Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Single mother. Ila jiandae kisaikolojia chochote kinaweza tokea usijipe matumaini nao kwasana.
 
Nakuja uko uko mi nikimuoa huyu single mama gharma itapungua
Kwanza yypo kijijiji nitamuolea kule kule so garma aitozid hata laki mbili, mahari nitapunguziwa tena naweza mchukua kwa mkopo,ishot sitakua na hasara yoyote kubwa hata akikengeuka sina cha kupoteza ,mtoto wake ni mmoja tu wakikie hana madhara katika mali zangu,ni msichana anaejielewa ila mimba kaipata bahati mbaya ukuaji ulimwingia kwa kasi

Il Najifikiria mara mbili naweza ahirisha endapo mawazo yakichange au nikipata wa kawaida mwenye kujielewa zIs yake
 
Mkuu, we km utamuacha huyo shauri yko..

Hv jf single mother waliwakoseaga nn aisee.. Mbna mitaani wanaolewa lakn ukja huku na kuwaponda mwa mwi...
mkuu usisikilize miruzi ya jf simamie msimamo wako tena nakuombea upate single mother first class anaejielewa
 
Hv jf single mother waliwakoseaga nn aisee.. Mbna mitaani wanaolewa lakn ukja huku na kuwaponda mwa mwi...
Huku kila mtu mjuaji ukiamua kuoa oa usisikilize mtu huku

Ukute huko wakibananishwa na mapenzi hawachomoki mpk wanawatangazia ndoa hao single mother
 
Hivi humu ndani huwa zinaweza kupita siku tatu bila uzi wa singo mother
 
Back
Top Bottom