Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

I thought waislam/waarabu ni ruksa kuoana ndugu? If memory serves correctly umewahi kuleta uzi humu kutetea ndoa za namna hiyo, aren't you contradicting yourself?
 
Kwahiyo wanaume hatuna makosa 🤔🤔

Nature inamtambua Mhanga kama ndiye mwenye Makosa.

Yule àmbaye NI victims nature inamtaka ajihami na kuchukua tahadhari

Kwèñye suala la ngono Mwanamke ndiye Mhanga hivyo yeye ndiye mwenye Makosa.

Kiimani(matokeo) àmbayo sio nature Mwanamke na Mwanaume wôte wanamakosa lakini Sheria inamtaka Mwanamke aolewe akiwa Bikra
Sheria hiyohiyo haimzuii Mwanaume kutokuoa Mwanamke asiye na Bikra hasa Kwa Wanaume Wazee

Ila kijana kiimani anatakiwa aoe Mwanamke aliye Bikra, logical ni Kosa Kwa kijana Kuoa Mwanamke asiye na Bikra ila siô Kosa Kwa mwanaume Mtu mzima Kuoa asiye na Bikra
 
Basi na mwanaume anatakiwa aingie kwenye ndoa akiwa bikra

Apo ndo itakua sawa
 
Back
Top Bottom