Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

painboy, Kama unampenda, atoe vijiti na umuweke ndani asifanye kazi tena huko bar ili muanze maisha halisi. Na uanze kubeba majukumu kama baba wa familia.

Wanakuwaga wazuri sana, wanapokuwa wamekubali kubadilika. Na wengi wanafanya kazi hizo kwa kutafuta wenza wa maisha.

Ila kama anatoa na anaendelea kufanya kazi bar, utapigiwa tu zaidi na zaidi.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
5. Umbo liwe la mvuto angalau. Tv ya chogo...itapendeza zaid japo ukiikosa hii sifa pia sio ishu.
[emoji117][emoji117][emoji117]kigezo muhimu sana hiki

Jr[emoji769]
Hiyo namba moja Single Mother kaiweka tu siyo kigezo, anataka kulelewa maana anafahamu single mother wengi wanajitegemea atapata unafuu wa maisha
 
Wasalaam,

Kuna sehemu huwa tunaenda kupata msosi mara moja moja. Sasa pale kuna mabinti kama watano hivi. Yupo mmoja nilimuona kama ametulia nilianza kupiga naye stori mbili tatu.

Dada anasema alizalishwa mtoto na jamaa akakimbia kusikojulikana. Anasema alimlea mwanae kwa sasa ana miaka 5 na jamaa hana mawasiliano naye tena.

Anasema tangu alipopata Mtoto ilipita miaka mitatu hakuwa na hamu na wanaume. Basi katika kusaka maisha akapata jamaaa mmoja kamdanganya kuwa hajaoa. Amedumu naye mwaka mmoja kwenye mahusiano Mke wa jamaa kakichafua Wakaachana na Mchepuko.

Sasa amesema mpaka sasa hana tena mpango wa kuwa na mpenzi/mume kwani wanaume wengi wadanganyifu.

Naomba kuuliza kwanini Single mothers wengi ukiwasikiliza wanakuwa wamekata tamaa kabisa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom