Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Saa sita usiku upweke umekujaa, umewaza ukaona hata single mom poa tu kuliko kukosa kabisa. Lkn kabla ya kukurupuka ukaona uje kuuliza JF [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Saa sita usiku upweke umekujaa, umewaza ukaona hata single mom poa tu kuliko kukosa kabisa. Lkn kabla ya kukurupuka ukaona uje kuuliza JF [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu tulia aiseee sipo Upweke ila naona kuna wahanga wengi sana Mkuu na ni shida sana lazima tufike mahala tuongee wala si kwa nia baya ila kuponya madhara kwa watoto wetu... Mimi sina huo uhanga ila naona kuna shida kubwa sana linalopelekea na reactiona za dada zangu ambayo wana changamoto hizi nini kifanyike kuondoa hizi misconceptions?
 
Wakubwa

Heri ya Noeli kuna story ambazo zinaendelea ambazo zinaendelea hadi sasa hivi.

Hivi tuwe wa kweli hivi iuna shida Gani kati ya tabia ambazo Wadada waliobahatika kupata watoto aidha katika ndoa na kuachika au wale waliobahatika kupata Mtoto ndani ya Uchumba?

Kitu Gani kina wafanya muwa na aina fulani ya Maisha yenu mpaka mnakuwa ni Gumzo kwenye hoja nyingi humu ndani?

Haijalishi huyu Single Mother ana kazi au hana kazi au ana biashara au hana biashara au kwao kuna maisha mazuri au hakuna au ni baa maid au basi mjasariamali wa kawaida.

Kwa nini mna aina fulani ya Tabia zenu ambazo imekuwa chukizo kwenye Jamii?
ilia mauaji mengi kwenye mahusiano Nimefuatilia sana maada nyingi humu zinawasema Vibaya mno?

Ukifuatilia maumaji mengi utakuta lazima Mama awe tayari alishakuwa kwenye mahusiano?

Shida nini ili tupone kuwa na kusikia mauwaji yanayoendelea?

Naumia Mno
Wengi wamekosa balance ya malezi.
Mtoto ni empty set sawa na flash tupu hivo anavyojazwa utoto ndivo atakavokuwa ukubwani.
Single mother wengi si wazuri kuanzisha nao familia hawana balance ya malezi ya pande mbili baba na mama,baba ni baba hata kama ni wa hovyo ujenga kitu kwa mtoto kuibalance saikolojia yake.
 
Sasa kama wewe siyo mhanga wa hao single mothers, shida yako ni nini hasa? Mimi nadhani ume generalize sana hii mada yako kuhusu hao single mothers.

Na wala siyo gumzo humu jukwaani kama unavyotaka kutuaminisha.
 
Wengi wamekosa balance ya malezi.
Mtoto ni empty set sawa na flash tupu hivo anavyojazwa utoto ndivo atakavokuwa ukubwani.
Single mother wengi si wazuri kuanzisha nao familia hawana balance ya malezi ya pande mbili baba na mama,baba ni baba hata kama ni wa hovyo ujenga kitu kwa mtoto kuibalance saikolojia yake.

Siyo kweli. Wapo wengi tu niliowashuhudia wakiolewa huku wakiwa na mtoto/watoto wao, na mwisho wa siku wakaishi maisha yao mazuri tu na waume zao wapya.

Ni vyema mkawatendea haki wanadamu wenzenu badala ya kuwahukumu huku mkiwa hamjafanya utafiti wowote ule. Kila mwandamu ana mapungufu yake. Kiufupi tu hatujakamilika.
 
Minority wapo waliopata neema hio ya kujitambua wakapata mwanga
 
Hawa viumbe wakuitwa single mother wana shida kubwa sana wanazopata kisaikolojia, ni wajibu wetu kama jamii kuwapambania, nimeshuhudia haya kupitia my blood sisters, both of them are single mothers, mostly of the time they acting like they're okay lakini ukiwaangalia unaona kabisa kuna kitu wanapambana nacho kwenye mioyo yao, both of them wapo successful kiuchumu na lakini haibadilishi ukweli kuwa kuna kitu wanamiss kwenye maisha.
 
wameolewa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom