Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Nimesoma uzi (comments 221)
Anavyosema mleta ni miongoni mwa Mambo mengi yanayotokea huku mitaani

Kuna kipindi nilikua morogoro kwa maeneo niliyokaa kulikua na binti m1 umri Kama 23 years

nikaja kuskia kutoka kwa wenyeji wangu kua baba ake wa kumzaa alikua anatembea.(analala) Nae baada ya mama yao na huyo binti kufariki

Matukio haya yapo kwenye jamii yetu ila ndo vile tunataka kujitia upofu as if hatuoni
Tunaishi maisha ya kinafiki Sana.
Hili suala lipo Sana mitaani na jamii inajua.
Lakini hapa wamehemuka balaa
Wangekuwa karibu wangemuua muhusika.
Huu jamaa karusha jiwe tu wamama watambue mabinti zao wanayofanyiwa na wababa wa kambo.
Wasidhani kuolewa ukiwa na mtoto mkononi ndio fasheni.
Ina madhara yake kwa watoto. Hata wa kiume.
Imagine Kama huyu mwanaume anaku.fira wewe mke wake ataachaje kumfanyia hivyo huyo step son wake uliyekuja naye!?
Ndio maana mashoga wanaongezeka mtaani.
Wengi wao walianza kulawitiwa na mtu aliyeaminiwa Sana ndani ya familia.
 
Ofcourse najua sana kuwa wapo watu wanaotembea na step daughters or even blood daughters wao tena siyo wanaume tu hata wanawake wanaotembea na step sons or even blood sons wao wapo nimeshazisikia cases kama hizo lakini mimi siwezi kuusupport huu ujinga hata kama ni dunia nzima wangeufanya

Na vile vile nashangaa kuona mtu mwingine anausupport huu ujinga kwa kisingizio cha kuwa watu wengi wanaufanya kwa mantiki hiyo ni kwamba basi hata ushoga na usagaji nao uonekane ni wa kawaida kwa sababu tu watu wengi wanaufanya si ndiyo?

Jambo baya kufanywa na watu wengi tena kwa usiri mkubwa isiwe sababu ya kuchuliwa kwamba hilo jambo ni la kawaida haijalishi taarifa inawafikia vipi watu wengine
 
Tunaishi maisha ya kinafiki Sana.
Hili suala lipo Sana mitaani na jamii inajua.
Lakini hapa wamehemuka balaa
Wangekuwa karibu wangemuua muhusika.
Huu jamaa karusha jiwe tu wamama watambue mabinti zao wanayofanyiwa na wababa wa kambo.
Wasidhani kuolewa ukiwa na mtoto mkononi ndio fasheni.
Ina madhara yake kwa watoto. Hata wa kiume.
Imagine Kama huyu mwanaume anaku.fira wewe mke wake ataachaje kumfanyia hivyo huyo step son wake uliyekuja naye!?
Ndio maana mashoga wanaongezeka mtaani.
Wengi wao walianza kulawitiwa na mtu aliyeaminiwa Sana ndani ya familia.

Kuna kijana mmoja ni shoga amewai kusimulia kwamba yeye alifundishwa huo mchezo na Baba yake wa kambo mpakamsasa huyo kijana sio ridhiki tena anafanya kazi hotelini kazi yake kubwa ni hiyo kugawa tigo tena anatafuta na watu wenye heshima zao wenye wake zao na familia zao kimsingi ni watu muhimu kwa taifa,lakini ndio watu wa kwanza kufanya ushenzi huo tofauti na ukiwakuta kwenye majukwaa..
Single mama amkeni msikenue na kubweteka kwenye ndoa wanaume sio wajinga kukuoa wewe ikiwa tayari umeshazalishwa na mwanaume mwingine,hakuna mtu asiyependa kitu kipyaaa
 
Tunaishi maisha ya kinafiki Sana.
Hili suala lipo Sana mitaani na jamii inajua.
Lakini hapa wamehemuka balaa
Wangekuwa karibu wangemuua muhusika.
Huu jamaa karusha jiwe tu wamama watambue mabinti zao wanayofanyiwa na wababa wa kambo.
Wasidhani kuolewa ukiwa na mtoto mkononi ndio fasheni.
Ina madhara yake kwa watoto. Hata wa kiume.
Imagine Kama huyu mwanaume anaku.fira wewe mke wake ataachaje kumfanyia hivyo huyo step son wake uliyekuja naye!?
Ndio maana mashoga wanaongezeka mtaani.
Wengi wao walianza kulawitiwa na mtu aliyeaminiwa Sana ndani ya familia.
Kwa hiyo kama yapo? Kila lililopo kwenye jamii basi linafaa kuendelezwa na kupigiwa debe?
 
Jamani tufikirieni kwa kichwa na si makalio..[emoji1785]
 
Jamaa ametumia mbinu nzuri sana kuwajua single mama wenye watoto wa kike, wameitana Wamejipanga Hapo juu
 
Wameguswa kunako utamu aisee wamecharuka hao wapejipangu rundo yani msululu kazi kwetu kuchagua
 
Ktk wapumbavu wote duniani ww mtoa post unashika no: ya kwanza, cjui ulifikiriaje hadi ukaleta uzi kama huu humu jf, hv hujui kuwa hili jukwaa la the great thinkers?
 
Wewe great thinker umeandika nini hapo👆 mbona kama kimba imekubana na hutaki kukata gogo..
Kama wew great thinker umeng'amua nini kwenye huu uzi zaidi ya upumbavu wa mtoa post kwa kuwa nawewe ni mpumbavu basi umeelewa kipumbavu hivyohivyo..
 
Jamaa ametumia mbinu nzuri sana kuwajua single mama wenye watoto wa kike, wameitana Wamejipanga Hapo juu
Kila anayepinga unyanyasaji wa walemavu ni mlemavu? Kila anayepinga unyanyapaa wa waathirika ni mwathirika? Kwa hiyo wewe jambo la kipuuzi likisemwa au kufanyika utaacha lifanyike kwa kuwa halikugusi wewe moja kwa moja? Tumia kichwa kufikiri
 
Tunaishi maisha ya kinafiki Sana.
Hili suala lipo Sana mitaani na jamii inajua.
Lakini hapa wamehemuka balaa
Wangekuwa karibu wangemuua muhusika.
Huu jamaa karusha jiwe tu wamama watambue mabinti zao wanayofanyiwa na wababa wa kambo.
Wasidhani kuolewa ukiwa na mtoto mkononi ndio fasheni.
Ina madhara yake kwa watoto. Hata wa kiume.
Imagine Kama huyu mwanaume anaku.fira wewe mke wake ataachaje kumfanyia hivyo huyo step son wake uliyekuja naye!?
Ndio maana mashoga wanaongezeka mtaani.
Wengi wao walianza kulawitiwa na mtu aliyeaminiwa Sana ndani ya familia.
Ni kweli
 
Back
Top Bottom