Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Sasa kwanini umwambie kwenda Kama huna uhakika kuwa Hana?Kwani nimesema hana?
Kama anayo nitamzawadia zawadi yenye thamani ya milioni hamsini au nyumba moja.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa kwanini umwambie kwenda Kama huna uhakika kuwa Hana?Kwani nimesema hana?
Kama anayo nitamzawadia zawadi yenye thamani ya milioni hamsini au nyumba moja.
Ndio maana ni muhimu tuwaambie ukweli ili wengine ambao hawajaingia bado kwenye mtego huo waogope.
In different scenario tunaona pia Hawa watoto ni chanzo cha uhusiano kupona na kurudiana after all mtoto anaunganisha wazazi sometimes mi ninani wa kupingaKwahiyo walioolewa wakiwa siyo single mothers ndiyo hawapashi viporo??
Ndoa yako ina muda gani ?Sisi wazoefu wa ndoa na tuliokula chumvi nyingi tupo wengi tu humu ndiyo maana nikakuuliza je ndoa zote zinazovunjika au zisizo na amani ni zile ambazo wanawake waliolewa wakiwa single mothers au wakiwa non virgins?? Hilo swali ni gumu sana kujibu kwani??
Hawasikii mpaka uongee kila siku. Nami nitaongea kila nikipata nafasi. Sitajali nani atageuka adui yangu. kama wewe unavyonichukulia. Mimi najali ukweli tuu.
Kwa hiyo unahisi mimi nimewadharau wanawake?
Atakuwa nayo vipi wakati anasema ni mzoefu wa ndoa ?Una uhakika Hana?
Kwa jinsi sio jinsia.Kwa jinsia unavyowasilisha hoja zako
Khee nivimbe kichwa kwani bikira kwa mwanamke aliyeolewa ni sifa?? Halafu wewe ni nani hadi ukiniita mimi bikira nivimbe kichwa??Basi nilivyokuita bikra umevimba kichwa. Kwendraaaaa
Kwanza hajajibu mapigo ya kuitwa mwehu[emoji87]
Ngoja atakuja baadaye kidogo.
Anazitafuta za uso.
Ila uzuri huyu jamaa anajua kucheza na biti ..huwa haingii kichwa kichwa.
Anaangaliaga upepo
Angalia Kwanza mtiririko wa madaAtakuwa nayo vipi wakati anasema ni mzoefu wa ndoa ?
Hiyo ya mwisho waachie mabrazameni, wewe chukua zile zinazokuhusu. Kujilinganisha hakumalizi tatizo kwa maana haijawahi kutokea mtu mume kubeba mimba.Hiyo aya ya mwisho ndiyo kila kitu, basi tazama, inuka enenda kwa hao 'mabaharia' na uwaambie haya "acheni kuwazalisha wanawake hovyo"
Oyoo kaja
Tatizo lako haujibu maswali yangu!!Huu ubishi tushauongelea. Nakusihi dada yangu usijilinganishe na mwanamume. Wote mtafanya mapenzi, utazaa, mtatubu, mtasamehewa, shida utabaki nayo wewe. Kiroho umesamehewa, kimwili hauaminiki tena. Mwanamume uliyezaa naye ataoa binti mwingine wa chaguo lake na kukuacha na majuto. Fungua macho kwenye maisha halisi, acha kiburi. Utaumia
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Khee nivimbe kichwa kwani bikira kwa mwanamke aliyeolewa ni sifa?? Halafu wewe ni nani hadi ukiniita mimi bikira nivimbe kichwa??
Sasa kwanini umwambie kwenda Kama huna uhakika kuwa Hana?