Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Umeongea kwa uchungu sana na masikitiko mkuu,lakini wengine tumezoea kash kash,vurugu kwenye maiaha kwaiyo sioni hatari kwa hili wazo langu..
Swala la kuadhibu mtoto kwa kipigo sio jema.
Baba wa mtoto hana time na mtoto na mtoto hamjui baba yake,japo najua itafika kipindi itakua ni muhimu mtoto kumtambua baba yake wa kibiolojia.
Pole sana ndugu yangu na hizi ndio changamoto za maisha upende boga na ua lake.

Kama hapashi kipolo usimuache huyo single mama nakusihi sana mkuu
Aaah wee mkuu hujavaa viatu nivaavyo ndio maana waongea hiyo kauli.
Ila nikwambie kitu kaka?
Binadamu hatuko sawa.
Na hakuna kitu kitokeacho asilimia mia moja zote.
Bimaana hata waarabu sio wote weupe.
Bimaana hakuna waovu wote na hakuna wema wote ndio maana kuna wema na uovu.
Huwenda huyo mwanamke akawa ni bora.
Angalia nafsi yako nini inataka.
Huwenda akawa mwema kwako na kukupa stahiki zako zote.
Oa mkuu.
 
Shida nini?
Amekuibia wewe?
Halafu unauliza singo maza mnakwama wapi,umejumlisha dingo maza wangapi kwa hiyo tabia ya hiyo mmoja?
Pia ni vema ungemuuliza anakwama wapi kama angekua kazubaa,hawazi future yake na mwanae,kesho anaweza achika hapo na mtoto hana shule hana pa kwenda.sasa ye kajiongeza we unaponda unatakaje?
Mwanamke ana akili kaona fursa,badala ya kuipiga teke naona awekeze kwa future ya mwanae.ana uhakika hata ndoa ikivunjika ana pa kulaza kichwa ye na mwanae,ana uhakika account itampeleka mtoto shule...halafu anakuamini kama baba wa mtoto anakushirikisha unajibaraguza unatakaje?
Si bure kama baba wa mtoto hapo ulipo hujui hata lini utamjengea urithi huyo mtoto,
Ovyo kabisa!
Hadi kumtunuku papuchi nao pia ni uaminifu?Mpumbavuuu
 
Inatufundisha tusioe single mothers. Inawafundisha wanaojifanya mabaharia kuoa single mothers wanashare penzi na vidume waliozalisha. Inafundisha pia wadada zetu kua makini na wanaume kama ukiona hakuna future plans jihadhari na mwanaume huyo usije zaa nae akaingia mitini na kukuacha single mother.

Ila kikubwa zaidi nimejifunza uungwana wa jamaa kukwepa kula embe la watu daaah jamaa kani inspire wanaume wengine tuige mfano huo hata kama tumezaa na wanawake tusiendeleze penzi tunawadhulumu wanaume waliowaoa.

Umenena vyema ila ntajuaje kama huyu jamaa hana future plan??

Cc Kingsmann
 
Aaah wee mkuu hujavaa viatu nivaavyo ndio maana waongea hiyo kauli.
Ila nikwambie kitu kaka?
Binadamu hatuko sawa.
Na hakuna kitu kitokeacho asilimia mia moja zote.
Bimaana hata waarabu sio wote weupe.
Bimaana hakuna waovu wote na hakuna wema wote ndio maana kuna wema na uovu.
Huwenda huyo mwanamke akawa ni bora.
Angalia nafsi yako nini inataka.
Huwenda akawa mwema kwako na kukupa stahiki zako zote.
Oa mkuu.

Huyo muache aoe ili aje kuleta mrejesho akiwa kabakia macho tu
 
Hahaha! Hahaha!
Jiridhishe mwenyewe kwa kuzingatia vigezo na masharti ndugu yangu.

Hicho ni kiwanja chenye migogoro ni ngumu sana kukijenga. Hata ukifika kwenye renta mgogoro hujui unapotokea.

Lasivyo utakuja kujuta mbeleni hasa utakapompenda zaidi alafu mgogoro ukaingia.

Muombe sana Mungu ili asibadilike mkaanza kuchomamana visu na magunia mawili ya mkaa au visu.
 
sheremaya,

Ninaomba utaje umri wako kwanza pa1 na historia fupi ya maisha yako, kama huko nyuma ulishawahi kuoa na kutaliki ama lah, kabla sijashusha nondo nzito juu ya aina hiyo ya ndoa unayotamani kuiingia.
 
Umenena vyema ila ntajuaje kama huyu jamaa hana future plan??

Cc Kingsmann

Raisi sanaaa. Na wala sio hata siri iko wazi sema wanawake hua mnajitoa akili, ok nitakumbushia.

1. Mwanaume anaewasiliana na wewe akiwa na nyege tu definetelly hana plan na wewe. Tafuta mwingine mapemaaaa.

2. Mwanaume asiekukanya kwa tabia mbaya kama kuvaa ovyo ovyo, kulewa, kutojali dini, kua na lugha chafu definetelly sio muoaji.

3. Mwanaume asiyependa umjue kiundani, nyumbani kwao, marafiki zake anakuficha definetelly sio muoaji.(japo wengine atakutambulisha kwa marafiki zake waovu wenzake, kua makini hapa)

4. Mwanaume asiekushauri kuhusu maisha ya badae, yeye ni mazungumzo ya ngono tu hakuna shaka sio muoaji.

5. Mwanaume muongo muongo kwa mambo madogo madogo tu huyu ni muongo kwa jambo hilo la ndoa pia. Biblia inasema alie mwaminifu kwa vidogo atakua mwaminifu kwa vikubwa, na alie dhalimu kwa vidogo atakua dhalimu kwa vikubwa.

6. Mwanaume anaekusifia kupita kiasi aise huyo sio muoaji. Kuna kusifia kwa kawaida na ni jambo zuri ila wanaume tumegundua wanawake wanapenda kusifiwa na sisi tunatumia hicho kichaka. Jiadhari wanaume are very smart tunasoma nyakati afu tunakuletea unachojiaminisha ndicho.

7. Mwanaume anaekupa fedha nyingi bila kusita, huyu sio muoaji. HATA kama mwanaume ana fedha nying kiasi gani kwa mwanamke alie na malengo nae hampi fedha kupita kiasi. Ukiona mwanaume anakupa fedha nyingi kadri utakavyo kua chonjo kuna kitu unakiuza bila kujua. Shida ni kwamba wanawake wa kileo wakiona wanapewa mipesa mingi wanaona hapo ndo penyewe na wanawake wanawaza kua na mwanaume anaewapa mapesa.

8. Mwanaume asie na wivu na wewe, hakuna ndoa hapo. Wanawake wakiona mwanaume hana wivu nao utasikia "mwanaume wangu ni muelewa kweli" acha ujinga hakuna mapenzi ya dhati bila wivu, unaliwa na utachwa solemba.

9. Mwanaume anaependa kukutishia kukuacha, kua makini yamkini hakuna mume hapo. Sisi wanaume hatuna hulka ya kukata tamaa hasa kwa mwanamke tunaempenda kwa dhati.

10. Mwanaume anaekusikiliza na kukutekelezea KILA JAMBO UNALOHITAJI. Uwe makini hapa kuna anaetekeleza kwa upendo ila huyu hua sio kila jambo. MWAnaume anaekutendea wema kupitiliza kua chonjo anakuelekezea kibla akishakusokomezea akaridhika atakusepa. Tatizo wanawake wanapenda dezo na wanaume are very smart tunacheza na matakwa yenu.

11. Uaminifu kwa mwanaume sio tabia ni uamuzi. Hua napitia post za wadada love connect utasikia "nataka mwanaume mwaminifu" hua nacheka sana kila mwanaume ni mwaminifu inategemea yuko na nani, mwanaume aliekudanganya wewe na kukuacha kuna mahali anapenda kweli na mpaka ataoa. Badilisheni mtazamo wakinadada wanaume wote ni waongo wakiwa na demu flani lakini waaminifu wakiwa na mpenzi wao wa dhati. Uaminifu sio tabia ni uamuzi tu mlifahamu hilo.

12. Mwanaume mwenye hasira kupita kiasi kua nae makini. Ni sawa kua na hasira na hasira hutusaidia kutenga mabaya ya watu ila mwanaume mwenye mihasira pipa zima jihadhari nae kweli anaweza akawa muoaji ila akakuoa na kukuacha. (Ikumbukwe hii haijumuish kosa la mwanamke kuchepuka, binafsi makosa yote ya mwanamke nitasamehe ila akichepuka ndo game over)

13. Mwanaume anaekupa uhuru kupitiliza mama jihadhari. Huru kua na marafiki wowote, huru kwenda popote, huru kufanya lolote mmmmmh ebu niwe muwazi hapa binafsi mchumba wangu naetarajia kumuoa December 2019 yuko huru ila sio kupitiliza ana limits samahani kusema ila hata mitandao hii ya kijamii nimemuwekea limits kadha wa kadha ila madem wa kupinga na kusepa sijali kuhusu uhuru wao mitandaoni kuna mmoja mpaka saa 8 usku hua namuona online fb na wala sijali anaposti picha za chura insta wala sijali magroup ya whatsap kama yote mimi sina habari.
 
Shida nini?
Amekuibia wewe?
Halafu unauliza singo maza mnakwama wapi,umejumlisha dingo maza wangapi kwa hiyo tabia ya hiyo mmoja?
Pia ni vema ungemuuliza anakwama wapi kama angekua kazubaa,hawazi future yake na mwanae,kesho anaweza achika hapo na mtoto hana shule hana pa kwenda.sasa ye kajiongeza we unaponda unatakaje?
Mwanamke ana akili kaona fursa,badala ya kuipiga teke naona awekeze kwa future ya mwanae.ana uhakika hata ndoa ikivunjika ana pa kulaza kichwa ye na mwanae,ana uhakika account itampeleka mtoto shule...halafu anakuamini kama baba wa mtoto anakushirikisha unajibaraguza unatakaje?
Si bure kama baba wa mtoto hapo ulipo hujui hata lini utamjengea urithi huyo mtoto,
Ovyo kabisa!
Kuiba pesa = Kujiongeza, daaah...Mungu msaidie Mtoto wangu wa kiume asijeingia cha kike kuoa single mother...[emoji24]
 
Raisi sanaaa. Na wala sio hata siri iko wazi sema wanawake hua mnajitoa akili, ok nitakumbushia.

1. Mwanaume anaewasiliana na wewe akiwa na nyege tu definetelly hana plan na wewe. Tafuta mwingine mapemaaaa.

2. Mwanaume asiekukanya kwa tabia mbaya kama kuvaa ovyo ovyo, kulewa, kutojali dini, kua na lugha chafu definetelly sio muoaji.

3. Mwanaume asiyependa umjue kiundani, nyumbani kwao, marafiki zake anakuficha definetelly sio muoaji.(japo wengine atakutambulisha kwa marafiki zake waovu wenzake, kua makini hapa)

4. Mwanaume asiekushauri kuhusu maisha ya badae, yeye ni mazungumzo ya ngono tu hakuna shaka sio muoaji.

5. Mwanaume muongo muongo kwa mambo madogo madogo tu huyu ni muongo kwa jambo hilo la ndoa pia. Biblia inasema alie mwaminifu kwa vidogo atakua mwaminifu kwa vikubwa, na alie dhalimu kwa vidogo atakua dhalimu kwa vikubwa.

6. Mwanaume anaekusifia kupita kiasi aise huyo sio muoaji. Kuna kusifia kwa kawaida na ni jambo zuri ila wanaume tumegundua wanawake wanapenda kusifiwa na sisi tunatumia hicho kichaka. Jiadhari wanaume are very smart tunasoma nyakati afu tunakuletea unachojiaminisha ndicho.

7. Mwanaume anaekupa fedha nyingi bila kusita, huyu sio muoaji. HATA kama mwanaume ana fedha nying kiasi gani kwa mwanamke alie na malengo nae hampi fedha kupita kiasi. Ukiona mwanaume anakupa fedha nyingi kadri utakavyo kua chonjo kuna kitu unakiuza bila kujua. Shida ni kwamba wanawake wa kileo wakiona wanapewa mipesa mingi wanaona hapo ndo penyewe na wanawake wanawaza kua na mwanaume anaewapa mapesa.

8. Mwanaume asie na wivu na wewe, hakuna ndoa hapo. Wanawake wakiona mwanaume hana wivu nao utasikia "mwanaume wangu ni muelewa kweli" acha ujinga hakuna mapenzi ya dhati bila wivu, unaliwa na utachwa solemba.

9. Mwanaume anaependa kukutishia kukuacha, kua makini yamkini hakuna mume hapo. Sisi wanaume hatuna hulka ya kukata tamaa hasa kwa mwanamke tunaempenda kwa dhati.

10. Mwanaume anaekusikiliza na kukutekelezea KILA JAMBO UNALOHITAJI. Uwe makini hapa kuna anaetekeleza kwa upendo ila huyu hua sio kila jambo. MWAnaume anaekutendea wema kupitiliza kua chonjo anakuelekezea kibla akishakusokomezea akaridhika atakusepa. Tatizo wanawake wanapenda dezo na wanaume are very smart tunacheza na matakwa yenu.

11. Uaminifu kwa mwanaume sio tabia ni uamuzi. Hua napitia post za wadada love connect utasikia "nataka mwanaume mwaminifu" hua nacheka sana kila mwanaume ni mwaminifu inategemea yuko na nani, mwanaume aliekudanganya wewe na kukuacha kuna mahali anapenda kweli na mpaka ataoa. Badilisheni mtazamo wakinadada wanaume wote ni waongo wakiwa na demu flani lakini waaminifu wakiwa na mpenzi wao wa dhati. Uaminifu sio tabia ni uamuzi tu mlifahamu hilo.

12. Mwanaume mwenye hasira kupita kiasi kua nae makini. Ni sawa kua na hasira na hasira hutusaidia kutenga mabaya ya watu ila mwanaume mwenye mihasira pipa zima jihadhari nae kweli anaweza akawa muoaji ila akakuoa na kukuacha. (Ikumbukwe hii haijumuish kosa la mwanamke kuchepuka, binafsi makosa yote ya mwanamke nitasamehe ila akichepuka ndo game over)

[emoji1488][emoji1488]umeeleweka point zote labda kama unanyongeza mkuu

Cc Kingsmann
 
🤣🤣
single mother watatu walishanithibitishia kwa vinywa vyao wenyewe, kwamba hakuna mwanaume ambaye atampenda zaid ya mzazi mwenzie... ukiulza kwann..!? anakuambia haelewi bali ipo hivyo tu... mwengine anakuambia siwezi kamwe kumuacha baba fulani... hao wamegombana wakaachana, wakapatana wakagombana, wakaachana, wakapatana... yaani hawa viwanja vya mgogoro 100% kabisa...
🤣🤣🤣 ishu ni kwamba mwanamke anazaa na mwanaume aliyempenda haswaa. Ni ngumu sana kuachana na mwanaume huyo ikiwa chanzo cha ugomvi hakikuhusisha mapenzi moja kwa moja.
 
Desire Dizaya,
Kwa maelezo haya hata mimi kuanzia leo nachomoa betri kwa masingo maza,
Nilikuwa nawatetea asilimia 100% sasa kwa maelezo yako haya nimejua ni kwa nini
watu wana bifu nao. Najiuliza ni kwa nini umtese mwanaume aliyeamua kukusitiri
baada ya kutelekezwa? Eti unatengeneza future ya mwanao?
kwanini kama huna uhakika kuwa atakuwa na maisha bora usishauriane na mme wako wa sasa ili mjue mnamsaidiaje,
badala ya kumuibia.Nasema tena na mimi kuanzia leo nimepoteza imani na nyie.
 
Root,
Mkuu kuna hela na vijisenti,kwa mtu mwenye hela na anamuamini mke wake kuibiwa ni rahisi
endapo huyo mwanamke ni mmojawapo wa wasiojitambua.Ila ukiwa na tusenti twa kuhemea mboga na mafuta ya ist utashtuka mapema.
 
Back
Top Bottom