Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Shida nini?
Amekuibia wewe?
Halafu unauliza singo maza mnakwama wapi,umejumlisha dingo maza wangapi kwa hiyo tabia ya hiyo mmoja?
Pia ni vema ungemuuliza anakwama wapi kama angekua kazubaa,hawazi future yake na mwanae,kesho anaweza achika hapo na mtoto hana shule hana pa kwenda.sasa ye kajiongeza we unaponda unatakaje?
Mwanamke ana akili kaona fursa,badala ya kuipiga teke naona awekeze kwa future ya mwanae.ana uhakika hata ndoa ikivunjika ana pa kulaza kichwa ye na mwanae,ana uhakika account itampeleka mtoto shule...halafu anakuamini kama baba wa mtoto anakushirikisha unajibaraguza unatakaje?
Si bure kama baba wa mtoto hapo ulipo hujui hata lini utamjengea urithi huyo mtoto,
Ovyo kabisa!
Kuuona ufalme wa Mungu kazi kweli kweli.

Yaani ameamua kujiongeza kwa kuiba halafu anataka kwenda mbinguni!!!
 
Shida nini?
Amekuibia wewe?
Halafu unauliza singo maza mnakwama wapi,umejumlisha dingo maza wangapi kwa hiyo tabia ya hiyo mmoja?
Pia ni vema ungemuuliza anakwama wapi kama angekua kazubaa,hawazi future yake na mwanae,kesho anaweza achika hapo na mtoto hana shule hana pa kwenda.sasa ye kajiongeza we unaponda unatakaje?
Mwanamke ana akili kaona fursa,badala ya kuipiga teke naona awekeze kwa future ya mwanae.ana uhakika hata ndoa ikivunjika ana pa kulaza kichwa ye na mwanae,ana uhakika account itampeleka mtoto shule...halafu anakuamini kama baba wa mtoto anakushirikisha unajibaraguza unatakaje?
Si bure kama baba wa mtoto hapo ulipo hujui hata lini utamjengea urithi huyo mtoto,
Ovyo kabisa!
😲 Umepita mulemule. Mpaka na mi najiuliza "singo maza mnakwama wapi!!!"
 
single mother watatu walishanithibitishia kwa vinywa vyao wenyewe, kwamba hakuna mwanaume ambaye atampenda zaid ya mzazi mwenzie... ukiulza kwann..!? anakuambia haelewi bali ipo hivyo tu... mwengine anakuambia siwezi kamwe kumuacha baba fulani... hao wamegombana wakaachana, wakapatana wakagombana, wakaachana, wakapatana... yaani hawa viwanja vya mgogoro 100% kabisa...
 
Hata awe fala kiasi gani
Ukiniibia milioni nitajua tu. Sembuse hela hadi kujenga

Tena kuweka hela account ya mtoto

Uongo mwingiiiiii

Mara mtoto Kenya
Siku hizi watoto wachache sana hupelekwa Kenya kusoma
 
Shida nini?
Amekuibia wewe?
Halafu unauliza singo maza mnakwama wapi,umejumlisha dingo maza wangapi kwa hiyo tabia ya hiyo mmoja?
Pia ni vema ungemuuliza anakwama wapi kama angekua kazubaa,hawazi future yake na mwanae,kesho anaweza achika hapo na mtoto hana shule hana pa kwenda.sasa ye kajiongeza we unaponda unatakaje?
Mwanamke ana akili kaona fursa,badala ya kuipiga teke naona awekeze kwa future ya mwanae.ana uhakika hata ndoa ikivunjika ana pa kulaza kichwa ye na mwanae,ana uhakika account itampeleka mtoto shule...halafu anakuamini kama baba wa mtoto anakushirikisha unajibaraguza unatakaje?
Si bure kama baba wa mtoto hapo ulipo hujui hata lini utamjengea urithi huyo mtoto,
Ovyo kabisa!
POVU
 
Toka nyumbani mpaka Kenya ni km 2, nimesoma Kenya, kwanini nishindwe kumpeleka huko, ukiibiwa milioni utajua kutokana na ukweli kwamba hiyo milioni ni kubwa sana kwako, Hebu fikria uibiwe shilingi 50, utajua kweli?
 
Shida nini?
Amekuibia wewe?
Halafu unauliza singo maza mnakwama wapi,umejumlisha dingo maza wangapi kwa hiyo tabia ya hiyo mmoja?
Pia ni vema ungemuuliza anakwama wapi kama angekua kazubaa,hawazi future yake na mwanae,kesho anaweza achika hapo na mtoto hana shule hana pa kwenda.sasa ye kajiongeza we unaponda unatakaje?
Mwanamke ana akili kaona fursa,badala ya kuipiga teke naona awekeze kwa future ya mwanae.ana uhakika hata ndoa ikivunjika ana pa kulaza kichwa ye na mwanae,ana uhakika account itampeleka mtoto shule...halafu anakuamini kama baba wa mtoto anakushirikisha unajibaraguza unatakaje?
Si bure kama baba wa mtoto hapo ulipo hujui hata lini utamjengea urithi huyo mtoto,
Ovyo kabisa!
Ngoja wanaume wakupige mawe hapa dada japo umeongea point.
 
single mother watatu walishanithibitishia kwa vinywa vyao wenyewe, kwamba hakuna mwanaume ambaye atampenda zaid ya mzazi mwenzie... ukiulza kwann..!? anakuambia haelewi bali ipo hivyo tu... mwengine anakuambia siwezi kamwe kumuacha baba fulani... hao wamegombana wakaachana, wakapatana wakagombana, wakaachana, wakapatana... yaani hawa viwanja vya mgogoro 100% kabisa...
Sasa tz ina single mom wangapi mkuu, hao watatu waliokuthibitishia bado hai make sense kujumuisha wote
 
Sitajaribu kuoa single mom, hata nishikiwe mtutu wa bunduki.
Nitakuwa napiga tu kwa starehe zangu
 
Sasa tz ina single mom wangapi mkuu, hao watatu waliokuthibitishia bado hai make sense kujumuisha wote
kwangu mimi hiyo angalau inatosha kusema kuwa wengi wao wapo hivyo... maana haiwezekani ukutane na watu wote watatu wasiofahamiana kisha wakawa na mtazamo wenye kufanana.. wewe hali hii utaichukuliaje..?
pia naomba niweke sawa kwamba si wote ni wa hovyo.. ila wengi wao ni wa hovyo... ni wachache sana ni wenye kujitambua...
 
Nina mwanamke ambae tuna mtoto, ila hatukuweza kuoana kutokana matatizo yaliyojitokeza wakati huo. Baadae alioolewa na sasa ni zaidi ya miaka mitano tangu aolewe, mtoto alimwaacha nyumbani kwao, nilimuomba baada ya kuolewa tukatishe mawasiliano kwa afya ya mahusiano yetu, tukawa hatusiwasiliani tena, mawasiliano pekee yakabaki kwa mamaake mzazi na mdogo wake wa kike.

Baadae nilimchukua mtoto nikampeleka Kenya [emoji1139] kusoma, ikawa wakati wa likizo nampeleka kwa bibi yake maana ndiko alikokuzoea, sasa hivi karibuni nilimfuata mtoto nimpeleke shule, nikamkuta huyu mzazi mwenzangu yupo kwao, akaniambia kuwa alikuwa ananisubiria mimi ana mambo muhimu ya kuniambia. Akasema mazungumzo hayo yatafanyika mjini na vile vile alitaka kumfanyia mtoto wake shopping, tukaondoka mpaka mjini, lakini cha ajabu alitupeleka kwenye nyumba ambayo amejenga akasema amemjengea akanipa na documents zote, baadae akanionesha dukani ambalo amefungua na faida ataiweka kwenye akaunti ya mtoto.

Baadae tukaenda kupata chakula ili tuendelee na safari ya shule, tukiwa kwenye chakula nilimuuliza amewezaje kujenga na kufungua duka kubwa vile, akaniambia anamuibia mme wake, kwamba yeye ndie msimamizi wa biashara za mme wake na pesa zote anachukua, alinionesha akaunti yake imenona.

Mbaya zaidi kilichonifanya niandike hapa aliniomba usiku huo tuwe pamoja na kesho yake ndio tuendelee na safari, baada ya ombi hilo, nikamfikria jamaangu (simfahamu) jinsi anavyoibiwa na huyu mwanamke halafu na mimi nimuibie? Nikaona nikikataa moja kwa moja angejisikia vibaya, nikamdanganya nimeisha kanyaga miwaya, akaishia kunishukru na kunipongeza kwa kumuokoa.

Baada ya hapo nimefikria sana kuhusu hawa single mothers, hivi wanakwama wapi? Wanakumbuka nini kwa wanaume waliowazalisha?
Umetoa conclusion ya kifala sana. Huwezi kutumia ushenzi wa mtu mmoja kuwahukumu watu 20,000. Hiyo ni dalili kwamba kichwani hakuna kitu.
 
Molembe,

Back
Top Bottom