Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

kama bado utakuwa mbishi nitaona unamatatizo ya akili.

Hivi kwa mfano Mwanaume akiitwa Mwanamke kwa mambo yake au tabia zake. Hiyo inamfanya kweli awe mwanamke. Jibu ni hapana.

Ataitwa vile lakini kimsingi sio mwanamke. Bali yeye ni Mwanaume. Hivi Diamond akiijiita simba yeye ni simba? Jibu ni hapana.

Siku zote kinachoangaliwa ni maana ya msingi ya neno. Sasa wewe kama hujui mambo madogo kama hayo unataka ujadili nini na mimi.

Mtu kama huelewi maana ya msingi ya neno Bikra unataka ujadili nini humu.
miss_blossom ulisema it's shame arguing with me unaona sasa kuwa wewe ni embarrassment tena biggest one kwa masingo mama wenzio to hell with your dumb
 
Bila shaka tumepata mtaalamu wa lugha atakayeweza kutusaidia kwenye point yetu ile kwenye mada ile
Hapa linahusishwa na wataalamu wa lugha au vijana wa mtaani ? Ipi mipaka yake ?

Sasa nataka kujua nini maana ya maana ?
 
Hivi ukiachana na wale wajane ambao waume zao wamefariki au hawa walio achika,je kuna sababu gani ya msingi na ya maana inayowafanya watoto wa kike wawe single mothers zaidi ya ujinga,uzembe,tamaa na ujuaji mwingi ?

Pili,hakuna mwanaume kamili,mwenye kujivunia juu ya kuzalisha wanawake bila ndoa na yeye akajiita mwanaume,mwanaume ni sifa anuai ya kimaumbile,ambayo sifa hiyo huenda sanjari na sifa zingine. Kwahiyo wote wapo makosani.

Mathalani mimi,nilishajiapiza kwamba sitakuja kuwa na mtoto nje ya ndoa wala sitakuja kumzlisha binti wa watu bila ndoa,sababu najua mtoto wa nje ya ndoa anakosa haki zangu na ninakuwa namdhulumu pia.

Nitakuja kuendelea hapa nilipoishia .....
Khaligraph Jordan mbona yupo!?
Anajivunia kuzalisha bila ndoa.
Wanaume mna safari ndefu Sana.
Na watu Kama Hawa ndio chanzo cha mahubiri yote haya humu ndani.
 
Hapa linahusishwa na wataalamu wa lugha au vijana wa mtaani ? Ipi mipaka yake ?

Hapa ni vijana. Hata hivyo zote ni maaana. Lakini tofauti kubwa ni kuwa ipo maana ya Msingi.

Sasa nataka kujua nini maana ya maana ?

Katika kujadili Maana ya maana ya maana ipo mikabala mingi na nadharia nyingi kuhusiana na Fasili ya neno Maana.

Embu tuone hapo chini.

Dhana
ya Semantiki
Etimolojia ya neno
semantiki inatokana na maneno mawili ya Kigiriki yenye maana ya
“sema”= maana na “ticos” = ishara. Hivyo, semantiki ni ishara za maana ama zenye
maana. Kiisimu semantiki ni taaluma inayohusika na maana katika tungo ama maana
za maneno.
a)
Semantiki hutafiti maana za fonimu,
mofimu, maneno na tungo.
b)
Maana hushughulikiwa katika viwango
vyote vya lugha, kama vile sauti, maneno na sentensi.
Maana
ya maana
Hakuna jibu la mkato au
jibu rahisi linaloelezea juu ya maana ya maana, dhana ya maana ni telezi,
kutokana na utelezi huo wanaisimu mbalimbali wameeleza maana ya maana kama
ifuatavyo.
1. Maana kama dhana (Richard
na wenzake, 1925) wanasema maana ni ile dhana na dhana hii ni ya msemaji yaani
msemaji huwa na dhana fulani kabla hajasema.
Udhaifu:
si
rahisi kuwa na dhana inayofanana kati ya msemaji na msikilizaji. Baadhi ya
maneno ya lugha hayana dhana mahususi hadi yatumike na maneno mangine.
Mfano:
pia, na, kadhalika
2. Maana kama mwitiko
(Bloomfield
na C. Morries) wanasema maana ni mwitiko wa msikilizaji. Wao wanatazama tabia
ya binadamu anapoitikia neno fulani linavyotamkwa.
Udhaifu: si
rahisi wasikilizaji zaidi ya mmoja kuitika katika maana moja.
3. Maana ni matumizi :
Wanazuoni
wa msimamo huu wanasema maana ya neno hutokana na matumizi yake katika mfumo wa
lugha. Neno kama lilivyo halina maana kama haliko kwenye matumizi au muktadha.
Maana ya neno inabadilika kulingana na muktadha.
Udhaifu:
lugha
inatazamwa kama kapu lenye maneno mengi yanayotumika kwa wakati mahususi na
kuchukua maana kwa wakati huo. Kitu ambacho si kweli.
4. Maana ni
kitaja/kiwakilishi/kirejelee majumui : Wanaisimu katika
mtazamo huu wanasema maana ya neno ni kile kitu halisi kinachowakilisha kitu
husika. Maana ya neno iwe katika kitu halisi kinachoweza kutambuliwa kupitia
milango ya fahamu (kuona, kuonja, kunusa, kugusa, kushika). Wanazingatia
uhalisi wa umajumui au maisha. Dhima ya lugha ni kupambanua vitu mbalimbali
katika ulimwengu unaomzunguka mtu.
Udhaifu: kuna
maneno yasiyowakilisha kitu katika mazingira yanayotuzunguka. Mathalani, kuwa,
na, pia, katika, wa, n.k. kuna maneno yanarejelea vitaja zaidi ya kimoja.
5. Fasili nyingine za maana ya maana
Kwa mujibu wa TUKI (1990: 39) wanasema
maana ya maana ni fahiwa (sense) ya
neno au kirai ama dhana, matumizi au kitajwa.
v Maana ni
maelezo yanayotumiwa kukitambulisha au kukifafanua kitu
v Maana ni
kusudio au dhamira ya mtu
v Maana ni
ishara au dalili ya jambo
v Maana ni
thamani, umuhimu au nafasi ya kitu au jambo fulani kwa mtu
 
Mabaharia wakike ni mamaharia. Nyinyi wanaume mnasema
Hili tamko "Mamaharia" umelipata wapi ?
" KWENYE WANAUME KUNA WANAUME" hii ni sentensi tata sijui nyie ni wanaume wa aina gani msiojua kiswahili.
Kiswahili gani hapa kina hitajika ? Mpaka useme hatujui Kiswahili,hapa kilicho fanyika ni kutoa visivyohitajika na kubaki vinavyo hitajika.

Kuna mwanaume kihali mpaka kitabia na kuna mwanaume kihali ila kitabia ni mwanamke,ndio maana tunasema hivi "Katika Wanaume kuna Wanaume". Mfano wa wanaume wenye sifa za kike,wanaume wenye kuimba hawa wana sifa za kike na mfano wao.
Mimi kama Baharia nasemaje ni marufuku kwa Baharia yeyote kuowa mwanamke aliyezalia kwao (Single mama) hata mjane marufuku.

Bila shaka,wewe ni mwanaume jina,huingii katika ule uana ume wa tabia.

Mwanaume kamili hawezi kujiita Baharia. Nakukumbusha tu kila jambo linataka elimu,na jambo la kielimu linatakiwa lijadiliwe kielimu,sio unaandika mambo kwa hisia,na tangu mitume wanatumwa wameelezea sifa anuai ya mwanamke ni kulalamika sana na kukithirisha mashitaka sana,na kutumia hisia sana imekuwa ni sifa ya kike,na wewe uko nayo. Sasa tumia akili sana unapoandika kuliko hisia.

Nakuja kuendelea hapa nilipoishia ....
 
Dhambi hakuna kubwa Wala ndogo.
Hukumu yake Ni ile ile...
Kusengenya,kudanganya ,kutamani,kuua zote Ni dhambi...hakuna kubwa Wala ndogo.
Kinachowafanya watu waone Kama Kuna dhambi kubwa na ndogo Ni madhara ya dhambi.
Kuna dhambi unaweza kufanya ikaleta madhara makubwa katika ulimwengu wa mwili..hata Roho pia...
Mfano. Ukiua,,,utaozea jela
Uzinzi.. matokeo yake mengine Ni Kama haya yanayozungumziwa na mtoa mada .

Ila zote zipo sawa na zinasameheka Kama Mtu ataamua kutubu.
Unataka kuniambia Ushirikina ni sawa na kusengenya au ni sawa na zinaa au ni sawa na kuiba ?
 
Najua hii ni ngumu kumeza na ukweli unauma sana lakini hii ni kweli tupu ila hapo kwenye kumpata bikra ni adimu siku hizi bora ungesema yeyote yule ambaye bado hajawahi kupata mimba kabisa na utamjua tu ipo namna.....
Hata hao ambao hawajawahi kutoa mimba nao ni wachache sana siku hizi. Ukitaka amini hili uliza marafiki zako wa kike 10 ulio zoeana nao ambao unajua wanaweza kufunguka. Kisha angalia katika hao 10 wenye miaka 25 plus uone ni wangapi wameshawahi kushika mimba japo hawajazaa na wangapi hawajawahi kabisa.
 
bikira
NOMINO ( plural bikira)
Mwanamke ambaye kizinda chake hakijaondolewa na mwanaume

Matamshi
bikira /bikira/

Ufafanuzi msingi wa bikira katika Kiswahili: bikira bikira
bikira

KIVUMISHI
Ambao haijatumika.

Hao ni Oxford living Dictionary.

Ndio maana kule juu nikakueleza kuwa kuna mtumiaji na mtumiwaji.

Bado hujaelewa tuu
Mkuu Jokajeusi nakufuatilia na nakuelewa sana kwa ufafanuzi wako[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
 
Katika kujadili Maana ya maana ya maana ipo mikabala mingi na nadharia nyingi kuhusiana na Fasili ya neno Maana.

Embu tuone hapo chini.

Dhana
ya Semantiki
Etimolojia ya neno
semantiki inatokana na maneno mawili ya Kigiriki yenye maana ya
“sema”= maana na “ticos” = ishara. Hivyo, semantiki ni ishara za maana ama zenye
maana. Kiisimu semantiki ni taaluma inayohusika na maana katika tungo ama maana
za maneno.
a)
Semantiki hutafiti maana za fonimu,
mofimu, maneno na tungo.
b)
Maana hushughulikiwa katika viwango
vyote vya lugha, kama vile sauti, maneno na sentensi.
Maana
ya maana
Hakuna jibu la mkato au
jibu rahisi linaloelezea juu ya maana ya maana, dhana ya maana ni telezi,
kutokana na utelezi huo wanaisimu mbalimbali wameeleza maana ya maana kama
ifuatavyo.
1. Maana kama dhana (Richard
na wenzake, 1925) wanasema maana ni ile dhana na dhana hii ni ya msemaji yaani
msemaji huwa na dhana fulani kabla hajasema.
Udhaifu:
si
rahisi kuwa na dhana inayofanana kati ya msemaji na msikilizaji. Baadhi ya
maneno ya lugha hayana dhana mahususi hadi yatumike na maneno mangine.
Mfano:
pia, na, kadhalika
2. Maana kama mwitiko
(Bloomfield
na C. Morries) wanasema maana ni mwitiko wa msikilizaji. Wao wanatazama tabia
ya binadamu anapoitikia neno fulani linavyotamkwa.
Udhaifu: si
rahisi wasikilizaji zaidi ya mmoja kuitika katika maana moja.
3. Maana ni matumizi :
Wanazuoni
wa msimamo huu wanasema maana ya neno hutokana na matumizi yake katika mfumo wa
lugha. Neno kama lilivyo halina maana kama haliko kwenye matumizi au muktadha.
Maana ya neno inabadilika kulingana na muktadha.
Udhaifu:
lugha
inatazamwa kama kapu lenye maneno mengi yanayotumika kwa wakati mahususi na
kuchukua maana kwa wakati huo. Kitu ambacho si kweli.
4. Maana ni
kitaja/kiwakilishi/kirejelee majumui : Wanaisimu katika
mtazamo huu wanasema maana ya neno ni kile kitu halisi kinachowakilisha kitu
husika. Maana ya neno iwe katika kitu halisi kinachoweza kutambuliwa kupitia
milango ya fahamu (kuona, kuonja, kunusa, kugusa, kushika). Wanazingatia
uhalisi wa umajumui au maisha. Dhima ya lugha ni kupambanua vitu mbalimbali
katika ulimwengu unaomzunguka mtu.
Udhaifu: kuna
maneno yasiyowakilisha kitu katika mazingira yanayotuzunguka. Mathalani, kuwa,
na, pia, katika, wa, n.k. kuna maneno yanarejelea vitaja zaidi ya kimoja.
5. Fasili nyingine za maana ya maana
Kwa mujibu wa TUKI (1990: 39) wanasema
maana ya maana ni fahiwa (sense) ya
neno au kirai ama dhana, matumizi au kitajwa.
v Maana ni
maelezo yanayotumiwa kukitambulisha au kukifafanua kitu
v Maana ni
kusudio au dhamira ya mtu
v Maana ni
ishara au dalili ya jambo
v Maana ni
thamani, umuhimu au nafasi ya kitu au jambo fulani kwa mtu

Kwa jinsi nilivyokuelewa katika maelezo yako hujatoa maana ya maana,bali umeelezea namna tofauti za utoaji wa maana.

Kwa kumbukumbu zangu nakumbuka namna kama nne hivi za utoaji wa maana,moja wapo utoaji wa maana kwa mfano,utoaji wa maana kwa kinyume cha nen husika,utoaji wa maana kwa kazi ya tamko husika,na ya nne nimeisahau kidogo.

Maelezo yako nimeyaelewa sana,na uko sahihi ila bado sijapata maana ya maana.

Sababu wewe bila shaka unaonekana ni msomi wa lugha hii ya Kiswahili na maelezo yako yanaonyesha hivyo,najua sina uwezo wa kukufundisha ila nina weza kukupa faida juu ya nini maana ya maana,lengo langu lilikuwa si kukujaribu bali nilitaka kupata mtazamo wako juu ya maana ya maana,baada ya kuona uchambuzi wako.

Vipi unaniruhusu nikupe maana ya kukata ya tamko "MAANA" ?
 
Kuna single moms wengi tu wameolewa na kutulia kuliko wadada waliolewa wakiwa
hawana watoto

Acheni hizi stereo types za kishamba
Maneno kama haya utayaandika hapa kutafuta likes tu za masingo maza, lakini ndani ya moyo wako unajua Baharia Nyenyere alioumimina hapa ni UKWELI MTUPU.

Ipo tofauti kubwa sana ya MWANAMKE MJANE na mwanamke aliyezalishwa akaachwa kwa sababu zingine. Sio kila kitu kinafaa kurithi na kama mwanaume jichunge sana usifanye maamuzi kwa emotions.
 
Back
Top Bottom