Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kama kuna faida toa mkuuMkuu hutaki mzungumzie na faida?
Mi naona point ni hii
Haiwezekani kuoa mwanamke tayari kashazalishwa na mwanaume mwenzio raha ni kwamba wote muanze moja wote mpate mtoto wenu wa kwanza mechi zenyewe zinaanza 0-0 tangulini mpira ukaanza 0-1 haya mambo ya watoto baba tofauti ni uboya
Halafu mnaotia mimba mkakimbia acha uboya yaani tuoe familia yenu mnavyokimbia mnataka waolewe na nani

HahahaMkuu kama wewe umeamua kuoa oa tu. Usiingize wenzio matatizoni
Kwanini mkuu
Kwahiyo mkuu ukikutana na mwanamke ambaye amekidhi vigezo vyako vyote vya mke unayemtaka lakini akiwa single mother utampotezea pia?Shida yao ni uwepo wa single fathers wao! Wakiwa wamekufa then ni wa kuoa haraka!
Wasingekuwa single mother.
Mwanamke anayekubali kuzaa na mtu ambaye siyo mume wake hawezi kuwa wife material
Kwahiyo mkuu ukikutana na mwanamke ambaye amekidhi vigezo vyako vyote vya mke unayemtaka lakini akiwa single mother utampotezea pia?