Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Mila na dini zimeshindwa kudhibiti, hiyo ndiyo fasheni mpya ya maisha. Usingo mama wengi wanautaka, wanaume wamegeuka wahanga wa mtindo huo. Wanawake wanazaa lakini hawataki kuishi na waliowazalisha kwa kuwa wanajiweza kiuchumi zaidi ya baba watoto. Wanawake wanataka watoto tu bwana hawataki wanaona watabanwa hawatakuwa huru maishani mwao
 
Jamii nyingi hii kitu ilikuwa ni laana
Bukoba uliweza kufunkuzwa kabisa nyumbani. jamiii zingine waliwaua kabisa waliozalia nyumbani
siku hizi mmeboresha kabisa na kuwapa jina la kizungu-single mothers
Kwetu tarime ukishazaa kabla ya kuolewa unakuwa ni sawa na scraper-chuma chakavu
unaweza kuolewa tu na mzee na sio kijana , yaani unatakiwa kuwa mke wa pili na kuendelea na mahari inashuka
Je kwenye jamii yenu hili jambo lipoje
Mbona hata siku hizi ni hivyo hivyo......single maza ni mke wa pili, au anaolewa na mzee au Mgane.
 
Mila na dini zimeshindwa kudhibiti, hiyo ndiyo fasheni mpya ya maisha. Usingo mama wengi wanautaka, wanaume wamegeuka wahanga wa mtindo huo. Wanawake wanazaa lakini hawataki kuishi na waliowazalisha kwa kuwa wanajiweza kiuchumi zaidi ya baba watoto. Wanawake wanataka watoto tu bwana hawataki wanaona watabanwa hawatakuwa huru maishani mwao
Hao wanaojiweza kiuchumi wako wapi?
 
Tatizo single mother unakuta ndo analisha familia yao yoteee....

Mumtenge awaache na njaa mfe....

Akila kona nyie mnakula jeuri yenu... Kazi juu ya kazi.
Ila wengi wana akili sana na wanajituma.kwenye familia zao. Na wanategemewa
 
Kanuni ni zilezile inapohusu single maza

●Hatulei bao la mwanaume mwingine

●Mwanaume anatakiwa aanzishe familia yake sio ajiunge kwenye familia ya mwanaume mwenzake

●Single maza waolewe na baba za watoto wao

●Single maza ni wa kupiga na kusepa

Ni mwanaume mpumbavu na mjinga tu ndiye anayeweza kumuoa single maza

Learn or perish
 
Ni mtindo mpya wa maisha. Ukisikia kataa ndoa hii ni kote kote hata wanawake nao hawataki ndoa. Masingo mama wengi ni masupa staa, wafanya biashara/wajasiriamali na wasomi/wanaharakati, wana maisha yao mazuri kiuchumi, wako smart wanajiweza, wanachohitaji ni watoto tu tena watoto wachache wasiozidi wawili. Habari za kuolewa hawataki, wanalea watoto wenyewe. Wanawake walio kwenye ndoa wanatamani nao wawe singo mama ila umasikini wao ni kikwazo huku wana watoto wengi
 
Jamii nyingi hii kitu ilikuwa ni laana
Bukoba uliweza kufunkuzwa kabisa nyumbani. jamiii zingine waliwaua kabisa waliozalia nyumbani
siku hizi mmeboresha kabisa na kuwapa jina la kizungu-single mothers
Kwetu tarime ukishazaa kabla ya kuolewa unakuwa ni sawa na scraper-chuma chakavu
unaweza kuolewa tu na mzee na sio kijana , yaani unatakiwa kuwa mke wa pili na kuendelea na mahari inashuka
Je kwenye jamii yenu hili jambo lipoje
Jamii nyingi zamani pia dada zako walikuwa wanatahiriwa ili wasipate hamu ya kufanya mapenzi kwa urahisi.
 
Jamii nyingi zamani pia walikuwa wanaua watoto wenye ulemavu wakiamini ni laana.
 
Jamii nyingi zamani pia walikuwa wanakunya vichakani na waliona vyoo ni uharibifu wa utamaduni wao.
 
Back
Top Bottom