Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Ifikie muda Hawa single mothers muwape MOYO na I wish nipate mke single mother najua magumu wanayopitia.. Ni vizuri kuwapa moyo na sio kuwazidishia uchungu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wengi wababe ndio maanaahusiano yanawashinda kuendelea, wengi wana jeuri, na kujiona hawashindwi kuishi peke yao, tena asiwe na kajikazi kakuingiza miambilimiambili, atakwambia hashindwi kulea, lakini kulea sio kununua ugali, wali na nyama basi.

Mahusiano yote dduniani yanadumu sio.kwa ujuaji bbali kwa kivumiliana na kuchukuliana. Hakuna mahusiano mepesi, as long as mwenzako unampenda basi utamchulia madhaifu yake. Ndoa zinadumu. Obama pale alipo anadum na mke wake sio kwamba wako kamili 100%
 
moyo wa nini? Wengine wanakuwa wamejilengesha kwa waume za watu na wakakaribia kuvunja ndoa... Waache laana ziwatafune... Wagombee mabwana na binti zao
 
Kumbe mtoto wa kiume wao hawazaagi nje ya ndoa au kabla ya ndoa basi sawa.
Hakuna binadamu yyte anayependa kuzaa nje ya ndoa lkn huwa ni MATOKEO TU. Kuna matokeo huwezi kuyabadilisha yakitokea kwahiyo tusiwanyoshee kidole hawa wanawake Single Mother.
N.B
UTAKUTA MWANAUME KESHAZALISHA HUKO NA KATALEKEZA MTOTO NA MAMA YAKE LKN NA YY ANAWADHARAU SINGLE MOTHER WAKATI MTOTO WAKE ANALELEWA NA SINGLE MOTHER. KITENDO CHA KUMZALISHA MWANAMKE TAYARI HUYO NI MKEO.LKN WATU HAWALIJUI HILO.
 
True...! Chance ya Mtoto kuwa kama mama yake ni kubwa sana. Most of time ataambiwa kwamba wanaume wote ni wabaya..! hivyo hatokuja kuwa balanced psychologically ... kifuatacho ataangukia kwa wahuni ..mimba ndii bila baba
Vipi kuhusu single father nao cycle inaendelea? Ukumbuke na ww utakuja kupata mtoto wa kike kwahiyo usiwaonyeshee kidole wakati na ww una makando kando
 
Jirani ya ni muhanga wa single parents anafikiria separation naona kama kabeba gunia LA misumari wife ana sumu mbaya,kauli chafu zisizo staha hata mbele za watu, maneno makali yenye sumu, ukali,ukorofi,ubabe,ujuaji Lkn ni zero,matusi anaona kama mbele kuzito anafikiria kutafuta mke wa PILI.
 
Wengi wao huwa wanawaambia watoto wao "wanaume wabaya Sana"
Mtoto anakua akiwa amejenga chuki kwa wanaume lakini hamu anayo.
Anaangukia kwa wakware.
Wanamtia mimba naye anazaa.
Nina ndugu zangu wa hivyo.
Mmoja alizaa nyumbani mtoto wa kike.
Huyo mtoto wake naye akaleta kitukuu Cha kike.
Hicho kitukuu nacho kina mimba Sasa hivi.
Tunaomba tu azaliwe wa kiume.
Maana Bibi aliyekuwa anawalea(mama yetu) alishakufa.!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna binadamu yyte anayependa kuzaa nje ya ndoa lkn huwa ni MATOKEO TU. Kuna matokeo huwezi kuyabadilisha yakitokea kwahiyo tusiwanyoshee kidole hawa wanawake Single Mother.
N.B
UTAKUTA MWANAUME KESHAZALISHA HUKO NA KATALEKEZA MTOTO NA MAMA YAKE LKN NA YY ANAWADHARAU SINGLE MOTHER WAKATI MTOTO WAKE ANALELEWA NA SINGLE MOTHER. KITENDO CHA KUMZALISHA MWANAMKE TAYARI HUYO NI MKEO.LKN WATU HAWALIJUI HILO.
Dhambi hiyo itawatafuna wote .....baba atachukiwa na kizazi chake na mama atapambana na hali yakee.
 
Wengi wao huwa wanawaambia watoto wao "wanaume wabaya Sana"
Mtoto anakua akiwa amejenga chuki kwa wanaume lakini hamu anayo.
Anaangukia kwa wakware.
Wanamtia mimba naye anazaa.
Nina ndugu zangu wa hivyo.
Mmoja alizaa nyumbani mtoto wa kike.
Huyo mtoto wake naye akaleta kitukuu Cha kike.
Hicho kitukuu nacho kina mimba Sasa hivi.
Tunaomba tu azaliwe wa kiume.
Maana Bibi aliyekuwa anawalea(mama yetu) alishakufa.!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa Kama ulikimbia mtoto unataka mama amwambiaje mtoto?? Kuna baadhi ya wanaume hata azalishe wanawake Mia atajitahidi kadri ya uwezo wake ahudumie watoto wake.
 
Hakuna binadamu yyte anayependa kuzaa nje ya ndoa lkn huwa ni MATOKEO TU. Kuna matokeo huwezi kuyabadilisha yakitokea kwahiyo tusiwanyoshee kidole hawa wanawake Single Mother.
N.B
UTAKUTA MWANAUME KESHAZALISHA HUKO NA KATALEKEZA MTOTO NA MAMA YAKE LKN NA YY ANAWADHARAU SINGLE MOTHER WAKATI MTOTO WAKE ANALELEWA NA SINGLE MOTHER. KITENDO CHA KUMZALISHA MWANAMKE TAYARI HUYO NI MKEO.LKN WATU HAWALIJUI HILO.
Exactly, usizae na mwanamke ambaye hutarajii kumwoa, na wala usioe mwanamke aliyezaa maana ni mke wa mtu.
 
Simple concept. Kuvumiliana. Thats right. Kuvumiliana.
Tatizo hwaelewi. Wakifika mle ndani wanaojionyesha wao ndio wao.
Wengi wababe ndio maanaahusiano yanawashinda kuendelea, wengi wana jeuri, na kujiona hawashindwi kuishi peke yao, tena asiwe na kajikazi kakuingiza miambilimiambili, atakwambia hashindwi kulea, lakini kulea sio kununua ugali, wali na nyama basi.

Mahusiano yote dduniani yanadumu sio.kwa ujuaji bbali kwa kivumiliana na kuchukuliana. Hakuna mahusiano mepesi, as long as mwenzako unampenda basi utamchulia madhaifu yake. Ndoa zinadumu. Obama pale alipo anadum na mke wake sio kwamba wako kamili 100%

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uwezekano wa binti yako kupata mimba na akajifungulia nyumbani kwako ni mkubwa.. cycle inazidi kuendelea maisha yako yatakuja kufanana na maisha ya kitukuu chako labda tu itokee azaliwe mtoto wa kiume anaweza akaleta mabadiliko.
UWEZEKANO HUO UTAKUWA MKUBWA ENDAPO MZAZI ATAMLEA KTK MISINGI YAKUONA WANAUME WOTE NI ADUI NA KULISHWA NOTION YA "HAKUNA FAIDA YAKUWA NA MUME KTK MAISHA' KIFUATACHO KITAKUWA SINGLE MOTHER GENERATION WITH HAWARALIZATION.
 
It is more of malezi. Tayari brain imeshakuwa wired kuwa wanaume hana mchango.
Huyu hata akipata mwanaume alietulia siku moja ata snap.. na kuanza kufanya ujinga.. ataachwa..

Labda ajitambue mbeleni. But then ni wangapi wanaweza kukaaa na kureflect tabia zao
kwa kweli ni hatari sana , yaani ukitfuta mwadada mwenye maisha yaliyonyooka aliyelelewa na single maza utapata 1/100.

wakati mwingine unadhani.labda ni laana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom