Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Halafu ni wapi nimesema kuwaambia ukweli wanawake ni kuwanyanyasa?? Hoja yangu siyo kuacha kuwaambia ukweli ila hoja yangu ni kwamba usiwaambie ukweli wanawake bali waambie ukweli wanawake na wanaume!! Jokajeusi,
 
Probability au tuseme possibility yao inakuwa ndogo compare na hawa wa kawaida maana hatuwez jua wameachana vipi na mzazi mwenzake
Kwahiyo walioolewa wakiwa siyo single mothers ndiyo hawapashi viporo??
In different scenario tunaona pia Hawa watoto ni chanzo cha uhusiano kupona na kurudiana after all mtoto anaunganisha wazazi sometimes mi ninani wa kupinga

Bora ntafute mbichi nianze nae moja ata Kama alitoa mimba siwezi kujali kwa sababu sijui
 
Sisi wazoefu wa ndoa na tuliokula chumvi nyingi tupo wengi tu humu ndiyo maana nikakuuliza je ndoa zote zinazovunjika au zisizo na amani ni zile ambazo wanawake waliolewa wakiwa single mothers au wakiwa non virgins?? Hilo swali ni gumu sana kujibu kwani??
Ndoa yako ina muda gani ?
 
Oohh haya tunaisubiri hiyo jamii ambayo single mothers na non virgins watakuwa hawaolewi na watabaki kuwa manungayembe tu oh I just can't wait
Hawasikii mpaka uongee kila siku. Nami nitaongea kila nikipata nafasi. Sitajali nani atageuka adui yangu. kama wewe unavyonichukulia. Mimi najali ukweli tuu.
 
Basi nilivyokuita bikra umevimba kichwa. Kwendraaaaa
Khee nivimbe kichwa kwani bikira kwa mwanamke aliyeolewa ni sifa?? Halafu wewe ni nani hadi ukiniita mimi bikira nivimbe kichwa??
 
Hiyo aya ya mwisho ndiyo kila kitu, basi tazama, inuka enenda kwa hao 'mabaharia' na uwaambie haya "acheni kuwazalisha wanawake hovyo"
Hiyo ya mwisho waachie mabrazameni, wewe chukua zile zinazokuhusu. Kujilinganisha hakumalizi tatizo kwa maana haijawahi kutokea mtu mume kubeba mimba.

Mnyama wa kiume kazi yake ni kuzalisha, ukileta urembo utawekewa ulimbo, ukinasa kwenye ulimbo ni shauri yako.
 
Huu ubishi tushauongelea. Nakusihi dada yangu usijilinganishe na mwanamume. Wote mtafanya mapenzi, utazaa, mtatubu, mtasamehewa, shida utabaki nayo wewe. Kiroho umesamehewa, kimwili hauaminiki tena. Mwanamume uliyezaa naye ataoa binti mwingine wa chaguo lake na kukuacha na majuto. Fungua macho kwenye maisha halisi, acha kiburi. Utaumia
Tatizo lako haujibu maswali yangu!!

Hawa wanawake wanaoolewa kila siku wote hawana watoto??
 
Khee nivimbe kichwa kwani bikira kwa mwanamke aliyeolewa ni sifa?? Halafu wewe ni nani hadi ukiniita mimi bikira nivimbe kichwa??
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hivi PM mambo yalikuwaje!????
Hehehe
 
Back
Top Bottom