Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Wewe SI ndio unataka kusoma.Weka matini hapa,kama nifanyavyo mimi,tuokoe muda sote tuone.
Yatafute usome...situmii soft copy ya Bible kama wewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe SI ndio unataka kusoma.Weka matini hapa,kama nifanyavyo mimi,tuokoe muda sote tuone.
Google fasta hapo.Wewe SI ndio unataka kusoma.
Yatafute usome...situmii soft copy ya Bible kama wewe
nilishakupa kifungu.Google fasta hapo.
Mbona umemvamia yeye Sasa.Tukianza na uelewa wako tu wenyewe unaotia mashaka tele... Mimi binafsi sioni sababu ya kutohitimisha kwamba elimu uliopewa ni tia maji maji.
Haoa kuna kazi kweli,hili ni andiko la ndoa katika shughuli nzima,na halionyeshi kwamba ni haramu kuoa mke mwingine,kwani yule mke wa pili nae ataondoka na kumuacha baba na mama ake na kuambatana na mumewe.Matthew 19:4-6
Nimesha google bibie.nilishakupa kifungu.
Hayo maswala ya kugoogle hangaika nayo wewe.
Nimekwambia situmii softcopy Mimi.
Comprehension issue[emoji846]Unaleta vitisho vya panthasakesho ambaye hata kwenye mada hayupo
Haoa kuna kazi kweli,hili ni andiko la ndoa katika shughuli nzima,na halionyeshi kwamba ni haramu kuoa mke mwingine,kwani yule mke wa pili nae ataondoka na kumuacha baba na mama ake na kuambatana na mumewe.
Bado,nakudai andiko haifai au linalo kataza ndoa za wanawake wengi.
Comprehension issueMbona umemvamia yeye Sasa.
Hiyo Ni nje ya mada
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nimesha google bibie.
Kifungo kinaoelezea ndoa ila hakikatazi ndoa ya wake wengi,kwani kila mwanamke huoelewa kwa wakati wake,huelewi wapi bibie ? Andiko liko wazi kabisa.
Mambo!?Comprehension issue
Sawa.Comprehension issue[emoji846]
Safi kabisa naona umekuja napotaka,embu weka kwa wingi hilo andiko uone kama lita kaa.Ingekuwa hivyo mbona lingesema Kama na wa pili ataondoka hivyohivyo.
Sasa hiyo si inaongelea ndoa na haikatazi ndoa ya wake wengi.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kweli wewe kichwa chako Muhammad amekiharibu vibaya.
Kabisa unaona hapo mke Mmoja na mume Mmoja halafu unaleta porojo zako za ajabu.
We zurri vipi wewe...unafeli Sana brother
Ametaja wake wangapi hapo!?Sasa hiyo si inaongelea ndoa na haikatazi ndoa ya wake wengi.
Ndoa hufungwa Mara moja tu.Safi kabisa naona umekuja napotaka,embu weka kwa wingi hilo andiko uone kama lita kaa.
Ndoa huwa kati ya nani na nani ? Wapili aondoke vipi wakati andiko linaonyesha msingi,kwa mwanamke yeyote.
Ninapo muoa mke wa pili,mke wa kwanza si anakuwa ahusiki katika hiyo ndoa sababu yeye alishaolewa ?
Hapo,inaonyesha ya kuwa hakuna ndoa ya wake zaidi ya mmoja kwa wakati mmoja,ila haijakataza kuoa wanawake zaidi ya mmoja.
Andiko lenu linaonyesha tukio la ndoa sio katazo la ndoa ya wake wengi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kulwa nae anahitaji kupendwaDah basi mimi nimependa Doto kwako nitakuwa kipofu [emoji41]
Amekataza wapi kuoa wake zaidi ya mmoja kwenye hilo andiko ?Ametaja wake wangapi hapo!?
Unadhani yeye Ni mjinga kuspecify hivyo!?
Asili ya Yesu ni Mbinguni. Unalingine?Uliza swali vizuri.
Asili ya Yesu ni wapi ?
Asili ya Ukatoliki ni wapi ?
Asili ya Usabato ni wapi ?
Asili ya angilikana ni wapi ?
Ukijibu maswali haya ndio utajua ya kuwa WAKRISTO mnatumia kivuli cha Yesu kuipiga chapuo dini yenu ya KRISTO na madhehebu yenu.
Tujikite kwenye mada.
Wapi ameruhusu kuoa mke zaidi ya Mmoja?Amekataza wapi kuoa wake zaidi ya mmoja kwenye hilo andiko ?
Nimekuuliza maswali huko nyuma hujajibu.
Mimi nikioa mke wa kwanza,nikaja kuoa mke wa pili,huyu mke wa pili ataitwaje na huyo mke wa kwanza anahusika vipi katika hii ndoa ya mke wa pili ?