Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 10,017
- 18,537
Kajala yupoHakunaga mama mzazi wa hivi!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kajala yupoHakunaga mama mzazi wa hivi!
Wengi wababe ndio maanaahusiano yanawashinda kuendelea, wengi wana jeuri, na kujiona hawashindwi kuishi peke yao, tena asiwe na kajikazi kakuingiza miambilimiambili, atakwambia hashindwi kulea, lakini kulea sio kununua ugali, wali na nyama basi.Ifikie muda Hawa single mothers muwape MOYO na I wish nipate mke single mother najua magumu wanayopitia.. Ni vizuri kuwapa moyo na sio kuwazidishia uchungu.
Sent using Jamii Forums mobile app
moyo wa nini? Wengine wanakuwa wamejilengesha kwa waume za watu na wakakaribia kuvunja ndoa... Waache laana ziwatafune... Wagombee mabwana na binti zaoIfikie muda Hawa single mothers muwape MOYO na I wish nipate mke single mother najua magumu wanayopitia.. Ni vizuri kuwapa moyo na sio kuwazidishia uchungu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Basi wababa wengi hawajitambui.Ndio baba anayejitambua analea watoto wake. Siyo kuwarushia ugali maharage na vimiambili miambili akadhani amelea watoto.
Hiyo laana itawatafuna wote....Dhambi kama akihesabu Mungu wote wanakuwa sawa ila kwa upande wanadamu hawako sawa mwanamke akiwa na wanaume wengi ataitwa malaya tu lakin vp kwa upande wa wanaume?
Sent using Jamii Forums mobile app
Fikiria kiroho chake zaidi unaweza kupata jibuhii nimeona ikiwa hivi nin maajirani zngu vijijini mjini mambo yako hivyo hivyo, hata akiolewa ataachika tu na kubaki singl mom. Sijui tatizo linakuja vipi, happ ndipo unaona malezi ya baba mi muhimu sana.
Hapo ndo inajishihirisha kuwa kiongozi na kichwa cha familia ni baba
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna binadamu yyte anayependa kuzaa nje ya ndoa lkn huwa ni MATOKEO TU. Kuna matokeo huwezi kuyabadilisha yakitokea kwahiyo tusiwanyoshee kidole hawa wanawake Single Mother.Kumbe mtoto wa kiume wao hawazaagi nje ya ndoa au kabla ya ndoa basi sawa.
Vipi kuhusu single father nao cycle inaendelea? Ukumbuke na ww utakuja kupata mtoto wa kike kwahiyo usiwaonyeshee kidole wakati na ww una makando kandoTrue...! Chance ya Mtoto kuwa kama mama yake ni kubwa sana. Most of time ataambiwa kwamba wanaume wote ni wabaya..! hivyo hatokuja kuwa balanced psychologically ... kifuatacho ataangukia kwa wahuni ..mimba ndii bila baba
Dhambi hiyo itawatafuna wote .....baba atachukiwa na kizazi chake na mama atapambana na hali yakee.Hakuna binadamu yyte anayependa kuzaa nje ya ndoa lkn huwa ni MATOKEO TU. Kuna matokeo huwezi kuyabadilisha yakitokea kwahiyo tusiwanyoshee kidole hawa wanawake Single Mother.
N.B
UTAKUTA MWANAUME KESHAZALISHA HUKO NA KATALEKEZA MTOTO NA MAMA YAKE LKN NA YY ANAWADHARAU SINGLE MOTHER WAKATI MTOTO WAKE ANALELEWA NA SINGLE MOTHER. KITENDO CHA KUMZALISHA MWANAMKE TAYARI HUYO NI MKEO.LKN WATU HAWALIJUI HILO.
Sasa Kama ulikimbia mtoto unataka mama amwambiaje mtoto?? Kuna baadhi ya wanaume hata azalishe wanawake Mia atajitahidi kadri ya uwezo wake ahudumie watoto wake.Wengi wao huwa wanawaambia watoto wao "wanaume wabaya Sana"
Mtoto anakua akiwa amejenga chuki kwa wanaume lakini hamu anayo.
Anaangukia kwa wakware.
Wanamtia mimba naye anazaa.
Nina ndugu zangu wa hivyo.
Mmoja alizaa nyumbani mtoto wa kike.
Huyo mtoto wake naye akaleta kitukuu Cha kike.
Hicho kitukuu nacho kina mimba Sasa hivi.
Tunaomba tu azaliwe wa kiume.
Maana Bibi aliyekuwa anawalea(mama yetu) alishakufa.!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Exactly, usizae na mwanamke ambaye hutarajii kumwoa, na wala usioe mwanamke aliyezaa maana ni mke wa mtu.Hakuna binadamu yyte anayependa kuzaa nje ya ndoa lkn huwa ni MATOKEO TU. Kuna matokeo huwezi kuyabadilisha yakitokea kwahiyo tusiwanyoshee kidole hawa wanawake Single Mother.
N.B
UTAKUTA MWANAUME KESHAZALISHA HUKO NA KATALEKEZA MTOTO NA MAMA YAKE LKN NA YY ANAWADHARAU SINGLE MOTHER WAKATI MTOTO WAKE ANALELEWA NA SINGLE MOTHER. KITENDO CHA KUMZALISHA MWANAMKE TAYARI HUYO NI MKEO.LKN WATU HAWALIJUI HILO.
Wengi wababe ndio maanaahusiano yanawashinda kuendelea, wengi wana jeuri, na kujiona hawashindwi kuishi peke yao, tena asiwe na kajikazi kakuingiza miambilimiambili, atakwambia hashindwi kulea, lakini kulea sio kununua ugali, wali na nyama basi.
Mahusiano yote dduniani yanadumu sio.kwa ujuaji bbali kwa kivumiliana na kuchukuliana. Hakuna mahusiano mepesi, as long as mwenzako unampenda basi utamchulia madhaifu yake. Ndoa zinadumu. Obama pale alipo anadum na mke wake sio kwamba wako kamili 100%
UWEZEKANO HUO UTAKUWA MKUBWA ENDAPO MZAZI ATAMLEA KTK MISINGI YAKUONA WANAUME WOTE NI ADUI NA KULISHWA NOTION YA "HAKUNA FAIDA YAKUWA NA MUME KTK MAISHA' KIFUATACHO KITAKUWA SINGLE MOTHER GENERATION WITH HAWARALIZATION.Uwezekano wa binti yako kupata mimba na akajifungulia nyumbani kwako ni mkubwa.. cycle inazidi kuendelea maisha yako yatakuja kufanana na maisha ya kitukuu chako labda tu itokee azaliwe mtoto wa kiume anaweza akaleta mabadiliko.
kwa kweli ni hatari sana , yaani ukitfuta mwadada mwenye maisha yaliyonyooka aliyelelewa na single maza utapata 1/100.
wakati mwingine unadhani.labda ni laana.
Mama anamfundisha mwanae udangaji hii dunia ina mengi.