cutelove
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 3,448
- 7,972
Usimnyime riziki yakeKuna mmoja ananilazisha kuoa wakati Sina mpango nae isitoshe ameweka asilimia kubwa Mimi ni wake [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] namu enjoy tu kudadek
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usimnyime riziki yakeKuna mmoja ananilazisha kuoa wakati Sina mpango nae isitoshe ameweka asilimia kubwa Mimi ni wake [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] namu enjoy tu kudadek
Kwani wewe single mother Mana na wivu hatarUsimnyime riziki yake
Siyo 50/50 bali huo ndiyo ukweli,, lakini kwa vile watu mmekengeuka badala ya kufuata maandiko ya Mungu mnafuata mitazamo ya jamii na ndiyo hapo mnapojikuta mnalazimisha utofauti wa hizi jinsia mbili hadi kwenye dhambi..Usitawaliwe na 50/50 boss,
Ulishasikia kuna mwanamke amekataa kuolewa na mwanaume mwenye mtoto wa nje?
Ila mwanamke, kuwa naye mmoja tu! Utakuwa Topic mtaa mzima na unaweza kupishana na bahati nyingi za kuolewa.
Enhe wewe ni nani??Hata mimi
Mmmmh,sio kwamba ni kujitambua kwa mhusika
Na wewe ni nani??na mimi
Halafu wanaume mnaotoaga kauli kama hizi tukija kuangalia maisha yenu tunakuta ndiyo wale wale tuNyie hamjawahi kujitambua hata siku moja. Ni reheme za Mungu ndio zinawalinda tu.
BR
Uduzungwa.
Enhe wewe ni nani??
What other reputation do you have??Male humanoid
Nyingi tuu nikiianza kuelezea ntajaza server za humuWhat other reputation do you have??
Na wewe ni nani??
mwanaume ninaemuhunga mkono mwanaume mwenzangu Kwan kuna ulazima wa kujua mi ni nani haibadili ukweli
Mabaharia tunarudia rudia hii....mie sijaisoma yote,lol
mie kuna kitu kinanishangaza kuhusu hizi topics za single mothers...
utasikia hatuoi single mothers..huu ndio msimamo wetu mabaharia...
na huu msimamo unajulikana,
sasa hizi topic za single mothers ni nyingi sana...
sasa jibu ni lile lile
nachowauliza hamchoki ??
kutoa jibu hilo hilo…??
clearly mabaharia hamna umoja😉😉😂😂😂
mabaharia wengine hawaelewi somo😂😂
Yaa atakuwa loos ball....Huyo mwanamke hajielewi ndio maana jamaa alizaa nae akamwacha
Na sasa anelekea kuachwa tena wala huyo baba watoto wake wa zamani hatamuoa.
Kama huyo ex wake ameweza kumshawishi na akamhurumia na kuamua kumwacha mume basi anaweza kumkubali mwanaume mwingine yeyote pia.... huyu baada ya muda atakua single tena
Ni umalaya tu. Mtu kakutelekeza na watoto wawili, then umepata mtu wa kukuchukua pamoja na majukumu hayo ( watoto wawili). Then unataka kuvunja ndoa kwa ajili ya aliye kutelekeza?
Nilisoma sehemu flani, unapoingia kwenye ndoa sio kwamba hautapenda tena au kutamani tena, bali unatakiwa kuheshimu kiapo chako kwa mwenza wako.
Wanawake wa ajabu....nimesema hiviiiiiiii
Nikikupenda wewe mwanamke uliyezaa na mwanaume mwingine
Nakupenda wewe na mwanao HUDUMA zote muhimu za mtoto nabeba mwenyewe
Sitaki kusikia wewe mwanamke unapokea hata sent kwa mwanaume Aliyekuzalisha (sitaki kusaidiwa majukumu)
Alikuacha mwenyewe so akuache hivyo hivyo milele
Nisiskie fyoko wala fyoko hela ya mtumizi ya mwanangu hiiii hapa (akitaka amchukue mwanae akamlee huko)
nikiwa na mahusiano na mwanamke aliezalishwa MARUFUKU kwangu kuona mnawasiliana na mzazi mwenzio
Yaani siyo suala la kuzaa tu... mwanamke aliyefanya mapenzi na mwanaume (katika category hii siingizi wanawake dada poa wale ambao mwanaume anapiga na kusepa) huwa mara nyingi hana ujanja kwa huyo mwanaume huyo. Inaawezekana wapo wasiokumbukana lkn hao wanaweza kuwa kwenye kundi la hit and run. Lakini nakwambia wale ambao walikuwa wapenzi kwa maana ya wapenzi wakaja kuseparate wakikutana huongea lugha nzuri kabisa na mwanaume akitaka kukumbushia kwa mwanamke huyo inawezekana kabisa. Sasa hiki ninachokieleza kipo chini ya kiwango linapokuja suala la wazazi (tena mtoa mada kakoa mfano mzuri kabisa kuwa mdada alizaa na jamaa watoto wawili then akaolewa na mwingine) maana hawa wana mengi ya kushare kuhusu mtoto wao lakini wamechanganya na damu kabisa hawa. Hivyo basi watu hawa kuachana kabisa inatakiwa mmoja wao (si wote kwa maana hicho ni kipaji anachokuwa nacho mtu mmoja mmoja) kuwa na moyo mkuu wa kukataa kuyarudia baada ya kuvunjika.Nilikuwa najiuliza mbona humu Jf wanawananga sana single mother kuwa hawaachani na baba wa watoto wao,nikafikiria kwa msimamo tulionao wanawake tukiacha tunaacha kweli ,wanatusingizia
Lakini kwa nilichoshuhudia kwa macho na masikio yangu,sijui wanakwama wapi hawa wanawake wenzangu jamani
Ni mama wa watoto wawili aliyezaa wakati anasoma chuo fulani na mwanaume fulani kipindi hicho akiwa chuo,mtoto wa kwanza alimzaa akiwa mwaka wa kwanza na wa pili alimzaa wakati anahitimu chuo,na kwa bahati nzuri akapata kazi kwenye kampuni fulani na kwa jeuri yule mwanaume aliyekuwa naye chuo alimuacha katika mazingira ya kutatanisha na mawasiliano yakawa yamekatika kipindi wamehitimu chuo
Baada ya mwaka 1 huyu mdada akawa amepata mwanaume mwingine akamuoa tu vizuri kwa harusi kubwa tu
Cha ajabu wiki kama 4 zimepita yule kaka aliyezaa naye watoto wawili akaibuka,akamtafuta,wakagombana na wakabembelezana wakakubaliana huyo kaka atakuwa anamtumia hela mdada ya kuwahudumia watoto muda huo akijiandaa kumwambia mume wake kuhusu hao watoto awarudishe kwa baba yao
Wakakubaliana kuwa siku fulani watakutana hoteli fulani atawapeleka watoto wakamsalimie baba yao,bila mume wake kujua
Siku ya siku mdada akawapeleka hotel nje kidogo ya mji,basi wakakutana,ila mdada akawa na msimamo kuwa endapo ex atajaribu kuleta ushawishi hatakubali hata siku moja,bahati mbaya mtoto wao wa kwanza akawa anaongea maneno kwa baba na mama ya kuwaleta pamoja hadi mdada akawa na huruma kwa ex wake akajikuta anataka avunje ndoa arudi kwa ex wake na huku ex wake ana mke na mtoto 1
Juzi mume wa ndoa anapata mchezo mzima,anamuuliza mke wake anasema ni kweli anadai talaka arudi kwa baba watoto wake
Nimeamini wanawake muda mwingine hatutumii akili
Alikutelekeza,akakuacha mwenyewe ukatunza watoto mwenyewe,from no where mnarudiana kisa maneno ya mtoto wao wa kwanza yamemfanya alie,amhurumie na amrudie ex wake