alee
 
Na bado tukiwagongea wake zenu mnalalamika!... Kama jamaa mwenyewe ndo anafanya hivyo.. Atachapiwa sana..

Nb:..me mwenyewe jirani yangu "mama fanuel " anataka nimchape nao!...
 
Bro wako ameolewa hapo ,, na huo pia anao ufanya bro wako ni UMANA PIA WA DEGREE YA TATU
 
Mmmmh huyo kaka ako inaoneka katawaliwa na huyo mwanamke yaan mwanamke anafanya anavyotaka weee kumsalimia gani mtoto hadi kulala,huyo baba wa mtoto aje amchukue mtoto akae nae weekend ikiisha amrudishe kwa mama ake ndio wanavyofanyaga masingo mama
Na we ebu Rudi kule kwenye uzi wako wa mganga utupe mrejesho[emoji1]
 
Kuoa/kuishi na mwanamke aliyezaa na bwana mwengine km mwanaume huyo hakufariki basi unaishi na mwanamke wa mtu.Nyoka lazima arudi shimoni ndo' nyumbani kwake.
Habarini watu wa Mungu

Utangulizi:
Kuna kaka yangu alioa (miaka kama mitano iliyopita) mwanamke aliyezaa na mwanaume tofauti na yeye. Hawajafunga ndoa na pia hawaishi pamoja kutokana na mambo ya kazi kwa pande zote mbili. Walishatambulishana kwa wazazi pande zote mbili na mahusiano yao ni ya uwazi na jamii inajua. Pia mwanamke anaishi na mtoto aliyezaa na mwanaume kabla hajaanza kuishi na kaka.... na huyo mtoto anasoma darasa la 2 sasa(7yrs). Kawaida br huenda kwa huyo mke kila ijumaa na kurudi jumapili jioni au jumatatu asubuhi sana na kupitiliza kazini kwake.

Tatizo lilipo
Ni kwamba mpaka leo mwanamke (shemeji) anawasiliana na mzazi wa mtoto wake (akiulizwa husema anawasiliana nae kwa sababu ya mtoto na kutuma matumizi na sio kimapenzi), na mara nyingine huja kumwona mwanae anapopata nafasi. Na kila anapokuja hamshirikishi kaka na akimuuliza hujibu tu alikuja bila taarifa kumwona mwanae na kwasababu anaishi mikoa ya mbali lazima alale hata siku 2 au 3. Na akimuuliza analalaje hapo na ataaminije kuwa hawafanyi mapenzi? Shemeji husema analala chumba cha housegirl na yeye analala na h/g.
Nimeandika hivi kwa sababu bro hii wiki hajaenda kwa mke kwa sababu kasikia yupo mzazi mwenzie na mke wake, na anakosaga sana amani, wikiendi yote kaishia kulewa tu. Mpaka sasa mwanaume bado yupo na br akitaka kuongea na mwanamke hana shida anaongea nae kwa uhuru lakini mi naona ni maigizo.
Kaniomba jana ushauri na anampenda kweli, nimeshindwa kutoa jibu ila nimemwambia amwambie mwanamke ampeleke mtoto kwa baba yake ili hiyo shida iishe kasema alishamwambia lakini shemeji anadai mtoto wake hawez kuishi kwa mama wa kambo. Na br mpaka sasa hajazaa nae.
Naombeni pia mawazo yenu, hali ya br sio nzuri kwa sasa

(Hanaga mpango na mitandao ya kijamii zaidi ya whatsapp so naamini hawezi kuona huu uzi).
 
Asiruhusu huyo mwanaume kulala nyumbani kwake, kama anakuja kumsalimia mtoto afikie guest akamchukue mwanae akiondoka anamrudisha mtoto.
 
Back
Top Bottom