Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Matthew 19:4-6
Haoa kuna kazi kweli,hili ni andiko la ndoa katika shughuli nzima,na halionyeshi kwamba ni haramu kuoa mke mwingine,kwani yule mke wa pili nae ataondoka na kumuacha baba na mama ake na kuambatana na mumewe.

Bado,nakudai andiko haifai au linalo kataza ndoa za wanawake wengi.
 
nilishakupa kifungu.
Hayo maswala ya kugoogle hangaika nayo wewe.
Nimekwambia situmii softcopy Mimi.
Nimesha google bibie.

Kifungo kinaoelezea ndoa ila hakikatazi ndoa ya wake wengi,kwani kila mwanamke huoelewa kwa wakati wake,huelewi wapi bibie ? Andiko liko wazi kabisa.
 
Ingekuwa hivyo mbona lingesema Kama na wa pili ataondoka hivyohivyo.
Mbona unaanza kugeuza maandiko na kuweka unavyotaka!?
Hayo Ni kwa mujibu wa ubongo wako..na sio Biblia
Haoa kuna kazi kweli,hili ni andiko la ndoa katika shughuli nzima,na halionyeshi kwamba ni haramu kuoa mke mwingine,kwani yule mke wa pili nae ataondoka na kumuacha baba na mama ake na kuambatana na mumewe.

Bado,nakudai andiko haifai au linalo kataza ndoa za wanawake wengi.
 
Nimesha google bibie.

Kifungo kinaoelezea ndoa ila hakikatazi ndoa ya wake wengi,kwani kila mwanamke huoelewa kwa wakati wake,huelewi wapi bibie ? Andiko liko wazi kabisa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kweli wewe kichwa chako Muhammad amekiharibu vibaya.
Kabisa unaona hapo mke Mmoja na mume Mmoja halafu unaleta porojo zako za ajabu.
We zurri vipi wewe...unafeli Sana brother
 
Ingekuwa hivyo mbona lingesema Kama na wa pili ataondoka hivyohivyo.
Safi kabisa naona umekuja napotaka,embu weka kwa wingi hilo andiko uone kama lita kaa.

Ndoa huwa kati ya nani na nani ? Wapili aondoke vipi wakati andiko linaonyesha msingi,kwa mwanamke yeyote.

Ninapo muoa mke wa pili,mke wa kwanza si anakuwa ahusiki katika hiyo ndoa sababu yeye alishaolewa ?

Hapo,inaonyesha ya kuwa hakuna ndoa ya wake zaidi ya mmoja kwa wakati mmoja,ila haijakataza kuoa wanawake zaidi ya mmoja.

Andiko lenu linaonyesha tukio la ndoa sio katazo la ndoa ya wake wengi.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kweli wewe kichwa chako Muhammad amekiharibu vibaya.
Kabisa unaona hapo mke Mmoja na mume Mmoja halafu unaleta porojo zako za ajabu.
We zurri vipi wewe...unafeli Sana brother
Sasa hiyo si inaongelea ndoa na haikatazi ndoa ya wake wengi.
 
Safi kabisa naona umekuja napotaka,embu weka kwa wingi hilo andiko uone kama lita kaa.

Ndoa huwa kati ya nani na nani ? Wapili aondoke vipi wakati andiko linaonyesha msingi,kwa mwanamke yeyote.

Ninapo muoa mke wa pili,mke wa kwanza si anakuwa ahusiki katika hiyo ndoa sababu yeye alishaolewa ?

Hapo,inaonyesha ya kuwa hakuna ndoa ya wake zaidi ya mmoja kwa wakati mmoja,ila haijakataza kuoa wanawake zaidi ya mmoja.

Andiko lenu linaonyesha tukio la ndoa sio katazo la ndoa ya wake wengi.
Ndoa hufungwa Mara moja tu.
Ukifunga zaidi ya Mara moja ujue mkeo au mumeo amefariki..ndio maana Ya kile kiapo cha kutenganishwa na kifo.
Ukiona ndoa inafungwa Mara 3 au 4 ujue hiyo sio ndoa..Ni uzinzi..
Mkiongozwa na huyu jamaa yenu muhuni wa wahuni
 
Ametaja wake wangapi hapo!?
Unadhani yeye Ni mjinga kuspecify hivyo!?
Amekataza wapi kuoa wake zaidi ya mmoja kwenye hilo andiko ?

Nimekuuliza maswali huko nyuma hujajibu.

Mimi nikioa mke wa kwanza,nikaja kuoa mke wa pili,huyu mke wa pili ataitwaje na huyo mke wa kwanza anahusika vipi katika hii ndoa ya mke wa pili ?
 
Uliza swali vizuri.

Asili ya Yesu ni wapi ?

Asili ya Ukatoliki ni wapi ?

Asili ya Usabato ni wapi ?

Asili ya angilikana ni wapi ?

Ukijibu maswali haya ndio utajua ya kuwa WAKRISTO mnatumia kivuli cha Yesu kuipiga chapuo dini yenu ya KRISTO na madhehebu yenu.

Tujikite kwenye mada.
Asili ya Yesu ni Mbinguni. Unalingine?
 
Amekataza wapi kuoa wake zaidi ya mmoja kwenye hilo andiko ?

Nimekuuliza maswali huko nyuma hujajibu.

Mimi nikioa mke wa kwanza,nikaja kuoa mke wa pili,huyu mke wa pili ataitwaje na huyo mke wa kwanza anahusika vipi katika hii ndoa ya mke wa pili ?
Wapi ameruhusu kuoa mke zaidi ya Mmoja?
 
Back
Top Bottom